Wadau wachambua uteuzi majaji tisa Mahakama ya Rufani
Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa wa Mahakama Kuu kuwa majaji wa mahakama ya...
Super Metro Yaahidi Kupunguza Nauli Baada ya Bei ya Dizeli Kushuka: “Tutahakiki Nauli Zetu”
Super Metro imetangaza punguzo la nauli kufuatia kupungua kwa bei ya dizeli kwa KSh 10, na kuahidi afueni kwa wasafiri na matumaini ya kushuka kwa bei wiki ijayo.
Siku 100 za majonzi kwa familia ya mwanamke aliyetoweka Arusha
Huzuni imeendelea kutanda katika familia ya Scola Chuwa (45), mkazi wa mtaa wa Ndarivoi jijini...
Orodha ya Kodi na Ushuru 9 Zinazofanya Gharama ya Mafuta Kuwa Ghali Zaidi Kenya
Bei ya mafuta nchini Kenya imesalia kuwa juu kutokana na mchanganyiko wa ushuru unaotozwa kwa bidhaa za petroli na serikali. Hizi ni pamoja na VAT na RML.
Afya ya Abdalla Hemba yazidi kuimarika
Akizungumza na Mwananchi, Ramadhani amesema Abdalla ameanza kula na kuongea tofauti na...
Viuwatilifu, uchomaji moto vyatajwa kuhatarisha sekta ya nyuki
Matumizi ya viuwatilifu pamoja na uchomaji moto katika misitu vimetajwa kuwa na athari kubwa...
Tanzania yatumia urithi wa utamaduni kujitangaza kimataifa
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Said Yakubu amesema nchi inaendelea kutumia vyakula vya...
Nape atishia kushika shilingi bajeti Wizara ya Ujenzi
Nape, amesema barabara hiyo ni kiungo cha mikoa kadhaa ya kusini na iliahidiwa na Rais Samia...
Wanu Hafidh Ameir: Kutana na binti wa Samia Suluhu anayefuata nyayo za mama yake kisiasa
Wanu Hafidh Ameir, binti wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amejenga njia yake mwenyewe katika siasa, akihudumu kama mbunge na mwanachama wa chama cha CCM tangu 2005.
Kwa nini ndege ndogo zisizo na rubani za Hezbollah zimekuwa tatizo kwa Israel?
Hezbollah ya Lebanon imeongeza matumizi yake ya ndege zisizo na rubani za "first-person" (FPV) kushambulia Israel, ikiwa ni pamoja na mifumo inayoongozwa na nyaya za fiber-optic ambazo zinaweza kupita mifumo…
Arsenal mabingwa: Wachezaji walipuka kwa shangwe baada ya kuutwaa ubingwa EPL
Arsenal hatimaye wameubeba ubingwa wa Ligi Kuu baada ya miaka 22 ya kusubiri na walisherehekea ushindi wao katika Kituo cha Mafunzo cha Sobha Realty na kwingineko.
Kwa nini matangazo ya sikuhizi yanachomekewa kwenye maudhui mengine?
Matangazo ya bidhaa hasa zinazouzwa kupitia mtandaoni hivi sasa yamekuwa yakitangazwa kimkakati...
Zaidi ya wakazi elfu tatu manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA mkoa wa Shinyanga amb…
Zaidi ya wakazi elfu tatu manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA mkoa wa Shinyanga ambapo imeelezwa kuwa uelewa mdogo wawananchi juu ya masuala ya…
Bajeti 2026/27 ya ujenzi kujenga kilomita 260 za lami
Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) umepanga kujenga barabara...
Ujenzi yaja na vipaumbele sita bajeti 2026/27
DODOMA; Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega leo Mei 20 2026, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa na vipaumbele sita. Ametaja…
Boniface Mwangi adai Kipchumba Murkomen ndiye DP wa Kenya: “Kindiki ni prefect”
Boniface Mwangi anadai Naibu Rais Kithure Kindiki hana mamlaka halisi katika utawala wa Ruto, akimfananisha na “kiranja” huku kukiwa na mjadala wa tatizo la mafuta.
