🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….2 APRILI, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....2 APRILI, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....2 APRILI, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Tabora imetoa mbuzi wanne kama zawadi kwa mashindano ya michezo yanayoendelea katika Gereza Kuu la Uyui, lililopo wilayani hapo na Mkoa…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kukuza vipaji kwa vijana kwenye mchezo wa MBIO FUPI AU MBIO ZA NDANI ndani ya Tanzinia..? -Weka Moani yako. (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....APRILI 2 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Serikali imesema imejiandaa kikamilifu kwa ajili ya upokeaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza mwishoni mwa mwakani baada ya mtaala wa elimu kuboreshwa ambapo wanafunzi wanaomaliza darasa la saba na…
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ameagiza kuwasilishwa kwa majina ya halmashauri ambazo hazikutekeleza mpango wa serikali wa kununua dawa za viuadudu kwa ajili ya kukabiliana na malaria…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Aprili 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Katika kukabiliana na changamoto ya matumizi ya fedha kupita kiasi au kutumika kwenye maeneo yasiyo sahihi, wadau mbalimbali waliozungumza na Azam News wametaja njia za kumaliza tatizo hilo, ikiwemo kuwajibisha…
Mafuta Kupanda Bei, Serikali Yaahidi Suluhisho kwa Wananchi Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kusimamia upatikanaji wa bidhaa za mafuta ya petroli na mafuta mengine ili kuhakikisha bei…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....1 APRILI, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
"Ninaelekeza Wizara ya Nishati ikamilishe utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme katika vitongoji, vilevile, iweke kipaumbele katika kuunganisha umeme katika hospitali, vituo vya afya, zahanati, shule, taasisi za dini na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....1 APRILI, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Usikose kutazama kipindi leo Aprili 01, 2026 ndani ya Superbrand, ITV. (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu…
Sanaa ya uchoraji licha ya kuwa na matawi mengi lakini kila tawi limeendelea kuwa chanzo cha uwasilishaji wa maarifa kwa namna ya kipekee kwa hadhira. Mbali ya hivyo pia Sanaa…
Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya watoto wa mitaani imekuwa ikiongezeka kwa kuchangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo umasikini na migogoro ya familia. Mratibu wa Shughuli za Ulinzi wa…
Kazi za uandishi wa vitabu ni nyenzo muhimu ya kukuza maarifa na lugha kwa hadhira lakini mwandishi mkongwe wa vitabu, Rachard Mabala anasema “ubunifu na usahihi wa lugha” ndio sababu…
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetumia Sh25 bilioni kujenga Kituo cha Kupoza Umeme 1x20MVA, 220/33kv pamoja na njia za kusambaza Umeme katika Wilaya ya Kilombero. kukamilika kwa ujenzi…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi "kama Uingereza' ambazo haziwezi kupata mafuta ya ndege kwa sababu ya vikwazo vilivyowekwa kuhusiana na Mlango Bahari wa Hormuz zinapaswa "kuwa na ujasiri…
Wote wakiwa katika ubora wao unaanza na nani? (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Raia wa Uganda, Fortunate Kyarikunda, amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya kushindwa kulipa zaidi ya Milioni 14 sawa na Shilingi milioni 9.6 za Kitanzania kwa mwanaume aliyemlipia…
#HABARI: Bunge la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetoa heshima kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa…
#HABARI: Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia Temu, ameongoza viongozi na watumishi wa bodi hiyo kumkaribisha rasmi na kumkabidhi ofisi…
🔴LIVE: IBADA YA KUAGA MWILI WA LUKUVI INAFANYIKA IDODI....MACHI 31, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mtaalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano, Kenedy Mmari amesema kuwa njia zote za uhifadhi wa taarifa zina umuhimu mkubwa, kulingana na kiwango cha usalama kinachohitajika kwa taarifa husika. Amefafanua kuwa si…
Wakazi wa Kijiji cha Ruhokwe, kilichopo katika Kata ya Mnolela, Halmashauri ya Mtama - Lindi, wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa zahanati ili kuondokana na changamoto za upatikanaji wa huduma za…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 31, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Furaha ya Fatuma Said imeongezeka zaidi baada ya nyumba yake ya nyasi iliyopo Mtaa wa Makemba, Manispaa ya Songea kuunganishiwa umeme, hatua iliyowavutia majirani kwenda nyumbani kwake kutazama televisheni na…
