Mbarali yatarajia kuvuna tani 430,452 za mpunga, masoko yatajwa
Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya...
Kahama yasaini mkataba mpya umaliziaji barabara, onyo latolewa
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imesaini mkataba wa umaliziaji wa ujenzi wa...
Barcelona yakaribia kumnasa Gordon, Rashford kikaangoni
Barcelona imefikia pazuri katika mpango wake wa kumnasa winga wa Newcastle United, Anthony...
TPA yawataka wadau kujipanga utekelezaji tozo mpya
Tanga. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imewataka wadau wa sekta ya usafirishaji...
Mwanga kwa waombaji mikopo TASAF, HESLB wakitoa elimu
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
Mwenendo wa biashara, historia ya miamala kuwezesha kupata mkopo
Katika hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mitaji na kuchochea ukuaji wa sekta ya...
Wataalamu wataja utafiti, ushirikishwaji wa jamii kukuza uchumi wa buluu
Licha ya sekta ya uchumi wa buluu kuwa na fursa nyingi, ili ziweze kufikiwa, imeelezwa kuwa...
Kijana aliyemkumbatia Rais Ruto jukwaani apewa ajira, walinzi hatarini
Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Kenya, jeshi hilo...
Watatu mbaroni kwa kuingiza magari nchini kutoka Afrika Kusini ‘kijanja janja’
Wafanyabiashara watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni...
Mitazamo ya wadau tozo mpya za bandari
Wakati tozo mpya ya Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (PID) ya asilimia 4.5 ikianza...
Yas yatambulisha kitengo maalum suhuhisho huduma za kidijitali
Yas Tanzania leo imetambulisha rasmi Yas Business, kitengo maalum kinachounganisha huduma zote...
Wananchi Bunda walalamikia ukosefu wa maji, mamlaka yaeleza sababu
Baadhi ya wakazi wa mji wa Bunda mkoani Mara wamelalamikia upungufu wa maji unaoukabili mji...
NMB Foundation, Tacaids waungana kumkomboa msichana dhidi ya Ukimwi
Taasisi ya NMB Foundation na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) zimesaini makubaliano...
Dk Mwinyi: Tunachukua hatua kudhibiti athari bei ya nishati
Mbali na hilo, Dk Mwinyi amewasihi wananchi kudumisha umoja, mshikamano na upendo, akionya kuwa...
Wanawake wakumbushwa kuepuka mashindano ya mavazi na mapambo
Wanawake wa Kiislamu nchini wametakiwa kuepuka kushindana kwa mavazi na mapambo yasiyo na tija,...
Arteta ashinda tuzo ya Kocha Bora EPL
Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta ameshinda tuzo ya Meneja Bora wa Ligi Kuu England (EPL) msimu...
Khadija Kopa alivyogeuka silaha kwa wasanii wa Bongofleva
Malkia wa Taarabu nchini, Khadija Kopa amegeuka kuwa kipenzi cha wasanii wengi wa kizazi kipya...
Mahakama yatupilia mbali kesi ya uchaguzi Tunduru Kusini
Shauri hilo la Uchaguzi namba 29982/2025 lilifunguliwa na Mohamed Rais na Odax John dhidi ya...
Papa Leo aishukia AI, ataka iwahiwe kabla haijaleta madhara
“Najua neno hilo ni zito, lakini nimelichagua kwa makusudi kwa sababu wakati huu unahitaji...
Viporo vitatu vya Diamond katika muziki
Dar es Salaam. Waswahili husema ahadi ni deni. Licha ya kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Diamond...
RC Tanga ahimiza ulinzi wa watoto swala ya Eid
Serikali mkoani Tanga, imetaka watoto wasimamiwe kuepusha madhara wanaposherehekea Sikukuu ya Eid.
Wito wa maridhiano, amani, maadili watawala swala ya Eid Mbeya
Waislamu na wananchi kwa ujumla nchini wameshauriwa kutumia sikukuu ya Eid El Adh’haa kurejesha...
Tanzania yaimarisha tahadhari dhidi ya mlipuko wa Ebola
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi amesema Tanzania inaendelea na hatua za...
Moto wateketeza mtoto, mwili wakutwa chini ya kitanda
Simanzi na majonzi vimetawala katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Wilaya ya...
Jenna, binti mfalme aliyegeukia kwenye muziki, ugizaji
Akiwa mmoja wa watoto wa kifalme wanaofuatiliwa zaidi barani Asia. Princess Norodom Jenna...
Yas yaingia kwenye orodha ya chapa 50 zenye nguvu Afrika
Kampuni ya mawasiliano ya Yas inayomilikiwa na AXIAN Telecom, imeendelea kupata mafanikio...
Mgodi wazindua kliniki kutatua changamoto za wanakijiji
Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara umezindua kliniki maalumu ya kusikiliza na kutatua...
Jumuiya ya maridhiano Tanzania yajibu muswada wa maseneta wa Marekani
Imesema, kauli ya maseneta hao ni uzushi, uchochezi wa wazi ambao hauwezi kukubalika kwa namna...
Mkomi aagiza ushiriki mkutano bila uwakilishi
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi ameagiza...
Manyara kukusanya Sh886 milioni kuokoa watoto njiti
Babati. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anatarajia kuzindua mbio za Manyara Tanzanite marathon ili...
Mke amuua mume kwa sindano ya sumu kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta mwanamke anayefahamika kwa jina la Queen Mbuba kwa...
Matumaini chanjo ya Ebola ikitarajiwa miezi miwili ijayo
Tayari majaribio ya chanjo hiyo kwa wanyama yameanza ikiwa ni juhudi za kukabiliana na kuenea...
Utekaji, maridhiano vyawaibua wanawake wa vyama 12 vya siasa
Baadhi ya wanawake viongozi wa Umoja wa wanawake wa vyama rafiki 12 vya siasa nchini.
Singida BS yaichelewesha KMC kushuka daraja ikiichapa Mbeya City
Kama Mbeya City ingepata ushindi katika mechi ya leo, ingefikisha pointi 25 ambazo zingefanya...
Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka
Gang'olo amesema mradi huo wa ujenzi wa vyoo vya Shule ya Msingi Namalulu umebainika baada ya...
Wimbo maalumu waachiwa kuadhimisha Siku ya Hedhi Duniani
Katika kuadhimisha Siku ya Hedhi Salama Duniani, Shirika la Rafiki wa Binti limezindua wimbo...