Huyu Karesi bey kuna kitu anakitafuta, Gonja anagundua siri ya Begum hatun
Huyu Karesi bey kuna kitu anakitafuta, Gonja anagundua siri ya Begum hatun. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Huyu Karesi bey kuna kitu anakitafuta, Gonja anagundua siri ya Begum hatun. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji katika rasilimali za Madini,Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) akizungumzia athari zinazotokana na makampuni kutotoa taarifa kwenye taasisi hiyo. #clouds360
Mambo yanazidi kuchanganya kwa Zein, mama ni kama hamtaki Sara. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
Wakazi wa kijiji cha Makome B katika kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao wanateseka kupata maji ya kunywa na matumizi mengine wameiomba serikali kukamilisha mradi…
"Kwenye miradi mingi ya madini wananchi wengi ambao wanakaa pale wanapewa priority. "Wanapewa ajira kwa wale ambao wana ujuzi au ambao hawana ujuzi watapewa ujuzi au watapewa zile kazi za…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo amekutana na Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kwa lengo la…
"Serikali inafanyia kazi kwenye mabadiliko ya sheria ya madini kuna baadhi ya kodi zimeongezwa zingine zimepunguzwa"- Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji katika rasilimali za Madini,Mafuta na…
Naibu Waziri Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Dkt. Pius Chaya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha wanafuata maelekezo ya serikali kwa kuajiri wataalam wa ndani wenye ujuzi wa miradi inayotekelezwa, ikiwemo…
Serikali imetangaza kuanza utekelezaji wa mkakati wa kubadilisha miundombinu ya maji isiyofaa, kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji na kuboresha huduma kwa wananchi. Aidha, wananchi wametakiwa kutunza na kulinda…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kutawala vichwa vya habari za kimataifa baada ya kufanya mazungumzo ya simu na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, siku chache tu baada ya kutoa…
Watumishi wa halmashauri wakiwemo wakurugenzi watendaji na madiwani mkoani Lindi wametakiwa kutumia ipasavyo mafunzo ya uongozi yaliyotolewa kwa madiwani, ili kutatua changamoto za kiuongozi zinazojitokeza katika utekelezaji wa majukumu ya…
Kitaani kwako kuna Kero ipi⁉️ #clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Wizara ya Afya inaendelea kutoa huduma maalum za upasuaji kwa wagonjwa wa mabusha, Katika Kituo cha Afya Kinondoni, Dar es Salaam. Farasi wa #MorningTrumpet amefika kituoni hapo na kuelezwa kuwa,…
Hii familia kila siku yanaibuka mambo mapya, Jevdet naye kaanza kuonewa wivu, Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Hapo Chaichaka anachekea tumboni 😅
"Taarifa zetu zipo wazi lakini makampuni mengi kama mtakumbuka kipindi cha mwanzo kweli walikuwa hawalipi kodi. Na kuna kodi inalipwa baada ya kampuni kuanza kupata faida. "Ni kweli makampuni mengi…
Msemaji wa chama tawala cha Uganda, National Resistance Movement (NRM) amesema kuwa wapiga kura wa nchi hiyo wako tayari kumuunga mkono mgombea wa urais kutoka katika mazingira yoyote, mradi aonyeshe…
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Prof. Riziki…
Mbote kaingia kwenye 18 za wajanja. Sheiza ajulikana utambulisho wake...Radhia ataamua nini baada ya hizi taarifa Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
360 WAFIKA KWENYE SHIMO LA DARAJA LA MALECELA. Advance Team ya timu ya taifa #Clouds360 @dr.samsasali360 pamoja na @jamestupatupa asubuhi ya leo wameamkia katika kero ya muda mrefu kwa watumiaji…
Mapitio ya #MAGAZETI Leo Januari 8, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Wao wenyewe wameshakubali imekula kwao🙌
Raia wawili wa China, Weisi Wang na Yao Licong wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na fedha taslimu…
