Pezeshkian na Narendra Modi wasisitiza kuimarisha ushirikiano wan chi zao
Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa India wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kukuza na kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa India wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kukuza na kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
Mkuu wa timu ya Iran ya mazungumzo na Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaingia katika mazungumzo yoyote mapya na Marekani…
Kufuatia kupunguzwa kwa vikwazo vilivyokuwa vinaikabili sekta ya mafuta, Iran imesafirisha takriban mapipa milioni 50 ya mafuta katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, na inakadiriwa kuwa imepata mapato yanayozidi dola…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mlipuko wa virusi vya Ebola huenda ukaligharimu bara la Afrika kiasi cha dola za Marekani bilioni 3.6 pamoja na maelfu ya ajira na pengine kusababisha…
Dunia inashuhudia mshikamano wa kipekee kufuatia taarifa kwamba wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 90, pamoja na viongozi wa kidini, wasomi, na watu mashuhuri kutoka kila pembe ya dunia, wanatarajiwa kushiriki…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran itafuatilia, dakika kwa dakika, iwapo Marekani itazingatia makubaliano ya maelewano (MoU) ya kumaliza vita, na akaonya kwamba Jamhuri…
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kutokea vurugu na mapigano ndani ya Bunge la utawala huo (Knesset), kufuatia kufutwa sheria iliyokuwa inahusu wafungwa wa Kipalestina.
Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakiuna shaka yoyote kwamba, Tehran itajibu kwa nguvu zote ukiukaji wowote ule wa usitishaji vita.
Uchunguzi katika mikoa miwili ya mashariki mwa DRC ya Kivu Kaskazini na Kusini waonesha ukikwaji wa haki za binadamu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Leo ni Jumatano tarehe 16 Muharram 1448 Hijria sawa na Julai Mosi mwaka 2026.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa makubaliano yoyote kati ya Iran na Marekani lazima yajikite katika heshima ya pande zote na ahadi za pamoja, na si kwa kutumia vitisho…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Badr al-Busaidi, ametangaza msimamo wa nchi yake kuunga mkono mpango wa Iran wa kuanzisha utaratibu wa “ada za huduma za baharini” kwa meli…
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesema kuwa sherehe za kitaifa za kuaga na mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, zitatumika kama jukwaa…
Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa kuacha kauli za kulaani pekee na badala yake kuchukua hatua za kivitendo ili kusitisha mpango wa Israel wa kupora…
Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeimarisha ulinzi kwa kupeleka vikosi vya polisi katika miji mikuu ya nchi hiyo, kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya raia wa kigeni wasio na nyaraka rasmi…
Leo ni Jumanne tarehe 15 Muharram 1448 Hijria sawa na tarehe 30 Juni 2026.
Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kuhusu njama mpya dhidi ya Lebanon akiashiria makubaliano ya Washington kati ya serikali ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel na…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kuwa kiasi cha dola bilioni 6 mali ya nchi hii zinazozuiliwa Qatar kufuatia mashinikizo ya Marekani, zitaachiliwa.
Katika taarifa yake Jumatatu usiku, msemaji wa Hamas, Hazem Qassem, alisema kwamba mtoto wa Kipalestina asiye na hatia aliyeuawa jana na jeshi la Israel ndiye mwathirika wa hivi karibuni zaidi…
Afrika Kusini inakabiliwa na mtihani mkubwa wa kiusalama baada ya magenge ya wahalifu kuapa kuwatimu raia wa kigeni nchini humo kuanzia leo.
Korea Kaskazini imekosoa vikali mazoezi ya kijeshi yanayoendelea kati ya Marekani na Japan, ikiituhumu Tokyo kutumia hali ya sasa ya dunia iliyojaa misukosuko kama kisingizio cha “kujihalalishia mabadiliko yake kuwa…
Kundi la wanazuoni wanawake wa Iran, wasomi wa taaluma mbalimbali na wataalamu wa masuala ya utamaduni, limesambaza barua ya wazi likirekodi ukiukaji wa kimfumo uliofanywa na Marekani na Israel wakati…
Kamanda wa Jeshi la Iran amesema Jamhuri ya Kislamu imepata mafanikio endelevu katika teknolojia ya ulinzi wa ndege zisizo na rubani na anga licha ya madai ya uhasama ya vyombo…
Iran na Oman zimefanya mkutano wa kwanza wa kamati mpya ya pamoja ya Hormuz, unaojadili usimamizi wa baadaye wa Lango-Bahari la Hormuz.
