Jeshi la Somalia lamuuwa kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab
Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limewaua wanachama wawili wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, akiwemo kamanda mwandamizi, katika operesheni ya kijeshi iliyopangwa katika eneo la Hanti Wadaag, mkoani…