Zanzibar inatarajia kuanza kutumia mabasi yanayotumia nishati ya umeme hivi karibuni, baada ya kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kupakia abiria katika maeneo mbalimbali ya viunga vya kisiwa hicho.…
"Mh. Rais naomba kukufahamisha kwamba sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA kwa mwaka wa fedha 2024/2025 baada ya kupata taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu mashauri yanayoendela Mahakamani"-…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwa na ongezeko la hati safi kwa mwaka 2024|2025, kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…
Rais wa Marekani Donald Trump anapanga operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuchimba pauni 1,000 za urani nchini Iran, Jarida la Wall Street linaripoti. Operesheni hiyo "huenda ikaviweka vikosi vya…
“Tuhuma za kughushi kadi za Benki zilizoibiwa taarifa zake na kupelekea kiasi cha Shilingi Bilioni 147.5 kutolewa hapa nchini kwetu katika akaunti za wateja pasipo ridhaa yao, uchunguzi wetu umebaini…
"Katika mwaka wa fedha 2024/2025 jumla ya tuzo za zabuni zenye thamani ya trilioni 14.5 zilitolewa kwa wazabuni, kati ya hizo zabuni zenye thamani ya trilioni 9.1 zilitolewa kwa wazabuni…
“Mheshimiwa Rais TAKUKURU ilifanya kazi mbili za utafiti na kazi mia saba hamsini na saba (757) za uchambuzi za mifumo. Idadi ya kazi hizi zimeongezeka ikilinganishwa na utafiti mmoja na…
"Mhe.Rais tathmini inaonyesha kuwa matumizi ya mfumo wa NeST, yamepunguza gharama za uendeshaji kwa kupunguza matumizi ya karatasi na vifaa vya Ofisi katika Taasisi nunuzi" Bw. Dennis Simba - Mkurugenzi…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Chama cha ODM, Bw.Edwin Sifuna, amesema hana nia ya kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho alichokiita kinakubaliana na maovu yanayofanywa na Serikali iliyopo madarakani. Powered…
Umewahi kusikia kuhusu ugonjwa wa ‘Bipolar’? Ni ugonjwa unaosababisha mtu kuwa katika hali ya huzuni au furaha inayopitiliza. Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili- Muhimbili, Said Kuganda anasema…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 30, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanizi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji yeyote bali maboresho yatafanyika kwa manufaa ya wananchi waliopo katika…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amewataka walipakodi ambao bado hawajafanyiwa makadirio ya kodi kwa nchi nzima kutumia siku mbili zilizosalia kufanya makadirio yao kabla…
Usikose kutazama MY SON filamu mpya itakayokuijia kupitia #AzamTVMaxApp kuanzia Aprili 05, 2026. (Feed generated with FetchRSS)
Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya Dizeli na Petroli kwenda sokoni uliowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), umetajwa kuharakisha utoaji wa mafuta kwenye vituo…
Katika tamaduni nyingi za Afrika, mti wa mbuyu umeendelea kupewa hadhi ya kipekee kama chanzo cha maisha, lishe na tiba za asili. Katika Bustani ya Wanyama Mbweni JKT jijini Dar…
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, umepokelewa na mamia ya wakazi wa Iringa na kupelekwa nyumbani kwake mtaa wa Gangilonga kwa ajili ya taratibu za mwisho. Kwa mujibu…
#HABARI: Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuweka mkazo katika kujenga uchumi jumuishi unao wajumuisha wanawake na vijana kikamilifu katika shughuli za…
#HABARI: Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, ametoa wito kwa vijana mkoani humo kuhakikisha wanalinda amani na utulivu wa nchi kwa nguvu zote. Amesema kuwa aina yoyote ya…
#HABARI: Wananchi wa kaya 150 za kata za Kibaoni, Michenga, Lumemo na Lipangalala katika Halmashauri ya mji wa Ifakara, Jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro, wamelishukuru Shirika la Reli Tanzania (TRC)…
#HABARI:Aliyekuwa Naibu Rais na Kiongozi wa Chama ch DCP Rigathi Gachagua, amejibu mashambulizi ya maneno ya Rais William Ruto dhidi yake, na badala yake amemtaka Rais Ruto kutumia muda huo…
Mazoezi ni muhimu kwa afya ya mwili, kwani husaidia kupunguza mafuta yaliyopitiliza ambayo yanaweza kusababisha magonjwa mbalimbali. Kwa kufanya mazoezi mara kwa mara, unaweza kuimarisha mwili wako mzima, kupunguza uzito…