Ushirikiano mpya wafungua fursa za masoko
DAR ES SALAAM:SHIRIKISHO la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limesaini rasmi Hati ya Makubaliano (MoU) na Kituo cha Taifa cha Kukuza Mauzo ya Nje (NEPC) cha Jamhuri ya Belarus, ikiwa ni…
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Salim Slim, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria baada ya maambukizi…
Mwili wa mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Hashim Kambi aliyefariki dunia jana baada ya kufariki ghafla, umezikwa leo katika mak…
Mwili wa mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Hashim Kambi aliyefariki dunia jana baada ya kufariki ghafla, umezikwa leo katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Maziko hayo yamehudhuriwa na watu…
Katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi yaliyofanyika mkoani Njombe, wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali wa…
Katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi yaliyofanyika mkoani Njombe, wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali wameeleza namna changamoto za kisaikolojia zinavyoweza kuathiri utendaji wa kazi na kuzorotesha…
Tuache watoto waishi kama watoto, tusiwatwishe majukumu ya kiutu uzima
Katika kukomesha ndoa za utotoni pamoja na mila na desturi kandamizi kama ukeketaji jamii...
Tume ya Jaji Chande yajibu mapigo, yataka haki kwa uwajibikaji
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
Dk Kijaji awasili Zimbabwe kushiriki mkutano wa utalii
ZIMBABWE: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji leo Aprili 28, 2026 amewasili nchini Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Pili wa Kikanda wa Shirika la Utalii Duniani. Mkutano huo unalenga…
Tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana imetaka kuwepo kwa uwajibikaji kwa wote w…
Tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana imetaka kuwepo kwa uwajibikaji kwa wote waliohusika katika matukio hayo, huku ikisisitiza kuwa asiwepo…
Wafanyabiashara 750 Soko la Namanga Kahama wadaiwa zaidi ya Sh450 milioni
Zaidi ya wafanyabiashara 750 katika soko la Namanga lililopo Manispaa ya Kahama mkoani...
Kamati kuu maalumu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana kwa siku mbili kuanzia leo mkoani Dar es Salaam kuja…
Kamati kuu maalumu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana kwa siku mbili kuanzia leo mkoani Dar es Salaam kujadili masuala manne muhimu, ikiwemo hali ya siasa nchini. #AzamTVUpdates…
Wakimbiaji zaidi ya 1,200 kushiriki Mbio kubwa za Ruaha
IRINGA: Zaidi ya wakimbiaji 1,200 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki Great Ruaha Marathon Season Five itakayofanyika Julai 3 na 4 mwaka huu mkoani Iringa, huku Mwigulu Nchemba…
Maonyesho ya wahandisi, makandarasi rasmi kesho
Wananchi mkoani Geita wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki maonesho ya wahandisi...
Video ya Constance Githinji akijipamba nywele siku moja kabla ya mauti kumfika yaibuka
Video inaonyesha matukio ya mwisho ya Constance Githinji katika saluni kabla ya kifo chake huko Kileleshwa kuzua ghadhabu ya umma na uchunguzi unaoendelea.
Unyanyapaa, imani potofu vyakwamisha utambuzi wa mapema watoto wenye usonji
Familia zenye watoto wenye changamoto ya usonji zinaendelea kukabiliwa na unyanyapaa, huku...
Wizara ya Elimu, benki wajadili fursa za ufadhili elimu ya juu
Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutekeleza...
Zaidi ya nusu ya maeneo ya kazi hayajasajiliwa Osha, Sangu atoa agizo
Zaidi ya nusu ya waajiri nchini hawajajisajili katika Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi...
Tanzania moves to crush fake seed trade, strengthen quality control
DODOMA: THE Tanzanian government has unveiled a sweeping crackdown on the sale of substandard seeds, warning dishonest traders that the law will take its full course as Tanzania intensifies efforts…
CoRI yalia na shinikizo la kisheria uhuru wa vyombo vya habari
Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI), umesema kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na...
Tanzania targets large-scale apple production to cut imports
DODOMA: THE Tanzanian government has unveiled a new push to scale up domestic apple production, saying the country can no longer rely on imports despite having vast potential to grow…
Watano mbaroni kwa tuhuma za kutapeli Sh40 milioni Tabora
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumtapeli zaidi ya Sh40...
Tanzania sees fortunes in avocado with 235,000 tonnes targeted in 2026/27
DODOMA: THE Tanzanian government has announced an ambitious plan to boost avocado production to 235,000 tonnes in 2026/27, up from 201,354 tonnes recorded in 2024/25, with exports expected to surge…
Daktari aeleza mshtakiwa alikunywa dawa nyingi ambazo zingesabisha kifo
Daktari wa Kituo cha Afya Kinyerezi, Matayo Petrol ameieleza mahakama kuwa baada ya kumfanyia...
Raila Junior amshukuru Ruto kwa kuzuru taasisi ya Raila, kuahidi walimu 6 wa BOM kazi za TSC
Raila Odinga Junior alimkaribisha Rais William Ruto katika Kituo cha Elimu cha Raila ambako alikabidhi madarasa na kuahidi kazi za TSC kwa Walimu 6 wa BOM.
Tanzania, Uganda zasaini MoU kushirikiana sekta ya utalii
Wakati Tanzania na Uganda zikiingia makubaliano (MoU) kushirikiana katika sekta ya utalii...
Tanzania, Belarus zafungua ushirikiano maeneo saba, kimo kilimo
Tanzania na Belarus zimeingia katika hatua mpya ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na...
Julio aichimba mkwara Mbeya City
KOCHA wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameichimbia mkwara mzito Mbeya City, akisisitiza kikosi chake kimejipanga kikamilifu kuondoka na pointi tatu dhidi yao.
