Rais wa Cuba atangaza mageuzi mapya ya kiuchumi ili kukabiliana na mzingiro wa kijinai wa Marekani
Rais wa Cuba atangaza mageuzi mapya ya kiuchumi ili kukabiliana na mzingiro wa kijinai wa Marekani
Rais wa Cuba atangaza mageuzi mapya ya kiuchumi ili kukabiliana na mzingiro wa kijinai wa Marekani
Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amekiuka makubaliano legevu ya kusitisha mapigano kati ya nchi hiyo na Iran kwa kushambulia upya maeneo kadhaa ndani ya ardhi ya…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekutaja kuongezeka vitendo vya ukatili vya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi kuwa ni "maangamizi ya kizazi"…
Tucker Carlson, mwanahabari maarufu wa kihafidhina wa Marekani, amesema kwamba matukio ya sasa katika mzozo wa Asia Magharibi yanaonyesha mapungufu ya nguvu ya kijeshi ya Marekani, akisisitiza kwamba Washington imeshindwa…
Leo ni Jumamosi 27 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1447 Hijria mwafaka na 13 Juni 2026.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, ameelezea muundo wa makubaliano tarajiwa kati ya Iran na Marekani na kusisitiza kwamba diplomasia inakusudia kuimarisha mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu…
Kamanda wa Makao Makuu ya Majeshi ya Iran, Khatamul-Anbiya (SAW) ameionya Marekani kuhusu "mzunguko wa uongo, tasa na wenye migongano" katika mienendo yake, baada ya Washington kutishia kwanza kwamba itashambulia…
Makubaliano yoyote kati ya Iran na Marekani yatakuwa na matokeo ya moja kwa moja kwa Lebanon bila kujali kuwa mamlaka za Lebanon zinakubali au la.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei amelaani mashambulizi ya kikatili ya Marekani dhidi ya meli za kibiashara za India, na kusisitiza kuwa mashambulizi hayo ya…
Shirika la Afya Duniani (WHO) jana Ijumaa lilitangaza kuwa mlipuko wa Ebola kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sasa unaenea katika maeneo mapya.
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Adui wa taifa haelewi lugha ya mazungumzo wala lugha ya kusitisha mapigano, bali anaelewa lugha ya mabavu, ambayo majeshi yetu…
Nyota wa zamani wa soka wa Misri na mchambuzi wa masuala ya michezo, Mohamed Aboutrika, ameibua wimbi kubwa la majibizano na mijadala kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kukosoa sera…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba taifa litalinda uhuru na mamlaka yake ya kitaifa licha ya kuongezeka vitisho na mashinikizo.
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ametangaza leo Ijumaa kwamba "magaidi" wasiopungua 13,000 waliuawa nchini Nigeria mwaka jana, akisisitiza kwamba idadi ya vifo vinavyotokana na uasi wa kutumia silaha nchini…
Kundi la wadukuzi wanaopinga uvamizi wa kivita wa Marekani limetangaza kwamba limedukua vituo vya maji vya California kama kulipiza kisasi cha moja kwa moja kwa shambulio la anga la Marekani…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa sehemu muhimu za maelewano yanyolenga kumaliza vita vilivyolazimishwa zinakaribia kukamilika, pamoja na kuwepo misimamo kinzani ya Washington na vitendo…
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, ameifananisha Israel na "utawala wa Nazi" katika maoni yake kuhusu vita vya kuangamiza vya Tel Aviv katika Ukanda wa Gaza.
Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) imetangaza kwamba idadi ya watu waliolazimika kuhama makwao duniani kote ilipungua mwaka wa 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kurekodiwa punguo…
Licha ya amri ya Mahakama Kuu ya Kenya ya kusimamisha ujenzi wa kituo cha karantini cha kuwapokea raia wa Marekani wanaoshukiwa kuwa na Ebola na maandamano ya Wakenya wenye hasira…
Licha ya amri ya Mahakama Kuu ya Kenya ya kusimamisha ujenzi wa kituo cha karantini cha kuwapokea raia wa Marekani wanaoshukiwa kuwa na Ebola na maandamano ya Wakenya wenye hasira…
Wakati ambapo macho yote yameelekezwa kwenye viwanja vya mashindano ya Kombe la Dunia huko Marekani, Mexico na Canada, Mswizi Joseph Blatter, rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Kimataifa…
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 12 Juni 2026.
