With sharp reduction in transmission, Tanzania claims Africa’s helm in fight against malaria
DODOMA: AS the world marks World Malaria Day today,April 25, 2026, Tanzania is emerging as one of Africa’s strongest examples in the fight against the deadly disease, following a sharp…
Clara Luvanga atwaa ubingwa, kiatu cha ufungaji bora Ligi Kuu Saudia
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
Clara Luvanga atwaa kiatu cha ufungaji bora Ligi Kuu Wanawake Saudia
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
TRA insists on accountability as it launches the Ethics Forum
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) Commissioner General Yusuph Mwenda, has called on TRA staff and tax stakeholders to strengthen ethical conduct in order to increase revenue collection…
Bundesliga
Bundesliga Game za wikiendi hii katika Bundesliga. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Bundesliga mwezi mzima. #bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Mwinuka claims 500,000/- cash after winning Youth Painting Competition
DAR ES SALAAM: THE Arts Council of Tanzania (BASATA) has awarded prizes to the winners of its Youth Painting Competition, an initiative aimed to promote and develop visual arts among…
Tanzanians seek Shell V-Power diadem after Kisarawe Rally postponement
DAR ES SALAAM: KISARAWE Rally 2026, Tanzania’s opening round of the National Rally Championship (NRC), has been postponed to July this year due to inclement weather. The event’s chief coordinator…
#MuunganoCup Kama Yanga kuna Prince Dube
#MuunganoCup Kama Yanga kuna Prince Dube..... Azam FC kuna huyu hapa, 'a man from Congo'. Anaitwa Jean Jaques Ngita Kamanga... !!! Hadi sasa wote wawili wana magoli mawili kila mmoja…
Hiki hapa chanzo cha vifo kwa magonjwa yasiyoambukiza
Wabunge wametaja moja ya changamoto katika kupambana na magonjwa yasiyoambukiza kuwa ni...
WHO yaidhinisha tiba ya kwanza ya malaria kwa watoto wachanga, huku ikiongeza zana za uchunguzi
Tiba ya mapinduzi kwa wagonjwa wadogo zaidi Dawa inaitwa artemether-lumefantrine. Inalenga watoto wenye uzito wa kati ya kilo 2 hadi 5 Awali ilikuwa vigumu sana kuwapatia matibabu WHO imeidhinisha pia…
Mavazi yanayozungumza: Dunia ithamini utofauti wa jamii za asili
Mavazi yaliyosheheni madini ya fedha kuashiria ulinzi na utajiri Kutoka New Zealand jino la nyagumi na chale Unyoya wa tai unavyoashiria heshima
Ukame wazidi kuathiri Somalia, watu 62,000 wakimbia makazi yao: IOM
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM)limeripoti kuwa takribani watu 62,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na ukame unaoendelea nchini Somalia, hali inayozidi kuchochewa na athari za mabadiliko ya…
#MuunganoCup Achana na mwana mfalme Dube
#MuunganoCup Achana na mwana mfalme Dube... huyo hapo ukutani kushoto kwako ndiye mfalme pekee 'mweusi', kati ya watawala 12 walioitawala Zanzibar.. Anaitwa Sultan Sayyid Ali bin Hamoud Al-Busaidi. Tukirudi kwa…
Mkuu wa Mahakama ya Iran asema: Tabas itakaririwa katika Ghuba ya Uajemi/ atoa indhari kuhusu kushindwa Marekani
Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ametahadharisha kuwa Washington haina uwezo wa kuweka mzingiro wa kijeshi wa majini dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, na kuapa kuwa kushindwa kihistoria wanajeshi…
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel Gaza; yasema ni jinai kamili ya kivita
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na makundi mengine ya muqawama wa Palestina yamelaani vikali wimbi la sasa la mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja…
Waasi wa ADF wauwa raia zaidi ya 80 mashariki mwa Kongo
Waasi wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) wameripotiwa kufanya mauaji ya takriban raia 87 katika mashambulizi tofauti katika vijiji vya mkoa wa Ituri mashariki mwa Jamhuri ya…
Vijana wa Kisomali wachukua udhibiti wa meli ya mafuta
Taarifa zinasema meli ya mafuta iliyokuwa imebeba mapipa 18,500 ya mafuta na wafanyakazi 17 katika pwani ya kaskazini mashariki Somalia imechukuliwa na vijana wa Kisomali.
