ส่อง 10 รายชื่อ UFABET เว็บตรง เว็บหลักแท้ มีบริษัทแม่รับรอง 100%
UFABET วันนี้ไม่ต่างจากตลาดสินค้าแบรนด์เนมที่มี “ของก๊อปเกรด AAA” อยู่เต็มไปหมด...
UFABET วันนี้ไม่ต่างจากตลาดสินค้าแบรนด์เนมที่มี “ของก๊อปเกรด AAA” อยู่เต็มไปหมด...
"Kumewekwa unafuu kwa wawekezaji wa ndani, ili waweze kufurahia vivutio mbalimbali vya kikodi vilivyopo bila kuweka hitajio la juu ambalo liko sawa na wawekezaji wa nje.."-Mercy Philipo-Meneja Uchambuzi wa Sera…
Marekani imetoa KSh 10.3b kwa ajili ya kazi ya kukabiliana na Ebola, kusaidia mashirika yasiyo ya kiserikali katika kupambana na mlipuko huo Afrika Mashariki.
Katiba Institute inapinga mipango ya karantini ya Ebola nchini Kenya, ikitafuta amri za mahakama za uwazi na uwajibikaji huku kukiwa na wasiwasi wa umma.
CRAWFORD : Wizara ya Maliasili na Utaliii imempa Ubalozi wa hiari wa Utalii Bondia Mahiri kutoka Marekani, Terence Crawford kwa ajili ya kuvitangaza Vivutio vya Tanzania, Waziri wa Maliasili na…
SERENGETI BOYS: ''ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu'', Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika ukiwapeleka hatua ya fainali kwenye michuano ya #AFCONU17 baada ya kuitoa Misri kwa…
KMPDU kimelalamika kuhusu kutengwa kwa Kenya katika mazungumzo ya kituo cha Ebola cha Marekani nchini, ikilaani unafiki wa serikali na hatari iliyopo.
Wabunge wametaka Serikali ibadili mfumo wa ujenzi wa nyumba ambazo zimekuwa zikisimamiwa na...
AZAMFC : ''...Feisal ameendelea kuthibitisha ubora wake mara zote...'', Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe akizungumzia kiwango cha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Feisal Salum. Aidha, Ibwe amesema klabu…
Serikali imetoa zaidi ya Sh1.3 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana zaidi ya 40 kuanzisha...
AFCONU17 | Serengeti Boys wameandika historia nyingine kwenye michuano ya #AFCONU17 kutinga fainali baada ya kuitoa Misri kwa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika…
Serikali imesema Tanzania inajiandaa kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa madini ya kinywe...
Serikali imeweka mezani miradi ya maendeleo yenye fursa za uwekezaji yenye thamani ya Dola za...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatumia Sh1.6 bilioni kila mwaka kununua chanjo za...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ametoa wito kwa halmashauri na wadau wa maendeleo...
Familia ya msanii Rachel Wandeto ilifanya sherehe ya mazishi bila mwili wake kufuatia mivutano ambayo haikutatuliwa kuhusu mahali atakapopumzishwa.
Serikali ya Tanzania imesema imedhamiria kuwawezesha viongozi wa sekta ya elimu, kuwa na...
MWANZA :SERIKALI imezindua rasmi Mpango wa Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu kwa Wakuu wa Shule za Sekondari na Maafisa Elimu Kata nchini, hatua inayolenga kuimarisha ufanisi wa uongozi…
KUPANGIWA KITUO BALOZI (Feed generated with FetchRSS)
Wakati Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ikisema imeanza utekelezaji wa mkakati wa...
Wakati sekta ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao zikiendelea kukua, wadau wametaka...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amesema viapo vya askari wa Jeshi la Polisi havina...
Mwathirika wa mkasa wa moto katika Utumishi Girls Academy alisimulia tukio la kutisha, akikumbuka mkasa uliosbabisha vifo vya wenzake 16. Aliruka kupitia dirisha
Zaidi ya wananchi 1,300 katika Kijiji cha Jangwani, Kata ya Mto wa Mbu, Wilaya ya Monduli...
Rais William Ruto alikiri kibinafsi wakati wa mazungumzo ya afya ya uzazi. Alifichua kwamba yeye na mkewe Rachel Ruto walipoteza mtoto wao wa kwanza.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimejipanga kuendelea kuhudumia wananchi wa Mkoa wa...
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government said that the transport sector is a key pillar of national development due to its significant contribution to driving economic and social activities in…
DAR ES SALAAM: THE Minister for Home Affairs Patrobas Katambi has pledged unwavering loyalty and discipline from the country’s security organs in carrying out their duties, assuring President Samia Suluhu…
DODOMA: THE National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) has officially opened admissions for certificate and diploma programmes for the 2026/27 academic year, paving the way for…
DAR ES SALAAM: THE Commander-in-Chief of the Tanzania Defence Forces, President Samia Suluhu Hassan, has directed the Tanzania Police Force to strengthen professionalism, discipline and public trust as the country…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetaja vipaumbele vinane katika utekelezaji wa...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema hakuna kilimo chenye tija bila uwepo wa mbegu...
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has instructed the Tanzania Police Force to strengthen its ability to detect and respond to security threats at an early stage, warning against…
DODOMA: Deputy Minister for Agriculture, Mr David Silinde, has launched the National Seed Sector Development Plan (2026–2030) and the National Seed System Investment Plan (2026–2030), aimed at boosting local seed…
DAR ES SALAAM: DAR City Basketball Club has donated food supplies to children with special needs shortly after returning to Dar es Salaam from Rwanda, where the team participated in…
Wakati Ligi Kuu ikiwa katika mapumziko ya wiki mbili kupisha michezo ya kalenda ya Fifa na timu za Taifa, hadi Yanga na Simba zimefuzu kushiriki mashindano ya CAF, lakini bado…
Rais William Ruto alifika katika hoteli ya Safari Park siku ya Alhamisi kwa hafla ya kuombea taifa akiwa mtulivu na asiyeonekana kutatizwa na lolote akilini.
Wanazuoni wamesema Afrika imeendelea kukumbwa na matatizo mbalimbali yanayotokana na mvutano wa...
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed the Tanzania Police Force to rebuild public trust and strengthen its relationship with citizens, the private sector and the international community.…
Aliyekuwa mfuasi wa kundi la Red Army Faction (RAF) la Ujerumani amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani kwa kutekeleza vitendo vya ujambazi wa kutumia silaha kati ya mwaka 1999 na…
DAR ES SALAAM: CRDB Bank has officially sponsored Tanzania’s talent search competition, Bongo Star Search 2026, which will now be known as CRDB Bank Bongo Star Search 2026. Speaking during…
Zaidi ya Sh946 milioni za mikopo ya asilimia 10 zimetolewa kwa vikundi 34 vya wanawake, vijana...
DODOMA: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Leonard Akwilapo, has said the Government will continue ensuring citizens legally own land in order to reduce land ownership disputes and…
MATAJIRI wa Chamazi, Azam FC wameanza mazungumzo na kiungo wao mkabaji Himid Mao kwa lengo la kuongezea mkataba baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa Simba wanyatia huduma yake.
Gazeti la Mwananchi limeteuliwa kuwania tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT)...
MABOSI wa Singida Black Stars wameanza mchakato wa kimya kimya wa kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, ambapo kwa sasa inaangalia uwezekano wa kusajili wachezaji watatu wazawa, kwa…