Mpango wa serikali ya Kenya wa kulazimisha magari ya kibinafsi kufanyiwa ukaguzi kila mwaka umezua hisia kali miongoni mwa umma, huku waendeshaji magari na viongozi wa upinzani wakitaka ukomeshwe na…
Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri, amekosoa vikali makubaliano yaliyosainiwa Washington kati ya Lebanon na utawala wa Israel, akiyataja kuwa ni seti ya maagizo ya kutwishwa badala ya kuwa…
Pande zinazopigana nchini Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights…
Sheikh Naim Qassim, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, na baadhi ya wabunge wa Hizbullah wamekosoa na kupinga vikali mazungumzo yanayodaiwa kufikiwa kati ya serikali ya Lebanon na utawala haramu…
Julai 28, 1987, imewekwa alama katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama kumbukumbu ya moja ya jinai za kivita za kutisha dhidi ya ubinadamu. Siku hii, inakumbushia…
Leo ni Jumatatu tarehe 14 Muharram 1448 Hijria sawa na Juni 29 mwaka 2026.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa jukumu la kupanga na kusimamia shughuli katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni la Iran pekee, akisisitiza kwamba hakuna taasisi wala…
Taasisi ya Hind Rajab (HRF) imewasilisha malalamiko kwa Wizara ya Sheria ya Marekani (DoJ), ikitaka kukamatwa na kushtakiwa anayeitwa waziri wa usalama wa taifa wa utawala wa Israel, Itamar Ben-Gvir…
Ripoti kutoka Ukanda wa Gaza zinasema kuwa chombo kimoja cha kuchimba vifusi (excavator) tu kinatumiwa kutafuta karibu miili ya watu 8,500 na mabaki yaliyo chini ya vifusi vya nyumba zilizoharibiwa…
Wanaharakati watano waliotoweka baada ya kukamatwa katika maandamano ya kumbukumbu ya Gen Z ya Juni 25, wamepatikana wakiwa na majeraha na sasa wanapewa matibabu katika Hospitali ya Nairobi Women’s.
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei ametoa wito kwa Mahakama ya Iran kufuatilia na kurejesha haki za taifa ambazo zimekiukwa kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utoaji wa huduma za "kiufundi na usaidizi" kwa pande zinazoshambulia kuwa ni jukumu la moja kwa moja na la…
Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa amesisitiza kuwa, Tehran itafuatilia kwa uzito jukumu la wahusika wa uhalifu wa mashambulio…
Maandamano makubwa ya kupinga ukiukaji wa usitishaji vita Gaza yamefanyika nchini Sweden yakilaani pia jinai za Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
Ethiopia itakuwa mwenyeji mkutano wa kimkakati kwa ajili ya kujadili mwelekeo mpya wa diplomasia ya umma Afrika
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametoa amri ya kufungwa televisheni ya NTV na vyombo vingine vya habari.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeendesha oparesheni kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya vituo nane vya kijeshi vya Marekani katika…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiituhumu nchi hiyo jirani kwa vitendo vya ukatili katika eneo lenye utajiri wa…
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk imetoa taarifa na kuonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la vifo vya wahamiaji vinavyotokea katika vituo vya…
Kamanda wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema, "Iwapo adui atafanya kosa na kuanzisha vita vipya, vita hivyo havitakuwa tena kama vita vya tatu vya…
Mji mkuu wa Ireland, Dublin, umeshuhudia kufanyika kwa wakati mmoja shughuli mbalimbali za wananchi na matukio ya michezo yaliyolenga kuunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano wa kimichezo na utawala…
Leo ni Jumapili 13 Mfunguuo Nne Muharram 1448 Hijria mwafaka na 28 Juni 2026 Miladia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amefanya mfululizo wa mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa kutoka Pakistan, Misri, Falme za Kiarabu (UAE), Uingereza, na Romania,…
Iran imekemea mashambulizi ya hivi karibuni ya anga ya Marekani dhidi ya maeneo kadhaa kando ya pwani za kusini mwa nchi, ikiyataja kuwa “ukiukaji wa wazi” wa hati ya makubaliano…
Maelfu ya wananchi wa Lebanon wamejitokeza mitaani katika miji na maeneo mbalimbali kupinga “makubaliano” yanayoungwa mkono na Marekani kati ya Lebanon na utawala wa Israel, huku wakiyataja kuwa tishio kwa…
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamejulishwa kuwa kuongezeka kwa mapigano, kuzorota kwa hali ya kibinadamu na mlipuko mpya wa Ebola kunazidi kuongeza mateso kwa wananchi wa…