đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 29, 2026
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
"Mkuu wetu wa mkoa ameunda kamati, ambayo anayeratibu ni Katibu Tawala, wanaendelea kufuatilia kwa kila taasisi namna ilivyotekeleza maazimio ya mkoa, kwa hiyo kamati ipo ya kuratibu kuhakikisha hili jambo…
#HABARI:Mfanyabiashara na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredy Ngajiro maarufu (Vunjabei), ameungana na makada wengine wa chama hicho kumuunga mkono Emmanuela Mtatifikolo katika Uchaguzi Mdogo wa marudio wa Jimbo…
Michezo ni sehemu muhimu ya burudani na maisha ya watu wengi duniani, lakini baadhi yake huambatana na hatari kubwa zinazoweza kusababisha majeraha makubwa au hata vifo. Licha ya changamoto hizo,…
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar ameshiriki ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Mkutano…
Waziri Paul Makonda: Siku ya Jumanne, tarehe 02, 2026 Kila Mkoa tuweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini…
MKALI WA JIKO | Mwanzilishi, Mtayarishaji na Jaji Mkuu wa Mkali wa Jiko, Zainab Issa ametamgaza rasmi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa msimu wa sita wa shindano hilo la…
Kaka wa marehemu Alex Bumbuni, kijana aliyejirusha kutoka juu ya daraja la Kijazi, Ubungo Dar es Salaam, Boniphace Mtabutu amesema mdogo wake alikuwa na maono makubwa. Ilikuwaje akajirusha Msikilize ✍…
Dada wa marehemu Alex Mtabutu aliyejirusha katika lori lilokuwa likipita katika daraja la Kijazi Jumanne wiki hii amesimulia mawasiliano ya mwisho kati yao kabla ya tukio hilo. ✍ Halima Abdallah…
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa…
Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju ya penati 4-3. Sasa, Tanzania itacheza na Senegal katika…
Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mikataba ya udhamini. Hawa ndio wanamichezo 10 wanaolipwa zaidi duniani kwa sasa.…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inashikilia magari 32 yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria bila kufuata taratibu za kiforodha ambayo yameikosesha Serikali mapato na kuisababishia hasara Mamlaka hiyo. Akizungumza jijini Dar…
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeifuta rasmi na kuindoa mahakamani hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Saidi…
"Sheria imeacha mapengo, mapengo yenyewe ni yale ya kukosa wivu....sheria imekosa wivu, inatakiwa iweke wivu...."-Frank Ndutta- Makamu Mwenyekiti-Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania #MalumbanoYaHoja (Feed generated with FetchRSS)
"Kwa mujibu wa sheria pale ambapo mwekezaji amekuja nchini, na akasajiliwa kufanya uwekezaji fulani, kwa kweli kwa mujibu wa sheria anatakiwa azingatie working Permit yake, ni nini imemtaka kufanya ndani…
“Lakini hii sheria ukiitazama vizuri, ina maeneo 15 tu, ambayo ndio yanamzuia mtu ambaye sio Mtanzania kuja kupata leseni ..ya kufanya biashara Fulani….halafu tujitafakari tuone Je, wazawa wamelindwa...”- Saduni Isack-Wakili…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 28, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
"Kumewekwa unafuu kwa wawekezaji wa ndani, ili waweze kufurahia vivutio mbalimbali vya kikodi vilivyopo bila kuweka hitajio la juu ambalo liko sawa na wawekezaji wa nje.."-Mercy Philipo-Meneja Uchambuzi wa Sera…
#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zikimuhusisha kuhitajiwa na timu ya taifa ya Angola. @hoseamchopa amezungumza…
#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba huduma ya kinabii iliendelea hata baada ya Yesu. Biblia ndani…
‎#HABARI: Ujenzi wa Kituo cha Mbegu za Miti ya Miombo kinachogharimu zaidi ya shilingi milioni 500 katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora umekamilika, hatua itakayochochea uzalishaji wa miti imara inayosaidia…
‎#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesisitiza kuwa Serikali haitomuongezea muda Mkandarasi M/s China Civil Engineering Construction…
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashtaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika Kusini na kuyatumia nchini…
Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally, amesema dunia inakabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika nyanja mbalimbali, ikiwemo siasa, uchumi na ustawi wa jamii. Ametoa wito kwa waumini kuungana kukemea…
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz (KAIA) uliopo Jeddah nchini Saudi Arabia umeendelea kuwa mhimili muhimu katika kurahisisha ibada ya Hijja, ukihudumia mamilioni ya mahujaji kutoka mataifa mbalimbali…
Viongozi wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuhakikisha vijana wanapewa kipaumbele katika kufundishwa maadili na misingi ya imani. Wito huo umetolewa na Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ally Ngeruko, wakati wa…
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al-Adha kwa amani, huku wakizingatia ulinzi wa watoto. Akizungumza baada ya sala ya Eid iliyofanyika katika…
Kutoka @officialbakhresagroup, #EidAlAdha 🕌 njema. (Feed generated with FetchRSS)
Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. (Feed generated with FetchRSS)
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 26, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Ukosefu wa kipato katika baadhi ya familia umeendelea kuathiri elimu ya watoto wa kike katika shule za Jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wanafunzi hushindwa kumudu gharama…
WCF KUWAFIKIA WAFANYAKAZI SEKTA ISIYO RASMI #HABARI: Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeeleza kuwa uko katika mchakato wa kuandaa mpango na mazingira wezeshi yatakayowezesha Watanzania wanaojiajiri katika sekta isiyo…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa zipo sheria zinazosamia matumizi ya mitandao na kukataza upotoshaji unaoweza kuzua taharuki kwa jami, huku akitoa mfano wa picha…
Maonesho ya kuenzi maisha na urithi wa mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, Dkt. Salim Ahmed Salim, yamefungua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa maendeleo ya bara la Afrika. Maonesho hayo yaliyofunguliwa Mei…
Mtaalam wa uchumi, Ally Mkimo, ameshauri kuanzishwa kwa bandari kavu zaidi nchini ili kupunguza msongamano wa malori kwenye barabara kuu. Amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza mzigo mkubwa wa usafirishaji unaotumia…
Mtaalamu wa Uhandisi na Usafirishaji Kutoka chuokikuu cha Der es salaam (UDSM) Pancras Bujulu , amesema ubora wa barabara hupimwa na aina ya matumizi ya barabara hiyo, ambapo kuna baadhi…
Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa kutumia rasilimali za ndani haukwepeki ili kukidhi ongezeko la mizigo nchini. Amesema…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imeanza ujenzi wa mradi mkubwa wa Kituo cha Tiba ya Moyo utakaosaidia kupunguza changamoto ya wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma…
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo nchini (STPU), kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Ufugaji, kimemkamata mtuhumiwa mmoja aliyekuwa akijaribu kutorosha mbuzi na kondoo 320…
#DAKIKA45: "Sisi tunapokwenda kuwekeza na kuvutia wawekezaji, uwekezaji wetu mkubwa uko kwenye viwanda" Mhe. Dkt.Pius Chaya - Naibu Waziri Mipango na Uwekezaji. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania (Feed…
#DAKIKA45: "Wizara yetu imepewa jukumu la kuhakikisha kwamba uwekezaji wa Tanzania unakuwa na tija, kuna uwekezaji wa aina mbili, wazawa wawekeze lakini wageni kutoka nje waje wawekeze Tanzania, hayo ni…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na Mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless…
#TANZIA: Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli, amefariki dunia, Chato mkoani Geita baada ya…
FT. YANGA 3 - 1 NAMUNGO WANANCHI WAMEREJEA KILELENI (Feed generated with FetchRSS)
"VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI"- MWASELELA Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Rais Samia Suluhu Hassan ameweka matumaini makubwa kwa vijana wa Kitanzania katika kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kimaendeleo. Kimesema…
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala”…
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameishukuru serikali kwa kuutendea haki Mkoa wa Iringa kwa kujenga uwanja wa ndege mkoani humo ambapo zaidi ya Sh bilioni 60 zimetumika kufufua uwanja…