CARBAO Cup Nusu Fainali Jumanne hii
CARBAO Cup Nusu Fainali Jumanne hii Arsenal watakuwa nyumbani Emirate stadium wakiwakaribisha Chelsea. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Arsenal akiwa ugenini alishinda 3 -2. Je, watashinda nje ndani ama…
CARBAO Cup Nusu Fainali Jumanne hii Arsenal watakuwa nyumbani Emirate stadium wakiwakaribisha Chelsea. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Arsenal akiwa ugenini alishinda 3 -2. Je, watashinda nje ndani ama…
#HABARI: Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea mkoani Ruvuma, Mheshimiwa James Karayemaha, amewataka watumishi wa mhimili wa Mahakama, kutekeleza majukumu yao kwa unyenyekevu mkubwa na kuacha tabia ya…
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika kanda hii siku zote huwa sababu ya kushatadi mivutano.
Katika kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu kwa wananchi wanaozunguka hifadhi na mapori tengefu Serikali imeendelea kubuni na kutumia teknolojia mseto ikiwemo uzio wa umeme ili kuimarisha ulinzi na usalama…
''Katika mambo ya elimu… nilikuwa napata taabu kutokana na maisha magumu nyumbani… nilifanya uamuzi mgumu wa kuacha shule nikaanza biashara'' - Mwenyekiti wa Kampuni za Bakhresa, Mzee Said Salim Bakhresa…
Kocha mpya wa Eintracht Frankfurt, Albert Riera, ameanza rasmi majukumu yake huku akiahidi kuiboresha timu na kuwarejesha wachezaji katika ubora wao.
Kutana na Lisa Fickenscher mwanadada aliyeamua kujikita katika kazi ya kufundisha Mbwa mbinu mbalimbali ikiwemo ulinzi … ambaye hivi sasa ana ndoto ya kuzalisha mbwa aina mbalimbali na kuwauza ndani…
Roho halisi ya Ilbay inaanza kudhihirika, Osman bado anapigika na Orhan, Begum naye mpango wake unaendelea kuiva. Usikose kutazama OTTOMAN leo usiku kuanzia saa 4:00 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
KUTOKA CONGO: Kikosi cha Singida BS kilivyoianza safari ya kurejea Tanzania kikitokea Congo Brazzaville ambako kilicheza mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao AS Otoho. Katika mechi…
Serikali ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara imesema italazimika kutumia nguvu za kisheria kwa wazazi ambao watoto wao bado hawajaripoti shuleni kuanza masomo ya darasa la saba na kidato cha…
GAIS inalenga kuunganisha miradi yenye tija barani Afrika na wawekezaji wenye uwezo wa kifedha.
Askari wapya 256 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wamekula kiapo kulitumikia jeshi hilo na kulinda rasimali za Taifa baada ya kuhitimu mafunzo ya jeshi yaliyodumu kwa miezi…
Raundi ya nne ya hatua ya makundi ya mashindano ya Klabu Afrika 2025/2026 ilikamilika jana...
Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria vimetajwa kupungua nchini kutoka vifo 5,431 mwaka 2015 hadi kufikia vifo 1,231 mwaka 2024. Hata hivyo, ripoti ya malaria duniani ya mwaka 2024 inaonyesha…
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRL) imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi wa Reli ya…
Mabasi mengi na treni zinazopita mitaani zimeanza mgomo wa siku nzima wa kitaifa leo Jumatatu nchini Ujerumani, ulioitishwa na chama kikubwa cha wafanyakazi cha Verdi.
Mahakama ya Bangladesh imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina, miaka 10 Jela kwa makosa ya ufisadi. Uamuzi huo umetokea wakati serikali ya mpito ikijitayarisha kwa uchaguzi unaoatarajiwa kufanyika Februari…
#MEZAHURU: "MITANDAO YA KIJAMII INAWEZA KUCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA KWA KUDHALILISHA UTU WA WATU, JE, WATUMIAJI WANATAMBUA ATHARI HIZI KATIKA JAMII?", 02 FEBRUARI 2026
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uingereza Yvette Cooper, amesema atatumia ziara yake nchini Ethiopia kuzungumzia mikakati ya kuwazuwia wahamiaji huko kufika Uingereza.
Maafisa wa usalama wa Misri na Israel wamesema kivuko muhimu cha Rafah kinachopakana na Misri Kusini mwa Ukanda wa Gaza, kimefunguliwa.
