Mshukiwa wa shambulio la Washington ashitakiwa kwa jaribio la mauaji dhidi ya Trump
Wachunguzi wanasema mwanamume huyo wa California mwenye umri wa miaka 31 alitaka kuwaua maafisa wengi iwezekanavyo wa ngazi ya juu.
Tanzania: Muungano wa vyama vidogo waundwa ili kufufua mjadala wa katiba
Vyama vidogo kumi na viwili vya upinzani nchini Tanzania vimeunda muungano siku ya Jumapili, Aprili 26, ili kufufua mageuzi ya katiba. Mchakato huu ulioanzishwa mwaka wa 2011, umekwama kwa zaidi…
Utafiti: Ujuzi laini kikwazo cha wahitimu kwenye ajira
Mfumo wa elimu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kimyakimya lakini yenye gharama...
Mamlaka za baharini zaonya kuhusu Uharamia pwani ya Somalia
Mamlaka za baharini zinaonya kuhusu tishio kubwa kwa meli zilizoko pwani ya Somalia, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, maharamia wa kisomali kuiteka meli moja ya mizigo kwenye ghuba ya…
DRC: Mamlaka yatangaza kuundwa kwa walinzi wa madini ili kulinda rasilimali za nchi
Kikosi hiki cha maafisa wapya kitaundwa na wanamgambo 20,000 watakaotumwa katika mikoa 22 kati ya 26 nchini, na watachukua nafasi ya polisi na wanajeshi ambao kwa sasa wanalinda maeneo ya…
Neema yawashukia wakazi Njinjo wakipatiwa huduma za afya
Tangu mwaka 2020 wakazi wa Njinjo walikuwa wanapata changamoto ya huduma ya afya na kuwalazimu...
Sudan Kusini: Watu 14 wafariki katika ajali ya ndege karibu na Juba
Watu 14 waliokuwa kwenye ndege ya abiria, wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kuanguka nchini Sudan Kusini, baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Yei, kuelekea jiji kuu Juba.…
Je, NATO inaweza kuwa nguvu ya kuaminika bila Marekani?
Je, nchi za Ulaya zinaweza kukusanya nguvu za kisiasa na kijeshi za kutosha kujilinda bila Marekani?
Kisa nadra cha mwanamke aliyepata ujauzito wa wanaume wawili kwa wakati mmoja
Sababu nyingine inayofanya visa hivi viwe nadra ni kwamba watu wengi hawafanyi vipimo vya kujua baba ya mtoto ni nani.
Tetesi za soka Ulaya: Newcastle yafikiria kumuuza Wissa, Delap ataka kubaki Chelsea
Newcastle yafikiria kumuuza Yoane Wissa, Delap ataka kupigania nafasi Chelsea, Barcelona yamtaka Julian Alvarez
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: APRILI 27, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: APRILI 27, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: NOGESHA APRILI YAKO KWA BUKU TU
🔴MCHEZO SUPA: NOGESHA APRILI YAKO KWA BUKU TU.. APRILI 27, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴AIBUYAKO…APRILI 27, 2026
🔴AIBUYAKO...APRILI 27, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:Waziri wa Madini Mhe
#HABARI:Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepongeza juhudi za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mchango wake katika kukuza Sekta ya Madini ambapo…
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepongeza ‘dedicate’ mafanikio ya sekta ya madini kwa Rais Samia Suluhu Hassan akibainisha ku…
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amepongeza ‘dedicate’ mafanikio ya sekta ya madini kwa Rais Samia Suluhu Hassan akibainisha kuwa mchango wa sekta hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ulikuwa asilimia…
Serikali imeshauriwa kuimarisha utoaji wa elimu ya uzalendo kwa vijana nchini ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa mshikamano, …
Serikali imeshauriwa kuimarisha utoaji wa elimu ya uzalendo kwa vijana nchini ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa mshikamano, ushirikiano na kudumisha Muungano wa Tanzania. Ushauri huo unakuja kufuatia kauli ya…
Baadhi ya wakazi wa kata za Kyimo na Kiwira, Wilaya ya Rungwe wameiomba serikali kufanya upya marejeo ya fidia kufuatia maeneo y…
Baadhi ya wakazi wa kata za Kyimo na Kiwira, Wilaya ya Rungwe wameiomba serikali kufanya upya marejeo ya fidia kufuatia maeneo yao, ikiwemo nyumba za makazi na mashamba yenye mazao…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt. Hussein Ally Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pili la Uwekezaji Zanzibar linalolenga kuvutia wawekezaji wa ndani…
Hali ya usalama nchini Mali inaendelea kuwa tete baada ya mashambulio ya kushtukiza yaliyolenga kambi za kijeshi na maeneo muhim…
Hali ya usalama nchini Mali inaendelea kuwa tete baada ya mashambulio ya kushtukiza yaliyolenga kambi za kijeshi na maeneo muhimu, yakihusishwa na waasi wa Tuareg pamoja na makundi ya itikadi…
Maonyesho ya Osha yaijaza Njombe, wakazi wahama nyumba zao kupisha wageni
Maonyesho ya Wiki ya Usalama Pahala pa Kazi (Osha), yanayofanyika mkoani Njombe, yameujaza mji...