Maambukizi ya malaria yashuka kwa asilimia 30
Wakati huohuo, maambukizi katika jamii yameshuka kwa takribani asilimia 30, kutoka asilimia 8.1...
Mwandishi wa Kiyahudi Mpinga Uzayuni: Netanyahu ni saratani
Alon Mizrahi, mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayepinga Uzayuni, ameandika katika ujumbe wake ulioashiria taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu uvimbe wa saratani…
Utafiti wa Fox News: Trump hana afya ya akili
Asilimia 60 ya washiriki katika utafiti wa Fox News, kituo kinachomuunga mkono rais wa Marekani, wamesema kuwa Donald Trump hana tabia na afya ya akili inayofaa.
Dr Samia launches Tanzania’s first deep-sea fishing vessel
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has launched Tanzania’s first deep-sea fishing vessel, opening access to the country’s Exclusive Economic Zone (EEZ) that had long remained out of reach…
Ripoti ya kimataifa: Theluthi mbili ya wanaokabiliwa na migogoro ya chakula duniani wanaishi katika nchi 10
Ripoti ya kimataifa imeonya kwamba mzozo wa Mashariki ya Kati unaweza kuzidisha migogoro iliyopo, ikifichua kuwa watu milioni 266 katika nchi au maeneo 47 walikabiliwa na viwango vya juu vya…
Minziro akomaa na mambo matatu Fountain Gate
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Fred Felix 'Minziro' amesema ushindi walioupata kwenye mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, umeongeza morali kwa wachezaji wake, huku akisisitiza kuwa…
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba…
Tanzania turns to innovation, community power in fight against Malaria
DAR ES SALAAM: AS the world marks World Malaria Day, Tanzania’s renewed fight against malaria is increasingly being shaped by science, innovation and community engagement, three pillars’ experts say are…
Organised violence in the name of demonstration during, after the 2025 General Election
DAR ES SALAAM: TRUTH must be told. Tanzania slipped into post-election violence and unrest following the 2025 General Election, as confirmed in the Report of the Commission of Inquiry into…
Viwanja vyaongeza hamasa ya michezo Pemba
OFISA Michezo Wilaya ya Chakechake iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba, Issa Adam Hamza, amewataka wananchi kuvitumia viwanja vinavyojengwa kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
Wananchi wakumbushwa njia za kujinusuru na majanga
Watanzania wamekumbushwa kuzingatia mbinu sahihi za kukabiliana na majanga ya dharura, ikiwa ni...
Waarabu watua kwa straika JKT Tanzania
MABOSI wa ZED FC ya Misri, wanafuatilia uwezekano wa kumsajili nyota wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, kwa ajili ya msimu ujao, licha ya mshambuliaji huyo mkataba wake kikosini hapo…
Waarabu watua kwa straika JKT TZ
MABOSI wa ZED FC ya Misri, wanafuatilia uwezekano wa kumsajili nyota wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, kwa ajili ya msimu ujao, licha ya mshambuliaji huyo mkataba wake kikosini hapo…
Staa Mlandege afananishwa na Kylian Mbappe wa Madrid
KOCHA Msaidizi wa Mlandege, Sabri China, amekiri kuvutiwa na kiwango kizuri cha mshambuliaji wa timu hiyo, Mussa Hassan 'Mbappe' huku akisema ameona kitu kikubwa kutoka kwake.
Saba washikiliwa polisi kwa tuhuma za mauaji ya ‘Mungu’ Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za mauaji ya Mungu Mamboleo...
Umemskia Mkude? Jiandaeni anakuja
Akizungumza na Mwananchi, Mkude amesema, ingawa haonekani uwanjani kwa msimu huu 2025-2026...
Mkude atangaza kurejea uwanjani, afichua anachokifanya
TANGU kiungo wa kati Jonas Mkude, alipoachana na Yanga msimu uliopita 2024-2025, amekuwa kimya kwa muda mrefu huku mwenyewe akisema anachokifanya hivi sasa ni kwa ajili ya kurejea kazini 2026-2027.
