🔴TUZO ZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA – JUNI 06, 2026
🔴TUZO ZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA - JUNI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴TUZO ZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA - JUNI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Petro Ngata, amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio za SUMA JKT Marathon Juni 7, 2026, ambapo mbio hizo zitafanyika eneo la…
#HABARI: Mkurugenzi wa Drug Abuse Prevention Org (DAPO) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya Kongamano la East Africa Youth Forum on Drugs 2026 lililofanyika jijini Arusha, Surah Nyembo, amesema…
‎#HABARI: Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Jukwaa la Uwekezaji Zanzibar 2026 limefanikiwa kufungua fursa mpya, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, na kuchochea ukuaji wa uchumi wa visiwa hivyo.…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimetoa siku moja kwa Serikali kufungua vituo vya ununuzi wa pamba ambavyo havijafunguliwa hadi sasa ili kuweka mazingira wezeshi ya Mkulima kuuza…
🔴MEZA HURU: ..JUNI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JUNI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka Watanzania kuacha kuwabeza mashabiki waliokwenda nchini Morocco kuishangilia Serengeti Boys, akisisitiza kuwa uwepo wao ulikuwa sehemu muhimu ya kuipa timu…
Mwanza ni moja ya miji mizuri zaidi Tanzania, maarufu kwa miamba yake ya kipekee, Ziwa Victoria na vivutio vingi vya utalii vinavyowavutia wageni kutoka sehemu mbalimbali. Bismarck Rock ni alama…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JUNI 03, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Gari aina ya Scania lenye kichwa chenye namba za usajili T 860 BXX na tela lenye namba T 522 AKS limepoteza mwelekeo na kuingia mtaroni maeneo ya ITV, Mikocheni…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JUNI 03, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watu saba wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia basi la abiria lililokuwa likisafiri kupitia sehemu inayodhibitiwa na Urusi, nchini Ukraine. Kiongozi aliyeteuliwa na…
Azam TV imeongeza timu ya watangazaji na wachambuzi wa kandanda kwa ajili michuano ya Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza Juni 11, ambapo jumla ya mechi 104 zitarushwa mubashara kupitia chaneli…
Mchambuzi wa masuala ya diplomasia, Godfrey Mchungu, amesema mazungumzo kati ya wataalamu wa uchumi kutoka Tanzania na Urusi yanatarajiwa kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi na biashara kwa pande zote mbili.…
Ujumbe wa wafanyabiashara zaidi ya 70 kutoka Tanzania ulioambatana na Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara ya kitaifa nchini Urusi unatarajia kutumia jukwaa la uchumi litakalofanyika katika mji wa St.…
Uhaba wa madaktari bingwa katika magonjwa ya mfumo wa chakula na ini kwa watoto umeendelea kuwa changamoto kubwa katika sekta ya afya, hali inayowafanya wataalamu kuendelea kuweka mikakati ya kuwajengea…
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Chakula na Ini kwa Watoto, Dkt. Livin Mumburi, amesema watu wengi hukosa watu wa karibu wa kuwapa moyo katika safari zao za mafanikio,…
Katibu wa NEC Itikadi uenezi na mafunzo CCM Taifa Kenani Kihongosi ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa shule ya Sekondari Beselo iliyopo Babati Vijijini ambayo imetajwa kuwa itasaidia wanafunzi…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ummy Mwalimu kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Ummy ambaye amewahi kuwa mbunge na waziri katika wizara mbalimbali ikiwamo…
Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha visa sita vipya vya ugonjwa wa Ebola, na hivyo kufanya jumla ya maambukizi yaliyothibitishwa nchini humo kufikia 15. Katika taarifa iliyochapishwa kwenye X, wizara…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Patrobas Katambi amewasihi askari polisi kulinda viapo hata baada ya kustaafu utumishi katika Jeshi la Polisi huku akiwapongeza wahitimu Mia Saba…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wa Serikali ya Kenya kuruhusu kuanzishwa kwa kituo cha karantini ya Ebola katika kambi ya jeshi ya Laikipia Air Base, akisema hatua…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JUNI 02, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Hanang' mkoani Manyara kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano ya vurugu yanayoweza kusababisha uharibifu wa mali za umma.…
Michuano ya U17 AFCON yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kuchezwa Serengeti Boys watakipiga na Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports2HD. Tunasema…