Mpiga picha wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Boaz Martine amefariki dunia huku waandishi wa habari Frank Mshana wa ITV/Rad…
Mpiga picha wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Boaz Martine amefariki dunia huku waandishi wa habari Frank Mshana wa ITV/Radio One na Johnson James wakiwa miongoni mwa watu…
Baraza Kuu la UN launga mkono uamuzi wa kihistoria wa ICJ kuhusu janga la tabianchi
Azimio la kihistoria la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lililopitishwa leo Jumatano limeelezwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuwa “uthibitisho thabiti wa sheria za kimataifa,…
Baraza la Usalama: Raia 1 anauawa kila dakika 14 kwenye mizozo
Viongozi wa Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada ya kibinadamu wameeleza wasiwasi mkubwa mbele ya Baraza la Usalama kuhusu kuendelea kuzorota kwa ulinzi wa raia katika migogoro ya silaha,…
Jamii ndio kitovu cha kukabili mlipuko wa Ebola DRC – WHO
Jamii lazima iwe na imani nasi na ushiriki wao ni muhimu kudhibiti Ebola Hatushinikizi sayansi bali tunashirikiana nao kuelimishana kuhusu kubadili tabia Ebola inaanza kwa jamii na inamalizwa na jamii…
Guterres: Ushirikiano wa kimataifa ni muhimu kuliko wakati wowote
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchini Japan ambapo amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili dunia, huku akizitaka nchi tajiri kuongeza…
WHO: Dunia haina budi Kuchukua kila hatua haraka kudhibiti Ebola inayosambaa kwa kasi
Wagonjwa wanaoshukiwa sasa ni 600 na vifo 139. Ebola ya aina ya Bundibugyo haina chanjo wala tiba Migogoro, wakimbizi na shughuli za migodini vyaongeza hatari ya maambukizi zaidi. Uganda yasifiwa…
Kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026, fahamu timu ya mfano ya wakimbizi
Wachezaji wote 11 wana historia ya ukimbizi Watatu wamezaliwa kambi za wakimbizi Tanzania na Kenya Ni Bernard Kamung, Nestory Irankunda na Awer Mabil Ni kuelekea siku ya mpira wa miguu…
UNICEF yaimaridha hatua za kuwalinda watoto dhidi ya Ebola
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa…
FAO yaadhimisha Siku ya Nyuki Duniani 2026 kwa wito wa kulinda wachavushaji na usalama wa chakula duniani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO, limehimiza hatua za haraka na za pamoja duniani kulinda nyuki na wachavushaji wengine, likisema viumbe hao wadogo wana mchango mkubwa…
Dodoma yatengewa fedha zaidi za barabara, Simbachawene atoa sababu
Wizara ya Ujenzi imeitaja miradi ya upanuzi wa barabara za majiji na manispaa kwa ajili ya...
Kiongozi Muadhamu: Nguvu inayojitokeza ya Iran inahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi ya watu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kupanda hadhi ya Iran ya kuwa taifa kubwa na lenye taathira kunahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi…
Mkuu wa vyombo vya mahakama: Shahidi Raisi alijitolea kuwatumikia wananchi
Mkuu wa vyombo vya Mahakama vya Iran anasema kuwa Rais Shahidi Ebrahim Raisi alijitolea kwa dhati kuwatumikia wananchi na kusabilia maisha yake kwa ajili ya Iran.
Iran yatahadharisha kuhusu Marekani kulitumia vibaya Baraza la Usalama la UN
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: "Marekani inalitumia vibaya Baraza la Usalama kwa kueneza uwongo na tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Jamhuri…
Ajuza wa miaka 100 ajijengea kaburi ndani ya nyumba, ataka atumiwe mchango wa mazishi yake
Dorothy Nantale ameishangaza jamii yake kwa kujenga kaburi lake la kisasa nyumbani, akitimiza matakwa yake ya "nyumba yake ya milele" anapopanga sherehe.
Viongozi wa China na Russia: Tunafanya kazi ili kuasisi utaratibu wa kiadilifu na haki zaidi duniani
Viongozi wa China na Russia wamesisitiza mwanzoni mwa mazungumzo yao kuhusu azimio la pamoja la nchi hizo mbili la kuasisi utaratibu wa haki zaidi wa kimataifa na ulimwengu wa kambi…
Rwanda yaimarisha udhibiti wa mpakani kutokana na mlipuko hatari wa Ebola nchini Kongo
Mamlaka ya Rwanda imeongeza hatua za uchunguzi wa afya na kuimarisha udhibiti katika mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku mlipuko hatari wa homa ya Ebola ukiendelea kuitatiza Kongo.