Wakati leo Jumatatu, Februari 2, kivuko cha mpaka wa Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kikianza kufanya kazi tena baada ya miezi ishirini na moja ya kufungwa, mashirika…
Kivuko cha Rafah huko Mashariki ya Kati chafunguliwa rasmi Wananchi Sudan Kusini wako njiapanda kuamua wasonge mbele na amani au waendelee na machafuko. UNCDF yaleta matumaini kwa wakulima Dodoma, Tanzania…
Mhubiri mahiri Lucy Natasha anapanua huduma yake, Empowerment Christian Church (ECC), hadi Sudan Kusini wiki chache tu baada ya kufunga tawi la Nairobi.
Mchekeshaji Noah, ambaye alitangaza kuwa huu utakuwa mwaka wake wa mwisho kuandaa Grammys baada ya zamu sita kama emcee, amekuwa akiepuka maoni ya kisiasa katika miaka iliyopita.
Iran imesema imewaita mabalozi wote wa Umoja wa Ulaya waliopo ndani ya Jamhuri hiyo ya kiislamu, kupinga hatua ya Umoja huo, kukiorodhesha kikosi maalum cha walinzi mapinduzi kama kundi la…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
DAR ES SALAAM: THE MINISTER of Health, Mohamed Mchengerwa, has officially launched a PET scan machine used in cancer screening and producing drugs at the Ocean Road Cancer Institute (ORCI)…
DUBAI: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to participate in the launch of the Global Africa Investment Summit (GAIS), which will be held alongside the World Governments Summit (WGS) 2026…
DODOMA: THE Tanzanian government has continued to adopt and deploy a mix of technologies, including electric fencing, to enhance the safety and security of communities living around national parks and…
#HABARI:Katika kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu kwa Wananchi wanaozunguka Hifadhi na Mapori tengefu, Serikali imeendelea kubuni na kutumia teknolojia mseto ikiwemo uzio wa umeme ili kuimarisha ulinzi na usalama…
Soma zaidi hapa...
ARUSHA: THE Tanzania Tourist Board (TTB) has outlined various strategies to promote the country’s tourism attractions, including strengthening global and domestic tourism in efforts to achieve the National Development Vision…
Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikisherekea miaka 49 tangu kuanzishwa kwake, wanachama wa...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imezindua mashine ya kisasa ya PET Scan katika Hospitali ya Ocean Road, hatua inayotarajiwa kuboresha kwa kiwango kikubwa huduma za uchunguzi na tiba ya ugonjwa…
Majaji na mahakimu mkoani Mara wametakiwa kutenda haki wakati wa kutimiza majukumu yao, hususan...
Alipokuwa kiongozi wa upinzani uhamishoni, Kabawat anakiri kwamba serikali imefanya makosa tangu vikosi vya waasi vya Rais Ahmed al-Sharaa vilipoingia katika mji mkuu mnamo Desemba 8, 2024.
In just 100 days of leadership under H.E. President Dr. Samia Suluhu Hassan, Tanzania’s mining sector has undergone a profound transformation, positioning itself as one of the most compelling examples…
WAKATI leo Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ukitarajiwa kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City na Dodoma Jiji, makocha wa timu hizo kila mmoja ameibuka kwa staili…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu, amesema kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwaita Mh. Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo na Mhe. Kangi Lugola…
LICHA ya kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya AS Otoho, mshambuliaji Joseph Guede amesema bado wana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe…
Imeelezwa kuwa Mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara nchini unakwenda kuchochea shughuli…
Mdau wa elimu, Moses Kyando, amesema kuwa tofauti ya ufaulu kati ya wanafunzi wa shule za serikali na binafsi inachangiwa kwa kiasi kikubwa na uhaba wa walimu katika shule za…
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Rais Samia ameondoka leo Februari 2, 2026, ambapo atashiriki kwenye mkutano wa World Government Summit (WGS…
WAKATI Dodoma Jiji ikishuka uwanjani leo kuikabili Mbeya City, kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema hawaingii kazini wakimtegemea mchezaji mmoja, Wiliam Edgar bali wapo wengine wenye uwezo wa…
KIPA wa Mbeya City, Soud Dondola amesema mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji ni kufa au kupona, akieleza kuwa pointi walizopoteza zinatosha na sasa kazi inaanza upya, huku kocha mkuu…
DODOMA; WIZARA ya Viwanda na Biashara imewaita wawekezaji wenye nia ya kuwekeza katika kiwanda cha kukoboa kahawa kilichopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
Iran imesema Jumatatu kwamba inataraji mpango mkakati wa mazungumzo na Marekani kuhusu nyuklia huenda yakakamilika katika siku chache zijazo, wakati Rais Donald Trump akitishia kuivamia kijeshi.