Upepo unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayofikia mita mbili umesababisha kudorora kwa shughuli za uvuvi na kuathiri shughuli za usafirishaji katika mikoa mitano ya Dar es Salaam, Tanga,…
Matukio ya majanga ya moto nchini yameendelea kutishia usalama wa maisha ya watu na mali zao huku idadi ya matukio hayo ikiendela kuwa juu katika kipindi cha mwaka 2025. Miongoni…
Uvumilivu umemshinda Jemo, kaamua akiwashe😆
Je, una Elimu ya kutosha ya kukabiliana na majanga ya moto? Takwimu za mwaka 2025 pekee zinaonesha ajili za moto zilifikia idadi ya zaidi ya 3,000 na kusababisha maafa ya…
Mchunguze Mussa...Kazi anayopewa Kachoi
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani amewaonya maofisa mifugo na uvuvi nchini wanaohudumia wafugaji na wavuvi ofisini badala ywa kwenda kwenye maeneo ya uzalishaji kuwa hatua kali dhidi…
Kitu gani kinaweza kukufanya usiweze kulala usiku kucha Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow…
Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari 🥹
Mfanyakazi katika shirika la usalama wa nyuklia la Japani amepoteza simu yake ya kazini ambayo ina taarifa nyeti, wakati wa ziara binafsi nchini China, vimeripoti vyombo vya habari vya Japani.…
Kwenye kunyoosha sasa 🤣🤣🤣 #Clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Gervas Kasiga ameipongeza #AzamMediaLimited kwa kuendelea kudhamini Tuzo za filamu nchini kwa misimu minne mfululizo. Ametoa pongezi hizo leo kwenye mkutano na…
Mkuu wa Chaneli ya #SinemaZetu @sophiamgaz amesema kuelekea usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2025, kampuni ya Azam Media imejipanga kurusha matangazo hayo mubashara kwa viwango vya juu. Amesema pia…
''Katika filamu 2,360 zilizopokelewa, tulikuwa tuna jumla ya filamu 239 kutoka Tanzania na 2,121 kutoka nje ya Tanzania,,,tamasha sasa linabadilika kuwa ni la Kimataifa'' Dkt. Gervas Kasiga, Katibu Mtendaji Bodi…
Njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, imezuiwa, limetangaza taifa hilo la Afrika Magharibi. Mpango huo ulikuwa umepangwa na Luteni Kanali Paul Henri Damiba, afisa…
Huyu Kares bey kuna jambo analitafuta. Usikose kufuatilia mkasa huu wa OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za watoto. #Kids #AzamTV
Sehemu ya series zitakazoruka wiki hii ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama series hizi na nyingine. #Azamseries #AzamONE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. 𝗔𝘀𝗵𝗮-𝗿𝗼𝘀𝗲 𝗠𝗶𝗴𝗶𝗿𝗼 amewasisitizia Mabalozi wa mashina na viongozi wengine wa chama kuendeleza mahusiano mazuri na jamii kwakuwa hayo ndiyo yanayopelekea kuongeza…
Mvua kubwa ya theluji na hali ya hewa ya barafu imesababisha usumbufu mkubwa wa usafiri kote Ulaya, huku watu sita wakiripotiwa kufariki katika matukio yanayohusiana na hali ya hewa hiyo…
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kutumia teknolojia ya mawasiliano ikiwemo mitandao ya kijamii kama nyenzo muhimu ya kutangaza, kukuza na kuongeza…
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akitoa kilio chake kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kutokana na kukosekana kwa maji katika Mji…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shuleni kwa wakati muhula mpya wa masomo wa mwaka 2026 unapoanza, hata kama sare na mahitaji mengine…
Serikali imewataka wavuvi wanaojihusisha na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria kujisalimisha na kuacha matumizi ya zana zilizopigwa marufuku kabla ya kuanza kwa operesheni kabambe ya ukamataji. Akizungumza na wadau wa…
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mkandarasi wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa tuhuma za kughushi mkataba wa ujenzi wa madarasa, matundu ya vyoo na mabweni katika Shule ya…
Mama ataweza kuharibu mapenzi ya Zein kwa Sara Usikose kutazama uhondo wote huu kwenye THE PRICE leo saa 3:00 USIKU. #AzamTwo