TRA, JKT zashikwa pabaya, Singida BS kicheko
Mbio za kuwania nafasi ya nne imezidi kuwa wazi baada ya JKT Tanzania na TRA United kushindwa kupata ushindi katika michezo yao ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar na Fountain…
Mbio za kuwania nafasi ya nne imezidi kuwa wazi baada ya JKT Tanzania na TRA United kushindwa kupata ushindi katika michezo yao ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar na Fountain…
Gor Mahia wamepata ubingwa wa 22 wa Ligi Kuu ya Kenya baada ya AFC Leopards kudorora. Fahamu utajiri wao kifedha na matarajio yao katika ligi ya mabingwa ya CAF.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Masanja Kadogosa, imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuimarisha mazingira ya uwekezaji yanayoendelea kuihusisha sekta…
Arsenal inalazimika kusubiri kwa dakika 30 kombe lao la EPL na medali baada ya mechi yao ya mwisho dhidi ya Crystal Palace, ikiashiria mwisho wa ukame wa miaka 22
Halmashauri ya Mji Babati itakabiliwa na uhitaji wa vyumba 64 vya madarasa katika kipindi cha mwaka 2027-2028 kufuatia matarajio ya ongezeko la wanafunzi zaidi ya elfu 6,347 huku pia kwa…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa mchango wa shilingi milioni 21 kwa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili…
Rais Ruto alimsifu Katibu wa Kudumu Fikirini Jacobs katika sherehe ya shukrani, katikati ya hofu baada ya kijana mmoja kurukia jukwaa na kumfikia ili kuomba msaada.
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa mchango wa Sh milioni 21 kwa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili…
Shambulio la kigaidi katika kituo cha treni katika mji mkuu wa jimbo la Balochistan nchini Pakistani limesababisha vifo vya watu 24 na kujeruhiwa wengine wengi.
Magwiji wa soka nchini wamesifu kikosi alichookitwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Miguel Gamondi kuwa kinatengeneza wachezaji watakaotumika kwa muda mrefu Taifa Stars.
Miaka 22, ni umri wa mtu mzima. Mwenye uwezo wa kumiliki totoz kadhaa kama siyo ‘waifu’ kabisa.
Mwili wa mtoto wa kike anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 13 hadi 15 umeokotwa ukiwa...
DAR ES SALAAM:!Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa Iran inatafuta kurejesha haki zake halali katika mazungumzo na Marekani. Hata hivyo, amebainisha kuwa uzoefu mchungu wa majadiliano ya…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa Iran inataka kurejesha haki zake halali katika mazungumzo na Marekani. Hata hivyo, ameeleza kuwa uzoefu mchungu wa majadiliano ya…
Watetezi wa haki za binadamu na maafisa wa Palestina wamelaani hatua wanayoieleza kuwa ni kukiuka kwa mfumo uhuru wa ibada, baada ya utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine kuzuia…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako katika kiwango cha juu kabisa cha utayari na yataitoa “adhabu yenye maangamizi…
"Dili za kupiga" si lazima ziwe za mkato. Vijana wanaweza kukua kupitia ubunifu, nidhamu na teknolojia, kuanzisha biashara zenye faida hata kwa mtaji mdogo.
Wanawake 150 kutoka jamii za wafugaji wilayani Simanjiro na Kiteto mkoani Manyara wamekabidhiwa...
Mwishoni mwa Mkutano wa 79 wa Baraza la Afya Duniani, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Matiafa la Afya Duniani (WHO) amezitaka nchi wanachama kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi…
Kampuni ya huduma za fedha kidijitali, Mixx kwa kushirikiana na kampuni ya vifaa vya...
Shambulio la Urusi usiku kucha dhidi ya Ukraine, lililolenga mji mkuu Kyiv, limeripotiwa kuhusisha makombora takribani 90, likiwemo kombora hatari la kasi ya juu na ndege zisizo na rubani 60.
Wachezaji Iddi Selemani ‘Nado’ na Yusuph Kagoma wamewekwa kando katika kikosi cha timu ya Taifa...
Mwili wa Bhaozang Ge, mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha...
DAR ES SALAAM: Residents and transport operators of Mbezi and surrounding areas will now have ease access to fuel following the launch of Evosha Energies Fuel Station, a move aimed…
TABORA: WANANCHI wanaojihusisha na ufugaji nyuki na uchakataji wa mazao yatokanayo na nyuki wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa bidhaa zao, kwani uzalishaji usiozingatia sheria unaweza kuhatarisha masoko…
Mchambuzi Mkongwe wa soka Diblo Kaberia amefariki baada ya kuugua, imethibitishwa na mwenzake Fred Arocho. Kifo kimeipoka Radio Jambo kifaa adimu.
