Iran yapinga ‘matakwa ya kupita kiasi’ katika mazungumzo au kusitisha mapigano
Mshauri wa Masuala ya Kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kuwa Tehran haitairuhusu Marekani kuwasilisha matakwa ya kupita kiasi, iwe ni katika mazungumzo…
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 50, yumo kamanda mkuu wa kundi la ISWAP
Wanajeshi wa Nigeria wanaoendesha oparesheni kwa jina "Hadin Kai" wamewaangamiza magaidi wasiopungua 50, akiwemo kamanda mkuu wa tawi la ISWAP lililoungana na kundi la Boko Haram.
Tunachojua kuhusu mashambulizi mapya kati ya Marekani na Iran
Mashambulizi haya ya hivi karibuni yanatokea wakati mazungumzo ya kusitisha mapigano yamekwama, baada ya juhudi za kumaliza miezi kadhaa ya mapigano kushindwa kuleta maendeleo yoyote mwishoni mwa wiki.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 4, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Kafulila: Mindset shift crucial to achieving US$1 trillion economy
DODOMA: A shift in mindset is among the key changes needed for Tanzania to achieve its ambitious goal of becoming a US$1 trillion economy by 2050, which would subsequently raise…
Samia, Putin unveils major tech, industrial power shift
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Russia have launched a decisive shift in their bilateral relations, elevating cooperation to a new strategic level after high level Kremlin talks that placed technology…
Kafulila azungumzia uchumi mataifa ya nje
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP)…
Usugu wa vimelea wapungua, vifo vyashuka
DAR ES SALAAM: Matumizi ya dawa za antibiotiki kiholela yamepungua kwa 80%, hivyo kupelekea pia kupunguza vifo kwa 14% vitokanavyo na usugu wa vimelea dhidi ya dawa kwa binadamu. Aidha,…
Timu ya Taifa ya soka ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeichapa Malawi goli moja kwa sifuri katika mchezo wa kimataifa wa k…
Timu ya Taifa ya soka ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeichapa Malawi goli moja kwa sifuri katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo jioni…
YANGA SC | Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano za mwisho za Ligi Kuu ya NBC kikianza kuivaa Mashu…
YANGA SC | Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano za mwisho za Ligi Kuu ya NBC kikianza kuivaa Mashujaa FC Juni 13 mwaka huu katika…
KOMBE LA DUNIAN 2026 | Baada ya familia ya Azam TV kuongezeka kwa wachambuzi wa daraja la kwanza kujiunga nayo kuelekea fainali …
KOMBE LA DUNIAN 2026 | Baada ya familia ya Azam TV kuongezeka kwa wachambuzi wa daraja la kwanza kujiunga nayo kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026, baadhi ya mashabiki…
Kitendo cha Duale Kumvua Jamaa Kofia na Kumpa Kindiki Avae Chashtua Watu
Tukio hilo lilitokea Wajir wakati Kindiki na Duale walipoandamana na rais kwenda Kituo cha Dharura na Ajali cha Rufaa cha Kaunti ya Wajir. TUKO.co.ke
Tanzania, Russia ni kimkakati zaidi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ziara yake ya kitaifa nchini Russia ni ya umuhimu mkubwa kwa...
Moses Kuria Amvaa Gachagua Hadharani na Shutuma Kali Kuhusu Ghasia za Mlima Kenya: “Nikome”
Aliyekuwa Mbunge wa Gatundu Kusini Mose Kuria alikanusha uhusiano wowote wa kuandaa ghasia huko Mlima Kenya. Alimkosoa kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua.
Barabara ya Ipogolo-Kilolo yarahisisha usafirishaji mazao ya wakulima
Kwa miaka mingi, wakazi wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa waliishi katika changamoto ya usafiri...
Waliosababisha watumishi kutopandishwa vyeo kikaangoni
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora ameagizwa kuwashughulikia waajiri...
Pingamizi za kituo cha Ebola Kenya chazua tumbojoto Marekani, Daktari Mehmet Oz atoa kauli nzito
Msimamizi wa CMS wa Marekani Mehmet Oz alionyesha matumaini kuhusu kituo cha Ebola cha Kenya licha ya pingamizi na akasisitiza umuhimu wa ukaribu na huduma za afya
Chadema: Bila mikataba bora, wananchi hawatanufaika na rasilimali zilizopo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema uongozi thabiti na wenye maono...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka Watanzania kuacha kuwabeza mashabiki waliokwenda nchini M…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka Watanzania kuacha kuwabeza mashabiki waliokwenda nchini Morocco kuishangilia Serengeti Boys, akisisitiza kuwa uwepo wao ulikuwa sehemu muhimu ya kuipa timu…
CRDB yaja na huduma mpya kwa wafanyakazi wa umma
Katika jitihada za kuimarisha kipato kwa wafanyakazi wa serikali, Benki ya CRDB imetangaza...
GEF yaidhinisha Sh9.95 trilioni, fursa kwa Tanzania
Jitihada za dunia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, upotevu wa bioanuwai na uharibifu wa...
Sh70 bilioni kuwezesha biashara ndogo
Benki ya Stanbic Tanzania imepata ufadhili wa Sh70 bilioni utakaotumika kuongeza mikopo kwa...
Rekodi ngumu zinazoshikiliwa Kombe la Dunia
Ikiwa zimebaki siku nane kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika kwa pamoja...
