Tanzania thrives when Tanganyika, Zanzibar stand united
DAR ES SALAAM: TODAY Tanzania marks Union Day, a living testament to the bold decision in 1964 to unite Tanganyika and Zanzibar into one sovereign nation. That union was not…
Fahamu Kiasi Ambacho ni Lazima Chelsea Kumlipa Liam Rosenior Baada ya Kumfukuza Kazi
Chelsea inakabiliwa na malipo makubwa kwa Liam Rosenior baada ya kumfuta kazi siku 107 tu baada ya mkataba wa miaka sita, kufuatia kushindwa vibaya na Brighton.
Kiasi cha mkwanja Omanyala, Gabby Thomas walipewa baada ya kufyatuka kama mishale Kip Keino Classic
Ferdinand Omanyala, Gabby Thomas, na Emmanuel Wanyonyi wang'aa katika Kip Keino Classic, wakipata maelfu ya pesa za zawadi kwa maonyesho ya hali ya juu.
People’s bond, Kiswahili credited for 62 years of Union stability
DAR ES SALAAM: THE Executive Director of the Public-Private Partnership Centre (PPPC), David Kafulila, has attributed the longevity of Tanzania’s Union to strong social bonds among its people, describing it…
Sifuna, Orengo na timu yao watembelea kaburi la Raila kabla ya mkutano wao Kisumu: “Kutafuta baraka”
Timu ya ODM ya Linda Mwananchi, ikiongozwa na Seneta Edwin Sifuna na Gavana James Orengo, ilitembelea kaburi la Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga.
Tanzania marks 62 years of unity, lasting union amidst challenges
DAR ES SALAAM: TANZANIA, a land celebrated for its breathtaking landscapes and rich cultural tapestry, today marks 62 years of a profound and enduring unity. Beyond its visible natural and…
Risasi zatibua hafla ya Trump na waandishi
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameondolewa ghafla kutoka jukwaani baada ya kutokea milio ya...
Risasi zatibua hafla ya waandishi Ikulu ya Marekani, Trump akimbizwa
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameondolewa ghafla kutoka jukwaani baada ya kutokea milio ya...
Risasi zasikika Washington, Trump aokolewa na walinzi
Kwa mujibu wa maafisa wa usalama, mtu mwenye silaha alivamia hafla ya chakula cha jioni iliyohudhuriwa na Trump na mkewe, na kufyatua risasi kuelekea maafisa wa usalama katika eneo la…
Tazama taharuki na namna Trump alivyoondolewa kwenye shambulio Washington
Rais wa Marekani alikuwa katikati ya mazungumzo kabla ya milio mikubwa ya risasi kusikika katika eneo la tukio, kisha akaondolewa 'mbio mbio' kupelekwa mahali salama.
Union: Tanzania’s journey of shared prosperity
DAR ES SALAAM: AS Tanzania marks the 62nd anniversary of the historic Union of Tanganyika and Zanzibar, the occasion invites not only celebration but reflection on one of Africa’s most…
Kwa Aunty Ezekiel, Kusah tumuelewe hivyo tu!
Kusah aliyetoka kimuziki na wimbo wake, Kelele (2019) akiwa na mpenzi wake wa zamani Ruby...
Mwinyi urges upholding Union values
DAR ES SALAAM: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has called on citizens to uphold the founding values of the Union, stressing their role in sustaining peace, unity and national development.…
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal waanza mazungumzo na Araujo, Man Utd ‘kutimua’ wachezaji 13
Arsenal wameanza mazungumzo ya kumsajili Maxi Araujo, wakati Manchester United ikipanga mabadiliko makubwa ya kikosi yanayoweza kuhusisha kuondoka kwa hadi wachezaji 13. Wakati huo huo, Ederson ameongezwa kwenye orodha ya…
Rais Trump yupo salama baada ya ufyatuaji risasi kwenye eneo alipokuwa
Rais wa Marekani Donald Trump, Makamu wake JD Vance na maofisa wengine wa serikali walikimbizwa katika eneo salama baada ya milio ya risasi kusikika kwenye ukumbi ambapo walikuwa wakihudhuria halfa…
Waufuatao matakwa ya mwili ni vigumu kumpendeza Mungu
Ni muhimu kuelewa maana ya mwili kama Paulo anavyotumia. Hapa haimaanishi mwili wa kawaida wa...
Progress marks 62 years of Union
ZANZIBAR: AS the nation marks 62 years of the Union, significant progress has been recorded in resolving longstanding challenges, with the number of Union issues steadily declining as efforts continue…
Safari ya miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika, Zanzibar katika namba
Leo Aprili 26, 2026, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha safari ya kipekee ya miaka 62...
Miaka 62 ya Muungano, kunahitajika mageuzi?
Kwa mujibu wa wachambuzi wa sheria, historia na masuala ya Muungano, mjadala huo haupaswi...
Union vexes ease as sugar issue settled
ZANZIBAR: AS the Union marks 62 years, one of the remaining Union issues, the long-standing sugar import dispute, has been resolved and removed from the agenda, reducing pending matters from…
Yanga yaisubiri Simba, Mlandege fainali Muungano Cup
BINGWA mtetezi wa Kombe la Muungano, Yanga imefanikiwa kurudi kwenye fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Azam FC kwa mabao 2-1, huku sasa ikiisubiri Simba au Mlandege.
He! Kumbe Azam iliwafanyia ubaya Singida BS Muungano Cup
SINGIDA Black Stars imeshaanza maisha jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa mapema kwenye mashindano ya Kombe la Mashndano na wakati inalia na mwamuzi inayedai aliwaharibia, lakini wasi-isahau Azam FC.
