Tanzania eyes massive waste recycling drive to boost green jobs
ARUSHA: TANZANIA is mulling the recycling of all solid and liquid waste as part of the country’s latest efforts to address the effects of climate change and create employment opportunities…
Kituo kipya cha mafuta chafunguliwa kuongeza huduma
Kampuni ya Evosha Energies imepanua mtandao wake wa usambazaji wa mafuta kwa kufungua kituo...
Sweden inakuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kwa kufikia kiwango kidogo cha wavutaji siagara
Sweden imekuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kujitangaza kuwa iko “huru kutoka kwenye tumbaku.” Kulingana na ripoti iliyochapishwa siku ya Jumatatu na Baraza la Habari kuhusu Pombe na Dawa za…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imeanza ujenzi wa mradi mkubwa wa Kituo cha Tiba ya Moyo utakaosaidia kupunguza…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imeanza ujenzi wa mradi mkubwa wa Kituo cha Tiba ya Moyo utakaosaidia kupunguza changamoto ya wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma…
TMA forecasts prolonged cold season, warns of possible El Niño
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Meteorological Authority (TMA) has forecast a prolonged cold season between June and August 2026, characterised by low temperatures, strong winds in some areas and occasional…
TANESCO replaces aging power infrastructure, MPs told
DODOMA: THE government has started replacing aging electricity poles with stronger concrete and steel structures in an effort to reduce recurring power disruptions caused by collapsing poles in several parts…
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo nchini (STPU), kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Ufugaji, kimemka…
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo nchini (STPU), kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Ufugaji, kimemkamata mtuhumiwa mmoja aliyekuwa akijaribu kutorosha mbuzi na kondoo 320…
Singida BS na kibarua cha kubadilisha nafasi, tatu zikijitafuta
Singida BS iliyopo nafasi ya nne katika msimamo wa ligi ikicheza mechi 24, imeshinda 11, sare...
Mwinyi stresses science, innovation for blue economy growth
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has underscored the importance of scientific research and innovation in accelerating transformation of the blue economy, saying the approach is essential for ensuring inclusive and…
EU ina wasiwasi kuhusu uvamizi wa mara kwa mara wa ndege zisizo na rubani katika nchi za Baltic
Kulingana na Tume ya Ulaya, nchi za Baltic zimekuwa zikikabiliwa na mashambulizi ya mseto yasiyokoma tangu mwezi Machi. Mashambulizi ya Ukraine dhidi ya eneo la Urusi katika Oblast ya St.…
Imekuwa kaa la moto! ODM yadondosha kauli mbiu ya ‘Linda Ground’ kuendelea mbele
Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga alitangaza kusitishwa kwa Kauli Mbiu ya 'Linda Ground'. Aliwashutumu waasi kwa kuashiria mkanganyiko kabla ya uchaguzi wa 2027.
Government revokes rogue labour agents
DODOMA: THE government has revoked the licences of three labour recruitment agents accused of exploiting Tanzanian youths seeking jobs abroad, as authorities intensify efforts to protect workers and restore confidence…
Government warns against online incitement, misinformation
DODOMA: THE government has warned that individuals and groups using social media and other platforms to spread false information, insults and incitement threatening national peace will face legal action as…
Ulaya Magharibi inajiandaa kwa siku nyingine ya joto kali kwa mwezi Mei
Kuanzia Uingereza hadi Italia, sehemu za Ulaya zinajiandaa leo Jumanne kwa siku nyingine ya joto kali kwa mwezi Mei, na kuvuruga utaratibu katika bara ambalo linapata joto haraka zaidi kuliko…
Saturn Corporation yazindua uunganishwaji wa magari ya pick up nchini
Kampuni ya Saturn Cooperation imezindua upanuzi wa kiwanda chao cha uunganishaji magari...
Nusu fainali AFCON U-17 utamu upo hapa kwa Serengeti Boys
Kwa Serengeti Boys, kufika nusu fainali tayari ni mafanikio makubwa, lakini sasa timu hiyo iko...
Magazeti ya Kenya, Mei 26: Mwanamume aliyemparamia Ruto huko Kilifi aswekwa ndani kusubiri kesi
Uvunjaji wa usalama wakati wa ziara ya Rais Ruto pwani wazua tahadhari Kilifi. Shtaka kubwa la mwanamume lazua mapitio makubwa ya itifaki za usalama kwa rais.