Ndani ya Boksi: Ngwair na Gnako ni ‘spesho oda’
Miaka 20 nyuma kasoro miezi kadhaa hiyo 2007 mwanzoni. Nipo zangu Rocky City, Mwanza Mwanza ya...
Mali: Makundi ya kigaidi yashambulia kambi za kijeshi jijini Bamako
Jeshi la Mali limesema makundi ya kigaidi yenye silaha yalishambulia ngome zake kadhaa za kijeshi katika mji mkuu Bamako mapema leo Jumamosi. Imechapishwa: 25/04/2026 – 11:50Imehaririwa: 25/04/2026 – 12:28 Dakika…
Dar Port reinvents Tanzania as Africa’s trade powerhouse as trade booms
DAR ES SALAAM: THE transformation of the Port of Dar es Salaam is rapidly reshaping Tanzania’s trade and logistics landscape, positioning the country more firmly within global supply chains, while…
Waziri wa Michezo wa Italia akataa pendekezo la kuchukua nafasi ya Iran kwenye Kombe la Dunia la FIFA
Waziri wa michezo wa Italia, Andrea Abodi, amesema kuwa pendekezo la nchi yake kuchukua nafasi ya Iran kwenye Kombe la Soka la Dunia “si sahihi,” na akapinga wazo lolote kuwa…
Saudi Arabia yatarajia kuwapokea kwa ukarimu Wairani wanaoshiriki ibada Hija
Saudi Arabia imetangaza kuwa imejiandaa kikamilifu kwa msimu wa Hija na inasubiri kwa shauku kuwasili kwa waumini wa Iran wanaoshiriki katika ibada ya Hija Iran, baada ya kufanya maandalizi yote…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Akutana na viongozi wa Pakistan jijini Islamabad
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Abbas Araqchi, amefika katika mji wa Islamabad, Pakistan na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini humo.
Tanzania kuelekea maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi
Shirika la kazi Duniani (ILO) linaeleza kuwa dola bilioni 361(Sh 900 trilioni) zitaokolewa...
Aliyegombea uenyekiti na Lissu, Mbowe ang’olewa Chadema
Kutokana na barua hiyo, Mwananchi ilimtafuta Odero ambaye amesema hata yeye ameiona barua hiyo...
“Kadri inavyowezekana tutumie sheria zetu vizuri, lakini pia wakati mwingine tutumie busara bila kuvunja sheria, nawaomba uhamia…
"Kadri inavyowezekana tutumie sheria zetu vizuri, lakini pia wakati mwingine tutumie busara bila kuvunja sheria, nawaomba uhamiaji na vyombo vingine vya Serikali inapobidi katika mambo yanayoelezwa vizuri kisheria kila inapowezekana…
Marekani, Iran hali bado tete sakata la mafuta
Marekani imetangaza kuongeza vikwazo vipya, ikisema inachukua hatua madhubuti kuvuruga biashara...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Tabora mkoani Tabora, Upendo Wella, amekitaka kikosi cha 212 cha Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanza…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Tabora mkoani Tabora, Upendo Wella, amekitaka kikosi cha 212 cha Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kushirikiana na vyombo vingine vya dola kudhibiti…
PCCB tasked to track unpaid farmers’ dues, embezzlement
GEITA: THE government has directed the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to follow up on companies that have failed to settle debts owed to Agricultural Marketing Cooperative Societies…
Wamiliki hoteli wapewa neno AFCON 2027
ARUSHA: Wamiliki wa hoteli nchini wametakiwa kujipanga na kuboresha huduma zao ikiwemo miundombinu ya malazi,kuelekea AFCON 2027 ambapo inakadiriwa Tanzania itapokea watalii laki tatu kwa siku. Akizungumza Aprili 23 wakati…
Yanga, Azam patachimbika nusu fainali, mziki uko hapa
Yanga inalenga kutetea taji hilo ililochukua msimu uliopita ilipoifunga JKU bao 1-0, wakati...
Wapalestina wapiga kura katika uchaguzi wa manispaa, uchaguzi wa kwanza tangu vita vya Gaza
Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi na wengine huko Gaza wameanza kupiga kura leo Jumamosi, Aprili 25, kuwachagua mameya wao. Kwa jumla, karibu watu milioni 1.5 wamejiandikisha kupiga kura katika Ukingo…