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia chama cha UMD katika uchaguzi mdogo, Asma Othman, ameendelea kunadi sera zake kwa wananchi wa maeneo ya jimbo hilo huku akiomba kupewa…
Umewahi kujiuliza kwa nini watoto wengi wanalalamikiwa kwa kukosa ubunifu?
KUNA nafasi ndogo kwa Ruangwa Queens na Bilo Queens zilizopo mkiani kusalia Ligi Kuu ya Wanawake msimu ujao kutokana na muendelezo mbaya wa ligi hiyo.e mechi zote. Changamoto kubwa kwa…
Baada ya kutangaza nia ya kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter...
DAKIKA 360 zilizosalia sawa na mechi nne za Ligi Kuu Zanzibar(ZPL), ndiyo itakayoamua hatma ya mabingwa wa zamani ZPL, Malindi kubaki katika ligi hiyo au kushuka daraja.
KOCHA Mkuu wa KVZ, Hababuu Ali ameendeleza pale walipoishia watangulizi wake kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mechi mbili na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
Rais mteule Romuald Wadagni, aliyetangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Aprili 12 nchini Benin, ataapishwa na kukabidhiwa rasmi mamlaka ya uongozi wa nchi wakati wa sherehe ambayo inatarajiwa kufanyika…
KOCHA wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema makosa binafsi wanayoyafanya katika mechi mbalimbali ndiyo yanayochangia mwenendo usioridhisha kwa kikosi hicho cha maafande msimu huu, japo wataendelea kuonyesha ushindani kwa wapinzani…
BEKI wa kati wa Mbeya Kwanza, Vintani Mtega amesema bado hajajua hatima yake katika kikosi hicho baada ya mkataba wake wa sasa kufikia ukomo mwisho wa msimu huu wa 2025-2026,…
Milio ya risasi imesikika karibu na Ikulu ya White House jioni ya Jumamosi, Mei 23. Kulingana na ripoti za awali, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka ishirini alivamia kituo cha…
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kufikisha mabao matano msimu huu, nyota huyo amebakisha bao moja ili aweke rekodi mpya ya kufunga mengi zaidi katika timu…
Hasira ziliwapanda watu Vihiga baada ya KeNHA kukata mahindi yaliyokuwa yakinawiri pembezoni mwa Barabara ya Lwanda–Majengo. Wengi walisema haikufaa hivyo.
Rais Ruto, katika ziara yake Pwani, ameapa kukabiliana na upinzani 2027. Alitoa KSh 2 bilioni kwa ajili ya sekta ya uvuvi, viongozi eneo hilo wameapa kumuunga mkono.
Mfululizo wa mashambulizi na uhalifu unaowalenga watu wenye ulemavu wa ngozi umesababisha kukamatwa kwa watu wapatao kumi. Kwa wale wenye ulemavu huu na wanasheria wanaowaunga mkono, kampeni kubwa ya uhamasishaji…
Mpango wa kurefusha muda wa usitishaji mapigano umeripotiwa na vyombo vya Habari vya pande zote mbili lakini hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa.
BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Haji Mnoga leo atakuwa na kibarua kizito England wakati chama lake Salford City itakaposhuka dimbani kucheza fainali ya playoff ya ligi daraja la nne 'League…
Katika familia nyingi za Kiafrika, adhabu za kimwili zimekuwa sehemu ya malezi kwa watoto kwa...
HUENDA kiungo wa Kitanzania, Diana Msewa anayekipiga Trabzonspor ya Ligi ya Wanawake Uturuki akatimkia Ulaya, baada ya Kampuni yaTMJ inayowasimamia wachezaji kimataifa kuonyesha nia ya kuingia makubaliano na nyota huyo.
Somo hili ni mahususi kwa wale wote wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio na utulivu.
Mji mkuu wa Ukraine na viunga vyake umeshambuliwa vikali na jeshi la Urusi usiku wa Jumamosi, Mei 23, kuamkia Jumapili, Mei 24, ikiwa ni pamoja na kombora la balestiki la…
Ferdinand Omanyala alishinda mbio za Xiamen Diamond League kwa muda bora wa msimu wa sekunde 9.94, ikiwa ni mara yake ya tano mfululizo kukimbia chini ya sekunde 10.