Samia ateua majaji tisa Mahakama ya Rufani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa kuwa majaji wa Mahakama ya rufani.
Je, historia inaweza kuandikwa upya Guardiola, Man City na mashtaka 115
Iwapo, kama inavyotarajiwa, Pep Guardiola ataondoka Manchester City mwishoni mwa msimu huu, atafanya hivyo akiwa mmoja wa makocha wenye mafanikio na ushawishi mkubwa katika historia ya Premier League.
Ghetto Kids kuandika historia Kombe la Dunia 2026
Kundi la dansi kutoka Uganda, Ghetto Kids, linatarajia kuandika historia mpya baada ya...
Fredrick Odiwour: Mfanyikazi wa Mbunge Catherine Omanyo apigwa risasi na kuuawa huko Busia
Catherine Omanyo aliomboleza mfanyakazi wake, Frederick Odiwuor, anayedaiwa kupigwa risasi na polisi huko Busia. Aliapa kufuata haki kwa mfanyakazi aliyeuawa.
‘Ebola imetutesa’: Hofu yatanda mashariki mwa DR Congo huku virusi hatari vikienea
Save the Children ilisema mlipuko wa Ebola ni "mgogoro mpya mkubwa juu ya hali ambayo tayari ni ngumu".
Dodoma yatengewa fedha zaidi, Simbachawene atoa sababu
Wizara ya Ujenzi imeitaja miradi ya upanuzi wa barabara za majiji na manispaa kwa ajili ya...
Kongamano la Wanawake na Vijana Wajasiriamali Wilayani Nyangh’wale limewakutanisha wadau mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu kuh…
Kongamano la Wanawake na Vijana Wajasiriamali Wilayani Nyangh’wale limewakutanisha wadau mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu kuhusu fursa za kiuchumi, uwezeshaji wa biashara pamoja na namna ya kujenga mtandao wa…
Mganga wa kienyeji anayedaiwa kumuua mwanafunzi IFM kortini
Mganga wa kienyeji, Said Mkomwa (31), Saidini, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
Mashabiki wa Arsenal Kenya Walipuka kwa Sherehe Baada ya Ukame wa Miaka 22 Wakisubiri Taji
Kuanzia mitaani kama vile Pipeline Nairobi hadi Kisumu, Eldoret, Nakuru na Mombasa, mashabiki walimiminika barabarani wakicheza, kuimba na kupiga vuvuzela kwa furaha
Mashabiki wa Arsenal Kenya Walipuka kwa Sherehe Baada ya Ukame wa Miaka 22 kwa Gunners Kusubiri Taji
Kuanzia mitaani kama vile Pipeline Nairobi hadi Kisumu, Eldoret, Nakuru na Mombasa, mashabiki walimiminika barabarani wakicheza, kuimba na kupiga vuvuzela kwa furaha
SMZ yaeleza athari za msimamo mkali, wananchi watakiwa kubadilika
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza athari za msimamo mkali ikiwa ni pamoja na...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendelea kuimarisha sekta ya …
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendelea kuimarisha sekta ya miundombinu nchini kwa kufanikisha ujenzi wa barabara na madaraja katika kipindi cha Julai…
Jumatano, tarehe 20 Mei, 2026
leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1447 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2027.
Ndugu wa wasichana waliotoweka Arusha, wamwangukia Rais Samia awasaidie
Sakata la kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa wasichana wawili, Kareen Didas (23) na...
Video ya John Mbadi, Wandayi Wakiteta Kuhusu Gharama Kubwa ya Mafuta Bungeni Yaibuka Tena
Wakenya walishiriki video ya Mawaziri John Mbadi na Opiyo Wandayi wakiteta kuhusu bei ya mafuta bungeni kitambo huku Wakenya wakiandamana kuhusu gharama ya mafuta.
Waziri Mkuu ashtukia kuuzwa dhamana za wakopaji
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa benki wa kuuza dhamana za wakopaji...