Uganda: Bunge limechagua spika wake mpya baada ya kuondolewa kwa mwanachama wa chama tawala
Nchini Uganda, karibu miezi mitano baada ya uchaguzi wa urais na wa wabunge, wabunge wapya waliochaguliwa wamekutana kwa mara ya kwanza siku ya Jumatatu, Mei 25. Walimchagua Jacob Oboth-Oboth, ambaye…
Sudan Kusini: Serikali yaachana na mipango ya kuvunja makubaliano ya amani ya 2018
Nchini Sudan Kusini, serikali imebadilisha mkondo na kuachana na mipango ya kuondoa vifungu muhimu kutoka kwa makubaliano ya amani ya mwaka 2018. Chini ya shinikizo kutoka kwa mashirika ya kiraia…
Racheal Otuoma athibitisha tayari amevikwa Pete ya uchumba, anasibiri tu siku ya harusi
TiKToker Racheal Otuoma ashiriki uchumba wake wa kushtukiza baada ya kufiwa na mumewe, Ezekiel, akiangazia safari yake kutoka huzuni hadi mwanzo mpya.
Homera to bless Wakili Marathon 2026
DODOMA: Minister for Constitutional and Legal Affairs Juma Zuberi Homera is set to officiate the much-anticipated Wakili Marathon 2026 scheduled at Jamhuri Stadium in Dodoma on May 31. This has…
Senegal: Ahmadou Al Aminou Mohamed Lo ateuliwa kuwa Waziri Mkuu mpya
Ahmadou Al Aminou Mohamed Lo ndiye Waziri Mkuu mpya wa Senegal. Siku tatu baada ya kufukuzwa kazi kwa Ousmane Sonko, mchumi huyu mwenye umri wa miaka 60 ameteuliwa kuwa mkuu…
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni ‘vigogo’ 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Urani ni nini na inatumika vipi kuunda silaha za nyuklia na uzalishaji wa nishati?
Vita vya Marekani na Israel na Iran kwa mara nyingine tena vimeibua tena suala la silaha za nyuklia na hatari ya kuenea kwa silaha hizo.
Lijue chimbuko, safari ya adhabu ya viboko shuleni
Kabla ya kuanzishwa kwa shule rasmi, malezi ya mtoto yalikuwa jukumu la familia na jamii.
Harmonize, Marioo waendeleza ubabe
Ingawa hawafanyi kazi kama kundi la muziki, lakini mfululizo wa ngoma kali kutoka kwa Harmonize...
Suzana Magufuli: Mama ya aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John Magufuli afariki
Familia ya hayati Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli inaomboleza kifo cha mama yake mzazi, Suzana Magufuli, aliyefariki dunia nyumbani baada ya kuugua muda mrefu.
Oburu Oginga ajitetea mapema mbio za Ikulu haziwezi, 2027 ataka tu aendelee kuwa Seneta wa Siaya
Oburu Oginga ametangaza nia yake ya kutetea kiti cha Seneti Siaya mwaka wa 2027, na kuzua mjadala kuhusu uongozi, mabadiliko ya vizazi, na mkakati wa kisiasa wa ODM.
Kenya: Jiji la Mombasa lakabiliwa na tatizo la magenge ya kihalifu
Jiji la Mombasa, ambalo ni kitovu kikuu cha utalii katika pwani ya Kenya, siku za hivi karibuni limeendelea kushuhudia ongezeko la utovu wa usalama kutokana na kuwepo kwa magenge ya…
Nchi jirani na DRC zatakiwa kuchukua hatua kukabiliana na Ebola
Shirika la afya duniani WHO limeonya kwamba mataifa Jirani na nchi ya DRC yanakabiliwa na hatari kubwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebola, na yanapaswa kuchukua hatua za haraka…
Gachagua amtaka Ruto kumfukuza kazi Murkomen, adai anafanya ‘kalongolongo’ na usalama wa rais
Rigathi Gachagua ametaka Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen afukuzwe kazi baada ya hofu ya usalama ya Rais William Ruto iliyoenea katika kaunti ya Kilifi.
