Watumishi halmashauri Wanging’ombe wanusurika kifo kwenye ajali ya gari
Watumishi 10 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea...
Watumishi 10 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea...
HAI: RESIDENTS of Mungushi Village in Hai District, Kilimanjaro Region, have finally overcome long-standing mobile communication challenges following the official launch of a new Airtel 4G telecommunications tower, a development…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha mlipuko wa virusi vya Ebola vya Bundibugyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda kama dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa.
Miaka 40 imepita kama upepo wa jioni, bado wewe uko pale pale ukizunguka kwenye soko la...
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imelaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya wafungwa wa Kipalestina, ikitaka kufanyike uchunguzi huru,…
Katika kipindi ambacho mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanaendelea kuibadilisha sura ya...
Makamu wa Rais, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanapaswa kubishana kwa hoja na kuacha tabia za kinafki. Akizungumza katika mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa Makamu wa Rais mstaafu, Mohamed…
Katibu wa NEC tikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Tarime mkoani Mara kulinda amani na kuachana na wanasiasa waliofilisika kisera wenye…
Mke na mume wote wanapaswa kuwa vichwa vya ndoa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ndoa huundwa...
Utulivu ni mkubwa kwa Marioo kukaa kando ya Paula. Na Paula amebadilika sana baada ya ujio wa...
Katika dunia ya leo, simu janja, televisheni za kisasa, YouTube, TikTok na michezo ya mtandaoni...
Katika jamii ya sasa ya mitandao ya kijamii, ambapo wanawake hupokea maelfu ya ujumbe kila...
Uchaguzi wa Bunge huko Cape Verde unafanyika leo Jumapili, Mei 17. Viti 72 vya bunge vinagombaniwa , ambapo wabunge waliochaguliwa watamchagua baadaye Waziri Mkuu. Waziri mkuu anayemaliza muda wake, Ulisses…
Nchini Comoro, serikali imerejelea hatua yake na kusitisha kupanda kwa bei ya mafuta baada ya mgomo wa siku sita uliosababisha vifo vya watu wawili na kusababisha mvutano katika visiwa hivyo.…
Katikati ya miaka ya 1980, wafanyakazi wa kiwanda cha kuchonga almasi cha Iringa, Iringa...
Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alionya kuwa kwa sasa kuna “kutokuwa na uhakika mkubwa kuhusu idadi halisi ya walioambukizwa na pia maeneo ambayo ugonjwa umeenea.”
Nchini Chad, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anatoa wito kwa mamlaka ya Chad na Nigeria kufanya “uchunguzi wa haraka, wa kina, huru, na…
Mlipuko wa kumi na saba wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari umevuka mipaka ya nchi. Kufuatia kifo kilichorekodiwa nchini Uganda, Sudan Kusini iko macho,…
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amemwomba spika Moses Wetangula kukatiza likizo ya wabunge ili waje kujadili maoni yaliyopendekezwa kuhusu bei za mafuta.
Rais Ruto alitetea ukarabati tata wa Ikulu, akisema muundo wa kisasa na kanisa jipya vinashughulikia mapungufu ya awali katika ikulu ya serikali.
Juventus wanapanga kuongeza juhudi kumsajili kiungo mshambuliaji wa Ureno Bernardo Silva, ambaye ataondoka Manchester City msimu huu wa joto.
Katika jamii nyingi za Kiafrika, mwanaume amejengwa kuonekana kama nguzo imara isiyotetereka kirahisi. Tangu utotoni, wengi hufundishwa kuwa kulia, kueleza maumivu au kuomba msaada ni udhaifu. Matokeo yake, wanaume wengi…
Methali ya wahenga inayosema “umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu” imejidhihirisha kwa kikundi cha vijana saba wapiga debe katika kituo cha mabasi cha Katoro wilayani Geita ambao wameunganisha nguvu na…
Mbunge wa Saboti Caleb Amisi amemuidhinisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea bora wa upinzani dhidi ya Ruto, akisisitiza mvuto wake kwa ajenda ya vijana.