Kauli ya Serikali Watanzania waishio Afrika Kusini
Kupitia taarifa yake ya leo Jumatayu, Aprili 27, 2026 iliyochapishwa kwenye mitandao yake rasmi...
Serikali imeendelea kupiga hatua kubwa katika kulinda na kuimarisha haki za binadamu, hatua ambazo zimechangia kudumisha amani, …
Serikali imeendelea kupiga hatua kubwa katika kulinda na kuimarisha haki za binadamu, hatua ambazo zimechangia kudumisha amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa huku wadau wa sekta ya sheria wakitakiwa kuhakikisha…
Afa maji akivuka kivuko cha magogo, wananchi walalamikia hatari
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremia Mkomagi, amesema...
Maktaba 2,900 nchini kuhuishwa ziwe za kisasa
Lengo ni kuendana na mfumo mpya unaozingatia mahitaji ya kisasa katika jamii.
Watetezi wa haki za binadamu wachambua ripoti ya Jaji Chande
Dar es Salaam. Asasi za Kiraia na Watetezi wa Haki za Binadamu wamechambua Ripoti ya...
Yacouba arejea mdogo mdogo Mbeya City, Kakolanya bado hakijaelewa
Baada ya kutoonekana uwanjani kwa takribani miezi mitatu, hatimaye straika wa Mbeya City, Yacouba Songne amerejea na kuanza mazoezi mepesi akitumia takribani dakika 60 kujifua.
Mzize apambanishwa na Simbu, Khamis tuzo ya Mwanamichezo Bora 2025
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize, ametajwa miongoni mwa wanamichezo watatu bora walioteuliwa kuwania Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2025 inayotolewa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), akitarajiwa kukutana…
DNA yaibuka chachu ya mageuzi afya, uhalifu na maendeleo Tanzania
Serikali imewekeza zaidi ya Sh16 bilioni katika kuimarisha miundombinu ya maabara za kisasa...
Dereva aliyesababisha vifo vya watu watatu Same mbaroni
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Simon Maigwa, amethibitisha kukamatwa kwa dereva huyo leo...
Hashim Kambi afariki dunia, chanzo chatajwa
Mwigizaji Hashim Kambi afariki dunia kwa maradhi ya presha
Usiyofahamu kuhusu safari ya Hashim Kambi
Ni wazi kuwa yapo mengi aliyofanya marehemu Hashim Kambi kwenye kiwanda cha Bongo Movie. Lakini...
Waziri Sangu awashukia waajiri wasiolipa michango NSSF
Waziri amesema Serikali haitamvumilia kuona watumishi wakitembelea kwenda ofisi za NSSF...
Serikali kutatua adha ya ukosefu wa bwalo sekondari ya Longido
Uamuzi huo wa Serikali umeibua matumaini mapya kwa wanafunzi, walimu na wazazi wa Sekondari ya...
‘Usawa kijinsia nguzo muhimu maendeleo endelevu’
DAR ES SALAAM: Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia unaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu, kukuza uchumi na kuimarisha utawala bora ndani ya jamii na taifa kwa ujumla. Kauli…
Barker, Pedro wapiga hesabu kali
PRESHA ya Dabi ya Kariakoo imezidi kupanda baada ya timu za Yanga na Simba kukutana Fainali ya Kombe la Muungano itakayochezwa Jumatano Aprili 29, 2026, kisha Mei 3 mwaka huu,…
Neo Maema aiheshimisha Kariakoo Dabi
KIUNGO wa Simba, Neo maema amefunguka kwamba kuna raha yake kucheza mchezo mkubwa wa Dabi ya Kariakoo ikiwa na tofauti kubwa na dabi zingine kubwa ambazo amewahi kucheza.
Mwili wa mwasisi Chadema kuzikwa kesho, Mnyika asema…
Dk Mutungi, aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara kuanzia mwaka 1998 hadi 2004...
Msanii Spack afariki dunia, meneja afunguka ilivyokuwa kabla ya kifo
Mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva Selemani Ramadhani Mvamba 'Spack' amefariki dunia leo...
#MuunganoCup Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, anasema wao ni timu ya mpira, na kazi yao ni kucheza mechi ya mpira, kwahiyo hawaw…
#MuunganoCup Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, anasema wao ni timu ya mpira, na kazi yao ni kucheza mechi ya mpira, kwahiyo hawawezi kukimbia mechi ya mpira...!! Ahmed anasema wameshukuru…
Jinsi ya Kutunza Nywele Asilia: Vidokezo Rahisi vya Kutunza Nywele Ili Iwe Yenye Afya na Kung’aa
Nywele asilia huwa kavu zaidi kuliko aina zingine za nywele kwa hivyo wataalamu wanapendekeza kupaka moisturizer mara kwa mara, haswa baada ya kuosha nywele zako.
Jinsi ya kutunza nywele asilia: Vidokezo rahisi vya kutunza nywele ili iwe yenye afya na nguvu
Nywele asilia huwa kavu zaidi kuliko aina zingine za nywele kwa hivyo wataalamu wanapendekeza kupaka moisturizer mara kwa mara, haswa baada ya kuosha nywele zako.
TNCC hosts the Ukrainian envoys in talks to broaden trade, investment links
DAR ES SALAAM: TANZANIA National Chamber of Commerce (TNCC) has hosted a high-level delegation from the Ukrainian Embassy for talks aimed at expanding trade and investment links. The strategic meeting,…