Senegal: Ni kazi gani za kwanza za dharura zinazomsubiri Waziri Mkuu mpya
Senegal bado inasubiri serikali mpya baada ya Ousmane Sonko kumkabidhi rasmi madaraka Waziri Mkuu Ahmadou Al Aminou Mohamed Lô, ambaye aliteuliwa siku ya Jumatatu. Changamoto kadhaa za dharura zinasubiri timu…
Marekani haijasema lolote baada ya mkutano wa kuamua ‘hatma’ ya Iran
Mkutano wa Ijumaa ulifanyika katika Ikulu ya White House, katika sehemu inayotumika kushughulikia migogoro mikubwa.
Ebola nchini DRC: Mwitikio waendelea, mkuu wa WHO atoa wito wa mshikamano wa kimataifa
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) yuko DRC tangu siku ya Alhamisi, Mei 28, kutoa msaada kwa raia wa Kongo. Alitoa wito wa mshikamano wa kimataifa. Waziri wa Afya…
Mahakama Kuu ya Katiba ya Madagascar yapinga kuondolewa madarakani Rais
Mahakama Kuu ya Katiba ya Madagascar imepinga jaribio la mbunge wa upinzani la kumwondoa madarakani Rais Michael Randrianirina wa nchi hiyo.
Ebola nchini DRC: Kile ambacho WHO inapendekeza kwa ajili ya matibabu, ulinzi, na chanjo
WHO imechapisha mapendekezo yake ya kwanza kuhusu chanjo za majaribio na matibabu ya Ebola Bundibugyo siku ya Alhamisi, Mei 28. Hakuna chanjo au matibabu yaliyoidhinishwa kwa sasa kwa aina hii…
Tofauti ya dakika 7,000 – kwa nini PSG wanaweza kuwa na makali dhidi ya Arsenal
Wakati timu bora zaidi za Uingereza na Ufaransa zitakapomenyana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Jumamosi, itaadhimisha mwisho wa msimu mgumu kwa vilabu vyote viwili.
Hizbullah: Hakuna njia nyingine isipokuwa mapambano dhidi ya Israel
Mbunge mwandamizi wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah itaendeleza operesheni zake za kijeshi dhidi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel.
Mbunge mwandamizi wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah itaendeleza operesheni zake za kijeshi dhidi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel.
Mbunge mwandamizi wa Lebanon amesema kuwa harakati ya Hizbullah itaendeleza operesheni zake za kijeshi dhidi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel.
Wanamgambo wenye mfungamano na RSF wauwa raia 27 Kordofan Kaskazini
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa wanamgambo wenye mfungamano na Kikosi cha wapiganaji wa RSF kimewaua takriban raia 27, wakiwemo wazee, katika mashambulizi dhidi ya vijiji kadhaa magharibi mwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 30, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Jamii yahamasishwa kuchangia damu
KIGOMA: Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dk Damas Kayera ameihamasisha jamii kujenga utamaduni wa kuchangia damu mara kwa mara ili kusaidia kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo katika…
#HABARI: Vichwa vya mbuzi na ng’ombe pamoja na miguu vinaendelea kuuzwa kiholela karibu na Machinjio ya Vingunguti Manispaa ya I…
#HABARI: Vichwa vya mbuzi na ng'ombe pamoja na miguu vinaendelea kuuzwa kiholela karibu na Machinjio ya Vingunguti Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya wakazi wa jiji…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 29, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Kombe la Dunia lapangua mechi tatu Ligi Kuu Bara
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetangaza kufanya mabadiliko ya muda kwa mechi tatu za Ligi Kuu Bara msimu huu ili kutoingiliana na zile za Fainali za Kombe la Dunia…
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 29, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
“Mkuu wetu wa mkoa ameunda kamati, ambayo anayeratibu ni Katibu Tawala, wanaendelea kufuatilia kwa kila taasisi namna ilivyoteke…
"Mkuu wetu wa mkoa ameunda kamati, ambayo anayeratibu ni Katibu Tawala, wanaendelea kufuatilia kwa kila taasisi namna ilivyotekeleza maazimio ya mkoa, kwa hiyo kamati ipo ya kuratibu kuhakikisha hili jambo…