Afrika Kusini: Serikali yasema inashugulikia suala la raia wa kigeni
Serikali ya Afrika Kusini inasema, inashughulikia suala la kuwepo kwa raia wa kigeni wanaoishi nchini humo bila vibali, ikiwataka raia wa nchi hiyo kutochukua hatua mikononi mwao. Imechapishwa: 26/05/2026 –…
Marekani yatekeleza mashambulio mapya kusini mwa Iran
Marekani inasema wnanajeshi wake wametekeleza mashambulio mapywa, Kusini mwa Iran kulenga vituo vyake vya makombora na boti zinazotumiwa kutega vilipuzi. Imechapishwa: 26/05/2026 – 05:30 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Mahujaji wanasimama Arafa leo kutekeleza nguzo muhimu ya Hija
Mmilioni ya Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Al Kaaba, leo wanasimama katika uwanja wa Arafa katika kilele cha ibada tukufu ya Hijja.
Jeshi la Marekani lasema limefanya mashambulizi mapya kusini mwa Iran
Jeshi la Marekani limesema kuwa lililenga vituo vya kurushia makombora kusini mwa Iran pamoja na boti zilizokuwa zikijaribu kutega mabomu ya majini.
Papa Leo aomba radhi kutokana na nafasi ya Kanisa Katoliki katika biashara ya utumwa ya kuvuka Bahari ya Atlantiki
Katika hatua ya kihistoria, Papa Leo wa XIV Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameomba radhi kutokana nafasi ya Baraza Kuu la Uongozi wa Kanisa Katoliki na Jiji la Vatican la…
Baqaei: Marekani inapasa kudhamini ushiriki wa timu ya taifa ya Iran katika mashindano ya Kombe la Dunia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia uvumi unaoendelea kuhusu kushiriki wa timu ya taifa ya kandanda ya Iran katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026,…
Zawadi 6 ‘walizokomba’ Arsenal baada ya kutwaa ubingwa wa EPL
Arsenal wameandika historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu ya England msimu wa 2025/26, wakimaliza ukame wa miaka 22 bila taji la ligi. Ubingwa huu umeambatana na heshima,…
John Mearsheimer: Hakuna nguvu duniani yenye uwezo wa kuishinda Iran
Profesa wa sayansi ya siasa na mtaalamu wa nadharia ya mahusiano ya kimataifa amesema kuwa: Wakati Marekani na Israel zimeshindwa kuishinda Iran kwa kutumia nguvu zao zote, katika kipindi cha…
Rais wa China aunga mkono diplomasia ya amani kati ya Iran na Marekani
Katika kikao chake na Waziri Mkuu na Mkuu wa Majeshi wa Pakistan, Rais wa China amesisitiza uungaji mkono wa Beijing kwa upatanishi wa Islamabad na diplomasia inayoendelea katika eneo la…
Jumanne, tarehe 26 Mei mwaka 2026
Leo ni Jumanne tarehe 9 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 26 Mei 2026.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 26, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
#NBCPL Kuhusu hesabu za KMC kusalia ligi kuu au kushuka daraja…, huyu hapa Ramadhan Mbwaduke akichambua kimahesabu zaidi
#NBCPL Kuhusu hesabu za KMC kusalia ligi kuu au kushuka daraja…, huyu hapa Ramadhan Mbwaduke akichambua kimahesabu zaidi.. FT: Azam FC 3-0 KMC FC Saa 8:00 mchana ni Pamba Jiji…
#NBCPL Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema malengo ni kucheza Kombe la Shirikisho Afrika, hivyo wanahitaji pointi nne katik…
#NBCPL Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema malengo ni kucheza Kombe la Shirikisho Afrika, hivyo wanahitaji pointi nne katika mechi tano zilizosalia. Hizi hapa kauli za makocha wote baada…
#DAKIKA45: “Sisi tunapokwenda kuwekeza na kuvutia wawekezaji, uwekezaji wetu mkubwa uko kwenye viwanda” Mhe
#DAKIKA45: "Sisi tunapokwenda kuwekeza na kuvutia wawekezaji, uwekezaji wetu mkubwa uko kwenye viwanda" Mhe. Dkt.Pius Chaya - Naibu Waziri Mipango na Uwekezaji. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania (Feed…
#DAKIKA45: “Wizara yetu imepewa jukumu la kuhakikisha kwamba uwekezaji wa Tanzania unakuwa na tija, kuna uwekezaji wa aina mbili…
#DAKIKA45: "Wizara yetu imepewa jukumu la kuhakikisha kwamba uwekezaji wa Tanzania unakuwa na tija, kuna uwekezaji wa aina mbili, wazawa wawekeze lakini wageni kutoka nje waje wawekeze Tanzania, hayo ni…