Hata hivyo, kupitia neno la Mungu tunapata uhakika kwamba hakuna silaha itakayofanyika juu yetu...
Leo ni Jumapili tarehe 29 Mfunguo Pili Dhulqaada 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 17 Mei, 2026.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemsihi mwandishi anayepinga ukoloni, Aimé Césaire, kulaani uozo wa maadili, unafiki na kushindwa kwa nchi za Magharibi kukabiliana na migogoro iliyotokana…
Jaji wa Ufaransa atachunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi mwaka 2018 kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu dhidi ya Mwanamfalme…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema harakati ya muqawama ya nchi hiyo Ansarullah iko "bega kwa bega" na harakati ya mapambano ya Lebanon Hizbullah katika kukukabiliana na…
Mchumi mashuhuri wa Marekani, anaamini kuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa, walioanzisha mashambulizi dhidi ya Iran wanapaswa kuarifishwa kama pande zilizoshindwa vitani; wamekiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na…
Watu waliokuwa na silaha wameteka nyara makumi ya wanafunzi wa shule katika jimbo lililokumbwa na machafuko la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Pars Today - Majid Nili Ahmadabadi, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ujerumani amejibu kauli za kansela wa nchi hiyo alizotoa baada ya mazungumzo ya simu na rais…
Cristiano Ronaldo ameshindwa kutwaa taji la kwanza kubwa akiwa na Al Nassr baada ya timu yake...
Beki wa zamani wa Simba, Che Fondoh Malone amevaa medali ya dhahabu ya Kombe la Shirikisho...
Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa mara ya tano...
ARUSHA: TANZANIA and Russia have signed cooperation agreements covering 12 key sectors, including language, health, agriculture, energy, tourism, education, science and technology, transport and logistics. The development was revealed yesterday…
KONDOA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba yesterday said the government will accelerate implementation of delayed development projects across the country after prioritising funding for major strategic national investments, including the Julius…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
#CAFCCFinal USM Alger wanaibuka mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26. USM Alger kutoka Algeria wanalichukua kombe hilo kwa mara ya pili, baada ya ileeeeeee unayoikumbuka walipolichukua kwa faida ya…
#CAFCCFinal Tunakwenda kwenye mikwaju ya penati…!! FT: Zamalek 1-0 USM Alger (Agg: 1-1) Iko LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili #CAFCC #CAFConfederationCup #KombelaShirikishoAfrika #USMA #Zamalek #ZamalekUSMA (Feed generated with FetchRSS)
Felicien Kabuga, 93, mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda, ameaga dunia wakati akiwa kizuizini kulingana na taarifa ya mahakama ya Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 16/05/2026…
Waziri wa Hazina ya Taifa John Mbadi amemjibu vikali mbunge wa EALA Winnie Odinga kuhusu ukosoaji wake. Alikosoa jukumu lake kama waziri na kuzua mvutano wa kisiasa.
Naibu Rais wa Zamani Rigathi Gachagua amevuruga safari yake ya Uingereza kutokana na mgogoro wa bei ya mafuta nchini Kenya, akiulaumu utawala wa Ruto kwa hali hiyo.
15’ | #CAFCCFinal Zamalek 1-0 USM Alger (Agg: 1-1). Iko LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili #CAFCC #CAFConfederationCup #KombelaShirikishoAfrika #USMA #Zamalek #ZamalekUSMA (Feed generated with FetchRSS)
Zaidi ya watu 246 wameambukizwa ugonjwa wa Ebola huku zaidi ya watu 80 wakifariki dunia katika jimbo la Ituri maeneo ya Mongwalu na Rwampara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na bilionea wa Nigeria na mwanzilishi wa Dangote Group, Aliko Dangote katika Ikulu jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadili mpango wa uwekezaji wa kiwanda…
Azam Media Limited imetangaza kuwa itaonesha mubashara mechi zote 104 za Kombe la Dunia mwaka huu kupitia chaneli zake za Azam Sports HD kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza kuanzia…