Mapitio ya #MAGAZETI leo juni 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Burudani ya tarumbeta ilikuwa sehemu ya uzinduzi wa Kampeni ya Road To World Cup, mapema leo katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli. Mechi zote 104 zitaruka mubashara kupitia AzamSports2HD…
Timu mauzo ya AzamTV na Timu Kombolela Ilikuwa ni mtaa kwa mtaa kuwasogezea wananchi Kisimbuzi cha AzamTV na kuhakikisha hawakosi fainali za Kombe la Dunia 2026, kwani mechi zote 104…
Team Kombolela walikuwepo leo katika uzinduzi wa kampeni ya Road to World Cup ambapo mechi zote 104 za Kombe la Dunia zitaruka mubashara kupitia kisimbuzi cha AzamTV Kama huna kisimbuzi…
Kombe la Dunia la mwaka 2026 linatarajiwa kuleta mabadiliko kadhaa katika sheria za mchezo (Laws of the Game) zitakazobadilisha namna soka linavyochezwa na kusimamiwa. Mabadiliko hayo yanalenga kupunguza upotevu wa…
Kwa miaka mingi, picha ya kijana wa Kimasai akiwa amebeba fimbo, rungu au silaha za jadi imeendelea kuwa sehemu ya utambulisho wa jamii hiyo. Hata hivyo, katika Tanzania ya sasa…
Wananchi zaidi ya elfu 12 katika vijiji vya Mwasita na Mwabayanda wilayani Maswa wanatarajia kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya Serikali kutenga shilingi bilioni…
Utamaduni unaendelea kuvuka mipaka ya mikoa nchini, ukichochewa na kuenea kwa lugha ya Kiswahili, maboresho ya miundombinu na shughuli za kiuchumi. Mfano wa hali hiyo ni ngoma ya asili ya…
Hii ni safari ya Winfrida Mkombe, ambaye kitaaluma ni Mhasibu, aliamua kuachana na ajira ya ofisini na kuingia katika ujasiriamali baada ya kuona fursa kubwa katika sekta ya maziwa. Leo…
Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa, amesema malezi bora yanayozingatia maadili na imani ni msingi muhimu wa kumjenga mtoto na kumpa uwezo wa kuishi kwa kujiamini ndani…
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesisitiza kuwa kimedhamiria kufanya Mageuzi makubwa katika sekta zote nchini ili kupeleka maendeleo Kwa wananchi kwakuwa Chama hicho kina nia ya dhati ya kuwainua kiuchumi Watanzania.…
Jamii imetakiwa kuendelea kushirikiana katika makuzi na malezi ya watoto na vijana ili kujenga jamii bora yenye maadili, amani na maendeleo endelevu. ‎ ‎Wito huo umetolewa na Katibu wa Taasisi…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt.BATILDA BURIAN ameunda kamati maalum ya kufuatilia mchakato wa ubomoaji nyumba za wananchi katika kijiji cha Msakangoto kilichopo wilayani Muheza Mkoani humo. Akitoa taarifa…
Mwanasaikolojia Milton Tunge amesema kuwa mtu anayependa kazi au jambo analolifanya huwa na tabia ya kuheshimu muda, kutokana na hamu yake ya kuona kazi hiyo inakamilika kwa wakati. Amesema hali…
Mshauri wa Ndoa na Maendeleo ya Kazi kwa Vijana, Angela Mutashobya, amesema ndoa nyingi za vijana kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa zinazochangiwa na athari za utandawazi na kasi ya…
Mwanandoa Mrs. Joan Aron amesema kuwa maisha ya ndoa yana changamoto nyingi zinazohitaji uvumilivu, busara na ushirikiano ili ziweze kutatuliwa kwa mafanikio. Amesema wanandoa wanapaswa kutafuta njia sahihi za kukabiliana…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imeanza kutoa fursa kwa wauguzi wake kujiendeleza kielimu hadi ngazi za ubingwa, hatua inayolenga kuimarisha utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Mkurugenzi wa hospitali…
Zaidi ya shilingi bilioni 2.6 zinatarajiwa kukusanywa katika kampeni ya GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS mwaka 2026, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI nchini. Kampeni hiyo…
Ushirikiano wa Benki ya CRDB na kipindi cha Watoto Shangwe umefika Shule za Fountain Gate Academy zilizopo Dodoma na lengo la kufika huko ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wanafunzi wa…
Bandari Kavu ya Azam (ICD) inatarajia kuzindua mashine ya umeme ya kubebea makasha katika kutekeleza mikakati ya matumizi ya nmishati safi na kuongeza ufanisi wa shughuli za bandarini. Akizungumza na…
Shirika la Afya Duniani 'WHO' limethibitisha kupona kwa mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC tangu kuzuka upya kwa ugonjwa huo. Mgonjwa huyo tayari ameruhusiwa…
Kutoka mashambani kwa wafugaji hadi mezani kwa watumiaji, maziwa yameendelea kuwa sehemu muhimu ya lishe, afya na uchumi wa jamii. Wakazi wa kata ya Igima wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe ni…
Wadau mbalimbali wa masuala ya sheria na haki wakiwemo wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wameliomba Jeshi la Polisi kubadilika na kuendana na maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kulitaka…
#HABARI: Vichwa vya mbuzi na ng'ombe pamoja na miguu vinaendelea kuuzwa kiholela karibu na Machinjio ya Vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya wakazi wa jiji…