Ibenge ashusha msimamo Azam
AZAM jana ilikuwa uwanjani ikicheza dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Muungani, lakini kabla ya mechi hiyo, kuna msimamo ameutoa kocha wao, Florent Ibenge juu…
Simba na dakika 90 za kisasi kwa Mlandege Muungano Cup
MASHINDANO ya Kombe la Muungano yanaendelea leo utakapopigwa mchezo wa nusu fainali ya pili ikiwakutanisha Mlandege ya Zanzibar dhidi ya Simba itakayoingia na hesabu mbili muhimu kuamua nani atinge fainali…
Taasisi ya Afya Ifakara imesema iko mbioni kufanya majaribio kwenye mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ili kujiridhisha na ufanisi …
Taasisi ya Afya Ifakara imesema iko mbioni kufanya majaribio kwenye mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ili kujiridhisha na ufanisi wa utafiti wanaoendelea kuufanya wa kuzalisha mbu wasioweza kueneza vimelea vya ugonjwa…
Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi ameahidi serikali kuboresha huduma za uhamiaji visiwani Zanzibar ili kuchochea na kukuza…
Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi ameahidi serikali kuboresha huduma za uhamiaji visiwani Zanzibar ili kuchochea na kukuza biashara na uwekezaji sambamba utalii na kubainisha kuwa ongezeko la wageni wanaotembelea…
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo imempa tuzo malum Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kwa kutambua mchango wake wa ki…
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo imempa tuzo malum Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kwa kutambua mchango wake wa kiuongozi katika kuendeleza sekta ya biashara. Mpogolo amekabidhiwa tuzo hiyo…
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Musoma mkoani Mara wametakiwa kupeleka huduma za msingi kwenye makazii ya wananchi ili kuw…
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Musoma mkoani Mara wametakiwa kupeleka huduma za msingi kwenye makazii ya wananchi ili kuwapunguzia mwendo katika kufuata huduma za serikali. Maagizo hayo yametolewa na…
Serikali imewaagiza wawekezaji nchini kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa, hususan vijana na wanawake, ili kuongeza ujuzi wa v…
Serikali imewaagiza wawekezaji nchini kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa, hususan vijana na wanawake, ili kuongeza ujuzi wa vitendo na kukuza uchumi wa viwanda. Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu…
Dk Nchimbi aongoza kikao kujadili masuala ya Muungano, hoja ya sukari yamalizwa
Dk Nchimbi amewapongeza viongozi na wataalamu wote walioshiriki katika kikao hicho kwa jitihada...
GFA yaadhimisha miaka 19 kwa kuwakumbuka wagonjwa Tumbi
Hatua hiyo inayolenga kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi, ikiwa ni maadhimisho ya...
Baraza la madiwani Kishapu lachunguza mikopo ya ‘kausha damu’
Azimio hilo limetolewa Aprili 24, 2026 wakati wa kikao cha baraza hilo, ambapo madiwani...
Takukuru kuchunguza tozo zisizo rasmi Soko la Namanga Kahama
Baadhi ya wafanyabiashara wa samaki, akiwemo Irene Mugwa, wamesema wanakabiliwa na mzigo mkubwa...
Wageni wachuuzi fupa gumu kwa Serikali
Malalimiko ya wafanyabiashara Kariakoo kuhusu wageni kuvamia biashara za wazawa, Serikali kwa...
Wajumbe wa Marekani kuwasili Pakistan kwa mazungumzo na Iran
Wajumbe kutoka Marekani wanatarajiwa jijini Islamabad nchini Pakistan siku ya Jumamosi, kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya awamu ya pili na wawakilishi wa Iran. Imechapishwa: 25/04/2026 – 17:04 Dakika…
Mali: Jeshi limepambana na makundi ya kigaidi yalioshambulia Bamako
Nchini Mali, jeshi limesema limepambana na makundi ya kigaidi, yaliyoshambulia jiji kuu Bamako na viunga vyake, siku ya Jumamosi. Imechapishwa: 25/04/2026 – 16:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Kenya: Mahakama yasema uavyaji mimba sio haki ya binadamu
Mahakama ya rufaa nchini Kenya imeamua kuwa uavyaji mimba nchini humo, sio haki ya binadamu. Imechapishwa: 25/04/2026 – 16:46 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Uamuzi…
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi) imeipongeza Kampuni ya GFA Kibaha kwa uamuzi wake wa kuadhimisha miaka 19 tangu kuan…
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi) imeipongeza Kampuni ya GFA Kibaha kwa uamuzi wake wa kuadhimisha miaka 19 tangu kuanzishwa kwake kwa kutoa msaada wa vitendea kazi, hatua…
Co-ops under scrutiny as Minister proposes tough measures
DODOMA: THE Minister for Agriculture Daniel Chongolo has proposed the establishment of dedicated desks or offices within the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), the Police Force and the…
Rais Samia azindua meli kukuza uchumi wa bluu
“Hatua hii inaakisi maono na mabadiliko ya kimkakati katika udhibiti na usimamizi wa rasilimali...
With sharp reduction in transmission, Tanzania claims Africa’s helm in fight against malaria
DODOMA: AS the world marks World Malaria Day today,April 25, 2026, Tanzania is emerging as one of Africa’s strongest examples in the fight against the deadly disease, following a sharp…
Clara Luvanga atwaa ubingwa, kiatu cha ufungaji bora Ligi Kuu Saudia
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
Clara Luvanga atwaa kiatu cha ufungaji bora Ligi Kuu Wanawake Saudia
HATIMAYE mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Wanawake, jana ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Saudia baada ya kuweka nyavuni mabao 24 kwenye mechi 14…
TRA insists on accountability as it launches the Ethics Forum
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) Commissioner General Yusuph Mwenda, has called on TRA staff and tax stakeholders to strengthen ethical conduct in order to increase revenue collection…