Kenya: Maandamano ya kupinga ujenzi wa kituo cha Ebola yafanyika tena
Nchini Kenya, polisi wamekabiliana na waandamanaji wanaopinga kujengwa kwa kituo cha karantini cha wagonjwa wa Ebola raia wa Marekani katika Mji wa Laikipia. Imechapishwa: 09/06/2026 – 14:58Imehaririwa: 09/06/2026 – 15:12…