#DiplomasiaYaUchumi
#DiplomasiaYaUchumi #Dira2050 #TabasamuLaUtu #KaziNaUtuTunasongaMbele (Feed generated with FetchRSS)
Waagizaji mafuta watoa angalizo licha ya ruzuku kwa dizeli
Wakati Tanzania inaonekana kuwa miongoni mwa nchi zenye bei ndogo ya mafuta, Chama cha...
Mwanza ni moja ya miji mizuri zaidi Tanzania, maarufu kwa miamba yake ya kipekee, Ziwa Victoria na vivutio vingi vya utalii vina…
Mwanza ni moja ya miji mizuri zaidi Tanzania, maarufu kwa miamba yake ya kipekee, Ziwa Victoria na vivutio vingi vya utalii vinavyowavutia wageni kutoka sehemu mbalimbali. Bismarck Rock ni alama…
Wanahisa Swissport kupata gawio la Sh3.2 bilioni
Wanahisa wa kampuni ya Swissport Tanzania Plc wanatarajia kupanda thamani ya uwekezaji wao...
Utumishi Girls: Wakili Danstan Omari aeleza ukweli mchungu jinsi washukiwa wanaweza ponyoka kifungo
Wakili Dastan Omari amefichua sheria za kuzuia, kukamata na kushtaki watoto wanaodaiwa kuua wenzao katika shule ya Utumishi Girls Academy. TUKO.co.ke
Wadau waonya vitendo vinavyohatarisha taswira, mustakabali wa Taifa
Baadhi ya wanasiasa na wadau wa demokrasia wamewataka Watanzania kuthamini umuhimu wa Taifa kwa...
Timu ya Taifa ya kuogelea baharini kusaka medali Mauritius
Timu ya Taifa ya mchezo wa Kuogelea Baharini, imeahidi kurejea na medali katika mashindano ya...
Takukuru yawafikia watoto njiti Shinyanga
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi vifaatiba vya kisasa kwa ajili...
Pemba inavyonawiri na viwanja vya kisasa
UNAWEZA kusema kwamba zile dhana na imani za kuwa Pemba haiwezi kujengwa, hususan kwa upande wa michezo, kwa sasa mambo yamekuwa tofauti na matarajio ya kila mmoja. Kati ya kundi…
CCM yatoa agizo kwa serikali kuhusu migodi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kuongeza usimamizi kwa wamiliki wa migodi na...
CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa
Hospitali ya CCBRT imezindua kampeni ya kitaifa ya kuchangisha Sh3 bilioni kwa ajili ya...
Madini ya dhahabu yachangia Sh80 bilioni Chunya
Kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali katika sekta ya madini umeiwezesha Halmashauri ya Wilaya...
Wataja mwarobaini kumaliza migogoro ya ardhi Zanzibar
Migogoro ya ardhi inayojitokeza mara kwa mara Zanzibar inachangiwa na ukosefu wa mpango mkuu wa...
Mama lishe kuboresha huduma kupitia mikopo
KIGOMA: Mama na Baba lishe wanaofanya wanaouza chakula kwenye hotelini na kwenye migahawa wamejipanga kutumia fursa ya mikopo na uwezeshaji kutoka serikalini na wadau wa maendeleo kupitia Umoja wa Mama…
Hundreds gain marketable skills through NBC scholarship programme
MOROGORO: In a significant effort to address youth unemployment while strengthening Tanzania’s future workforce, 588 young Tanzanians have officially embarked on vocational training through the NBC Wajibika Scholarship Programme. The…
Wanufaika 588 ufadhili wa NBC waanza rasmi mafunzo VETA
Hafla ya uzinduzi wa utekelezaji wa mpango huo ilifanyika jana katika Chuo cha VETA Kihonda...
Makonda atoa masharti mazito kwa vijana wa Serengeti boys
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema tayari baadhi ya klabu zimeanza kuvutiwa na nyota wa Serengeti Boys baada ya kiwango walichoonyesha kwenye fainali za Mataifa ya…
Bil 3/- zahitajika kusaidia watoto wenye ulemavu
DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya CCBRT imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uchangishaji fedha yenye lengo la kukusanya Sh bilioni 3 ili kugharamia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto mbalimbali…
Nyumba Nzuri Ila Moyo Mgumu! Bintiye Betty Bayo Asema Kanyari Hapendi Jumba Lao la KSh 90m Runda
Sky Victor anaeleza kwa nini babake, Mchungaji Kanyari, hapendi jumba lao la kifahari la Runda. Gundua maoni yake akianika nyumba yao ya KSh 90 milioni.
Teaching contest highlights drive to raise education standards
DODOMA: THE Tanzanian government’s efforts to improve learning outcomes through teacher innovation have gained momentum, with more than 3,000 teachers participating in this year’s National Teaching Skills Competition, a platform…
Vikosi vya jeshi la Iran: Adui amelazimishwa kukubali sheria mpya za Iran
Vikosi vya jeshi la Iran vimetangaza kuwa adui amelazimika kukubali sheria mpya zilizowekwa na Tehran kwenye uwanja wa vita, hasa kuhusu usimamizi na udhibiti makini wa Mlango-Bahari wa Hormuz, huku…
Wanajeshi wa Israel wakiona cha mtemakuni Lebanon; ripoti ya Marekani: Hizbullah sasa ina uwezo zaidi kuliko awali
Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema imetoa kipigo kikubwa kwa wanajeshi wa Israel katika mji wa al-Bayyada, kusini mwa Lebanon, huku jeshi la Israel likiendelea kushindwa na wanajeshi…