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likishirikiana na Jeshi la Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh), limetangaza mfululizo wa operesheni za kijeshi za kulipiza…
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likishirikiana na Jeshi la Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh), limetangaza mfululizo wa operesheni za kijeshi za kulipiza…
Bei za mafuta ghafi ya petroli zilipanda Alhamisi duniani kufuatia kurejea kwa mashambulizi ya kijeshi baada ya uchokozi wa Marekani na ukiukaji wake wa makubaliano ya kusitisha mapigano na Iran.…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba idadi ya visa vilivyothibitishwa vya Ebola imepanda na kukaribia 600, huku kukiendelezwa uhamasishaji miongoni mwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuchukua hatua za kujikinga.
Afrika itaandika historia katika Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwa kuwakilishwa na timu 10, ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kufikiwa na bara hilo katika mashindano hayo.
Afrika itaandika historia katika Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwa kuwakilishwa na timu 10, ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kufikiwa na bara hilo katika mashindano hayo.
Gazeti mashuhuri la The New York Times limesema kuwa mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani dhidi ya miundombinu ya maji kusini mwa Iran yanaweza kuhesabika kama uhalifu wa kivita, kwani…
Akizungumzia vikwazo vilivyowekwa karibuni na Umoja wa Ulaya dhidi ya baadhi ya shakhsia na taasisi za Iran, Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Sheria na…
Kombe la Dunia la mchezo wa kandanda, ambalo waasisi wake wamekuwa wakidai kuheshimu maadili na thamani za kimataifa pamoja na kutenganishwa siasa na mchezo huo, sasa limekuwa mateka wa siasa…
Leo ni Alkhamisi 25 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 11 Juni 2026.
Leo ni Jumatano tarehe 24 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 10 Juni 2026.
Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria sawa na Juni 9 mwaka 2026.
Leo ni Jumatatu 22 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria sawa na 8 Juni 2026.
Kamandi Kuu ya Jeshi la Iran imeamuru kufungwa Mlango-Bahari wa Kistratejia wa Hormuz muda mfupi baada ya kuanza hujuma mpya ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, licha ya Jamhuri…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema kuwa liliangusha droni ya kivita ya Marekani aina ya MQ 9 karibu na Mlango Bahari wa Hormuz, wakati mvutano wa kijeshi…
Marekani yashambulia kigaidi kituo cha maji ya kunywa Hormozgan, Iran
Iran imejitokeza kama taifa linaloongoza kwa uzalishaji wa kisayansi katika nyanja ya mikroelektroniki miongoni mwa nchi za Kiislamu, huku ikishika nafasi ya kwanza katika matawi mengi muhimu ya sekta hiyo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Russia ina nia ya kusaidia Afrika kujenga mpangilio mpya wa uchumi wa dunia na inaendelea kujitolea kuunga…
Kushirikiana kwa utawala wa Trump na vitendo vya jinai na uchokozi vya Israel katika kipindi cha miaka miwili iliyopita kumekuwa na taathira mbaya kwa msimamo wa serikali ya sasa ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeripoti kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimetoa vipigo vikali kwa kambi za Marekani na mali mbalimbali katika kanda hii ambavyo Marekani…
Watu 12 wameuawa na wengine 9 kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi katika makazi yasiyo rasmi katika kitongoji cha Cleveland jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Omar Abdulkadir Artan mwamuzi mashuhuri wa kandanda kutoka Somalia amelakiwa kishujaa wakati alipowasili nchini humo hii leo baada ya kuzuiwa kuingia Marekani; uamuzi ambao umemzuia kuchezesha katika mashindano ya Kombe…
Akijibu uchokozi na ukiukwaji wa mapigano uliofanywa na Marekani, Spika wa Bunge la Iran amesisitiza kuwa: "Ukivunja ahadi na majukumu yako, tutatumia lugha tunayoijua vyema."
Ujumbe wa Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali mkutano wa Baraza la Usalama la umoja huo ulioitishwa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran ukiutaja kuwa ni "onyesho lingine la…
Maeneo manne muhimu katika kambi ya anga na kituo cha amri na udhibiti cha jeshi la mauaji ya watoto la Marekani huko Al-Azraq, Jordan yameshambuliwa usiku wa kuamkia leo kwa…
Maeneo manne muhimu katika kambi ya anga na kituo cha amri na udhibiti cha jeshi la mauaji ya watoto la Marekani huko Al-Azraq, Jordan yameshambuliwa usiku wa kuamkia leo kwa…
Shirikisho la Soka la Iran limeomba rasmi ruhusa ya FIFA kwa wachezaji wa timu yake ya taifa kuvaa vitambaa vyeusi mikononi wakati wa mechi yao ijayo ya Kombe la Dunia…
Harakati ya Hamas imeonya kuhusu ongezeko la shughuli za ubomoaji wa nyumba na majengo ya Wapalestina unaofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikiwa ni pamoja na…