Dk Mutungi azikwa, Heche asisitiza kuendelezwa ndoto yake ya mageuzi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ameongoza mazishi...
Wasimamizi wa uchaguzi Jimbo la Isimani, kata 12 wapewa mafunzo
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC) imetoa mafunzo kwa watendaji wa uchaguzi ngazi ya mkoa...
Duke Abuya awaibua wakongwe
INGAWA jina la kiungo wa Yanga, Duke Abuya haliimbwi mara kwa mara na mashabiki, lakini kuna mafundi wa mpira wa miguu wakongwe wameona anachokifanya ni kikubwa na kina matokeo chanya…
Usiku wa hukumu Zanzibar, Yanga kutetea au Simba kutwaa ubingwa Muungano Cup?
LEO ni siku ya hukumu hivyo usilale mapema. Ikifika saa 2:15 usiku hakikisha umeshapata chakula na kumaliza shughuli zako zote, kisha jicho lako litazame mechi kubwa ya siku wakati Yanga…
Mzee Hashim Kambi: Muigizaji wa Tanzania na nyota wa zamani wa Yanga afariki dunia akiwa na miaka 70
Mzee Hashim Kambi, nyota wa filamu za Bongo, amefariki dunia akiwa na miaka 70 na kuwaacha mashabiki wakiwa na simanzi. Urithi wake katika filamu na soka utakumbukwa
Wamiliki wa ardhi wametakiwa kulinda ardhi wanayoimiliki ili kuepuka migogoro ya ardhi na kuongeza usalama wa umiliki
Wamiliki wa ardhi wametakiwa kulinda ardhi wanayoimiliki ili kuepuka migogoro ya ardhi na kuongeza usalama wa umiliki. Akizungumza mjini Njombe Aprili 27 katika viwanja vya Mjimwema, Kamishna wa Ardhi Msaidizi…
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 2026, Profesa Ibrahim Juma, amesema Tanzania kumezuk…
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 2026, Profesa Ibrahim Juma, amesema Tanzania kumezuka tabia hatari ya watu kuzima maoni ya wengine, huku…
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema ripoti haijataja majina ya wahu…
Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Profesa Ibrahim Juma, amesema ripoti haijataja majina ya wahusika kwasababu za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari leo…
Uwekezaji wa Sh34 bilioni kuboresha mafunzo ya wahudumu afya EA
Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakiendelea kuongezeka kwa kasi, taasisi mbili za masuala ya...
Safari ya Johari: kutoka kufukuzwa shule hadi kupigania ndoto
Johari Mashaka alianza safari yake ya elimu mwaka 2000, akiwa na ndoto kama watoto wengine...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji …
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande, amesema tume hiyo inataka…
Siri iliyojificha kwenye ndevu za wanaume
Moja ya vitu vinavyompa mwanamume mwonekano mzuri usoni ni ndefu. Mwanamume anaonekana wa...
Davis Chirchir: Ndani ya Jumba la Bomet lake Waziri wa Uchukuzi
Picha ya makao ya Waziri wa Davis Chirchir katika Kaunti ya Bomet zimepenya mitandaoni. Picha hizo zilionesha jumba la kifahari, eneo lenye mandhari nzuri
#MuunganoCup Mgeni Rasmi kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano 2026 ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
#MuunganoCup Mgeni Rasmi kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano 2026 ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi. Fainali ni Yanga vs Simba…
#MuunganoCup “Kila mchezaji anajua umuhimu wa mchezo wa kesho, tuko tayari kupambana ili tuchukue taji”
#MuunganoCup "Kila mchezaji anajua umuhimu wa mchezo wa kesho, tuko tayari kupambana ili tuchukue taji" Kiungo wa Simba SC, Semfuko Daud, amesema wachezaji wote wa timu hiyo wana ari na…
Call for teaching negotiation, conflict settling skills to Tanzanian students
DAR ES SALAAM: MINISTER for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo has urged the management of Dr Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations to place…
Tanzania, Iran hold talks to broaden ties in irrigation, food, energy, and health sectors
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian governments and Iran have reaffirmed their commitment to strengthening economic cooperation and investment in order to promote sustainable development and improve the livelihoods of their…
Yanga kuwakosa wawili Kariakoo Dabi
WAKATI presha ya mchezo wa Kariakoo Dabi kwenye Fainali ya Kombe la Muungano ikizidi kupanda, benchi la ufundi la Yanga limetaja wachezaji wawili watakaowakosa.
Jumatano hii inapigwa fainali ya Kombe la Muungano
Jumatano hii inapigwa fainali ya Kombe la Muungano. Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD. Sasa mapema…
TTB embarks on mission to win the Korean tourism market
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Tourist Board (TTB) was privileged to host Togolani Mavura, who shared valuable insights from his tenure as Tanzania’s Ambassador to South Korea. In a strategic…
MAPOKEZI YA BONDIA IBRAH CLASSIC: “Nimeiheshimisha nchi yang”
MAPOKEZI YA BONDIA IBRAH CLASSIC: “Nimeiheshimisha nchi yang” Neno kutoka kwa bondia Ibrahim Class baada ya kutua Dar es Salaam, Tanzania. Ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…
Tanzania tasked to adopt robust strategies to advance national interests amid global conflicts, digital transformation
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, has participated in a special lecture on Tanzania’s strategic position in a rapidly changing global…
Chongolo ataja vipaumbele sita, BBT ikishushwa halmashauri
Wizara ya Kilimo imetaja vipaumbele sita katika kutekeleza bajeti ya Sh1.1 trilioni kwa mwaka...
Mashamba ya bangi yateketezwa Kiteto
Ekari tano tofauti zilizolimwa dawa za kulevya aina ya bangi katika mashamba ya mahindi kwenye...