#HABARI:Mfanyabiashara na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredy Ngajiro maarufu (Vunjabei), ameungana na makada wengine wa ch…
#HABARI:Mfanyabiashara na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fredy Ngajiro maarufu (Vunjabei), ameungana na makada wengine wa chama hicho kumuunga mkono Emmanuela Mtatifikolo katika Uchaguzi Mdogo wa marudio wa Jimbo…
Michezo ni sehemu muhimu ya burudani na maisha ya watu wengi duniani, lakini baadhi yake huambatana na hatari kubwa zinazoweza k…
Michezo ni sehemu muhimu ya burudani na maisha ya watu wengi duniani, lakini baadhi yake huambatana na hatari kubwa zinazoweza kusababisha majeraha makubwa au hata vifo. Licha ya changamoto hizo,…
YANGA SC : Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na maandalizi ya kurejea kwenye Ligi Kuu ya NBC kwa wachezaji waliosalia kwenye timu …
YANGA SC : Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na maandalizi ya kurejea kwenye Ligi Kuu ya NBC kwa wachezaji waliosalia kwenye timu ambapo rasmi Juni Mosi mwaka huu kikosi hicho…
KOMBE LA DUNIA | Kocha Lionel Scaloni amemjumuisha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi kwenye kikosi chake cha mwisho cha Argenti…
KOMBE LA DUNIA | Kocha Lionel Scaloni amemjumuisha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi kwenye kikosi chake cha mwisho cha Argentina kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 zinazotaraji kuanza…
Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha bangi Dar
Wakazi wawili wa Mburahati kwa Jongo, Abubakar Naseeb (41) na Stara Kombo (35) wamefikishwa...
TPLB | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kupitia Kaimu Afisa Habari wake, Yahya Abushehe imekiri kukoshwa na ushindani uliopo kweny…
TPLB | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kupitia Kaimu Afisa Habari wake, Yahya Abushehe imekiri kukoshwa na ushindani uliopo kwenye Ligi kwa mizunguko 25 iliochezwa na ikiamini kuwa klabu…
Huduma za dharura Muhimbili zapunguza vifo kwa zaidi ya asilimia 50
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema itaendelea kuimarisha huduma za tiba ya magonjwa ya...
Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat
Waandishi wawili wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzo katika kinyang’anyiro...
SERENGETI BOYS | Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe kwa niaba ya klabu yake wamewapongeza Serengeti Boys, uongo…
SERENGETI BOYS | Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe kwa niaba ya klabu yake wamewapongeza Serengeti Boys, uongozi na benchi zima la ufundi baada ya kufuzu kutinga…
SERENGETI BOYS | Wakati Watanzania wakiendelea kujivunia timu yao ya vijana ya Serengeti Boys chini ya miaka 17, Kocha mkuu wa t…
SERENGETI BOYS | Wakati Watanzania wakiendelea kujivunia timu yao ya vijana ya Serengeti Boys chini ya miaka 17, Kocha mkuu wa timu hiyo Elieneza Nsanganzelu ametanabaisha siri iliyowafikisha kwenye kilele…
Uhakika wa pedi mashuleni utaimarisha elimu ya mtoto wa kike
Inaelezwa kuwa baadhi ya wasichana hujikuta wakikosa masomo kwa siku tatu hadi saba kila mwezi...
Wawakilishi waikalia kooni Kampuni ya Rand Water tatizo la maji Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameikalia kooni kampuni ya Rand Water, wakidai...
Kituo cha mafuta Arusha kuongeza ajira
ARUSHA: UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji na…
Hizi Ndizo Dalili za Ebola Unazopaswa Kujua na Jinsi Maradhi Hayo Huenea
Mlipuko wa Ebola 2026: WHO yaonya kuhusu kuenea kwa maradhi hayo nchini Congo. Baini kuhusu dalili na kile unachopaswa kufanya ili kujilinda na kutafuta msaada
78 wakamatwa kwa uhalifu Shinyanga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, limekamata watuhumiwa 78 kwa makosa mbalimbali pamoja na...
CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwalinda na kuwaheshimu wazee kwa kutambua...
President Samia hails Serengeti…
President Samia hails Serengeti Boys for reaching CAF U-17 final, U-17 World Cup By DAILY NEWS Reporter DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has congratulated Tanzania’s U-17 national football…
Tanzania records 55.97 percent decrease in drug trafficking and abuse
DODOMA: THE Tanzanian government has said it continues to achieve significant success in the fight against drug trafficking and abuse in the country due to strengthened enforcement operations, cooperation among…
THRDC, Wamasai waungana kulaani mauaji ya Bhaozang Ge
DAR ES SALAAM: WAKILI wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa, ameliomba Jeshi la Polisi kushirikiana na viongozi wa jamii ya Kimasai jijini Dar es…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro kimesema mafanikio makubwa ya maendeleo yanayoonekana mkoani humo yametokana na ka…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro kimesema mafanikio makubwa ya maendeleo yanayoonekana mkoani humo yametokana na kazi kubwa inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Samia…
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar ameshiriki ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki y…
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar ameshiriki ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Mkutano…
Mahakama Kuu yasitisha mpango wa Marekani kuanzisha karantini ya Ebola nchini Kenya
Mahakama Kuu ilisitisha mpango wa Marekani kujenga karantini ya Ebola nchini Kenya baada ya Taasisi ya Katiba na LSK kuwasilisha ombi la dharura kuhusu kisheria.
THRDC calls on the Police to consult Maasai leaders in identifying suspects linked to Bhaozang murder
DAR ES SALAAM: TANZANIA Human Rights Defenders Coalition (THRDC) advocate Onesmo Olengurumwa, has called on the Police Force to work closely with Maasai community leaders in Dar es Salaam to…
Eyes wide open: What smart glasses mean for citizen privacy in East Africa
NAIROBI, KENYA: In 2025, EssilorLuxottica and Meta sold more than seven million Ray-Ban and Oakley smart glasses, tripling their sales from the previous two years and making the category a…
Msajili arudi na rungu jingine Chadema
Rungu hili la msajili linakuja ikiwa ni wiki chache tu tangu Mei 7, 2026, Msajili akikitaka...
Utumishi Girls: Taarifa mpya zaonesha walimu 2 walijua kuhusu mpango wa kuchoma shule
Moto ulizuka katika bweni la Utumishi Gilrs Academy usiku wa manane mnamo Alhamisi, Mei 28, na kuua wanafunzi 16, wengine 79 wakibaki na majeraha.
Kithure Kindiki Aibua Ucheshi baada ya Kueleza Mbona Alimuita Martha Koome ‘My Lady’
Kithure Kindiki aliwafurahisha wageni katika hafla ya maombi kwa taifa akielezea matamshi yake ya 'My Lady' kuhusu Jaji Mkuu Martha Koome katika hotuba ya kusisimua.
Zijue adhabu utakazopata ukichezea Bendera ya Taifa
Wataalamu wa sheria wamesema matumizi ya nembo za taifa kinyume na taratibu zilizowekwa...
Pamba Jiji yazoa beki Namungo
PAMBA Jiji imeshamalizana na beki wa kushoto wa Namungo, Salehe Machupa, huku klabu hiyo ikimpa baraka zote.
Serengeti Boys gumzo AFCON
TAKWIMU za fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (AFCON U17) zinazoendelea huko Morocco, ni uthibitisho wa ubora wa kitimu na mchezaji mmoja ambao…
Tegisi atamani kucheza na Fei Toto Azam FC
STRAIKA wa Pamba Jiji, Methaw Tegisi amesema moja ya ndoto zake katika soka la kulipwa nchini ni kuitumikia Azam, huku akibainisha anatamani kucheza sambamba na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’…