CCM picks EALA nominees, Isimani candidate
DAR ES SALAAM: THE Ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) has unveiled nine contenders for three East African Legislative Assembly (EALA) seats and picked its flag bearer for the Isimani…
DAR ES SALAAM: THE Ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) has unveiled nine contenders for three East African Legislative Assembly (EALA) seats and picked its flag bearer for the Isimani…
DODOMA: THE government has launched a 10-year National Strategy to Address Moral Decay (2026/27–2036/37), aimed at strengthening ethical values across society and supporting the goals of the National Development Vision…
Baada ya zaidi ya miaka 40 tangu walipocheza nusu fainali ya mwisho ya mashindano makubwa ya...
Kampuni ya Xiaomi Tanzania imezindua rasmi simu yake mpya aina ya Redmi A7 Pro, hatua...
NJOMBE: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to officiate this year’s International Workers’ Day (May Day) national celebrations, scheduled to take place in Njombe Region tomorrow. The announcement was made…
Describe it as professional, evidence-based DAR ES SALAAM: POLITICAL parties have endorsed and approved the Commission of Inquiry report, describing it as professional, evidence-based and grounded in scientific methodology. They…
Nchini Mali, kundi la wanajihadi la JNIM linaendelea na tishio lake la kuzingira mji wa Bamako, kufuatia mashambulizi yasiyo ya kawaida ya wanajihadi hao na waasi yalipiga moyo wa utawala…
Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea mwenzake wa Kongo, Denis Sassou-Nguesso, ambaye alichagua Urusi kwa safari yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuchaguliwa kwake tena. Ziara hiyo ilitoa fursa…
Waziri wa Elimu ameiagiza Tume ya Huduma kwa Walimu (TSC) kuanzisha hatua za kinidhamu dhidi ya mkuu wa shule kwa kutekeleza muundo wa ada usioidhinishwa.
Tambo za Kocha wa Mbeya City, Salum Mayanga na zile za Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wa Mashujaa...
Baada ya kupita takribani miezi miwili tangu Marekani na utawala wa kizayuni zilipoanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, wakosoaji wa sera za kushupalia vita za Trump katika kila pembe…
Soko la mitaji nchini limeonesha kuongezeka kwa mauzo ya hisa na mtaji wa soko katika robo ya...
Wakimbizi wa ndani waliorejea makaazi yao wilayani Rutshuru Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kuanza kurejea kwa amani katika eneo lao, sasa wapo kwenye hatari kubwa ya…
Jaji Mohamed Warsame Ateuliwa kwa Uamuzi wa Mahakama Kuu na JSC, kufuatia mahojiano makali, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na kifo cha Jaji Ibrahim.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Saudi Arabia kusitisha hukumu ya kunyongwa kwa takriban Waethiopia 65 waliohukumiwa kifo kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za…
Watafiti wanasisitiza kwamba kubadili mtindo wa maisha kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata saratani.
Rais Ruto alikumbusha kashfa ya mbolea, akifichua jukumu la Waziri wa zamani Linturi.Aliangazia mageuzi yaliyopunguza gharama kwa wakulima licha ya madai ya magendo.
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei mosi kesho, yanatarajiwa kuambatana na hisia mseto...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya ndani Jacquemain Shabani ameponea kura ya kukosa imani naye bungeni kufuatia mvutano wa uhalali wa saini…
Waendesha mashtaka wanasema picha ya ganda la bahari ya 2025 iliyowekwa na mkurugenzi wa zamani wa FBI ilikuwa wito wa vurugu dhidi ya Trump.
Kundi la kwanza la Waamerika Kusini waliofukuzwa kutoka Marekani na kupelekwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaelezea hali ya kutelekezwa na kutokuwa na uhakika katika nchi wasiyoijua.
Wananchi wa Kata ya Kibirizi, eneo ambalo mradi huo unatekelezwa, wanasema licha ya kuhamishwa...
Manchester United inafikiria kumsajili Rafael Leao katika dirisha la usajili la kiangazi, huku Newcastle ikitazamia kusuka upya kikosi chake kwa kumsaka kipa mpya, na Arsenal ikiendelea kumfuatilia Julian Alvarez.
Atletico Madrid na Arsenal zimetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi...
IRINGA: Maelezo ya kina yaliyotolewa na wakili wa kampuni ya Iringa Food and Beverages Ltd (IFB), Innocent Boniface yametoa mwelekeo katika mgogoro wa umiliki wa Shamba Na. 1135 lililopo Kijiji…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
FT: Yanga 0-1 Simba (Feed generated with FetchRSS)
Bao la dakika ya 119 lililofungwa na mshambuliaji wa Simba, Seleman Mwalimu, limetosha...
BAO la dakika ya 119 lililofungwa na mshambuliaji wa Simba, Seleman Mwalimu, limetosha kusitisha ukame wa mataji klabuni hapo, lakini pia likivunja rekodi tatu ndani ya Yanga. Wakati huohuo, likiivua…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya siku mbili ambapo kesho, Aprili 30, 2026, anatarajiwa kuifunga rasmi kambi ya wakimbizi ya…
🔴MCHEZO SUPA: .. APRILI 29, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Muungano Cup: Yanga 0 - 0 Simba (Feed generated with FetchRSS)
Rais wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kuonekana kwenye pasipoti mpya maalumu...
Babake Kelvin Kiptum, Mzee Cheruiyot, analia kupuuzwa na Golazo, mafuriko yakivamia kaburi la mwanariadha huyo, na kuibua wasiwasi wa tatizo la fedha ya familia hiyo
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa kushirikiana na taasisi ya Qatar Charity, imezindua kambi maalum ya siku sita ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kwa wananchi wa Dar es…
YANGA na Simba zimemalizana katika Kombe la Muungano pale Zanzibar, kituo kinachofuata ni jeshini pale Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo ikiwa ni mchezo ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili hii…
DAR ES SALAAM: Yas Tanzania has launched a campaign aimed at encouraging consumers to prioritize reliable, high-quality connectivity as demand for digital services continues to grow across the country. The…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Belarus zimesaini mkataba wa kuanzisha mkakati maalum utakaoratibu ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya mataifa hayo mawili, ikiwa ni hatua ya kuimarisha…
Mahojiano ya seneta wa Nairobi Edwin Sifuna Redioni yamefutiliwa mbali ghafla, hivyo kuzua maneno ya kejeli akifurahia kutazama mechi ya Arsenal ya Ligi ya Mabingwa
Waziri huyo amesema waganga wakuu wa mikoa na halmashauri watakaoshindwa kusimamia upatikanaji...
Arusha. Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-Tan), Edwin Soko...
Takribani Watanzania 60,000 hupata maambukizi mapya ya Ukimwi kila mwaka, huku chanzo kikitajwa...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika jitihada za kuongeza wigo wa makusanyo ya kodi, kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kimfumo na kiusimamizi pamoja na…
Benki ya CRDB imeongoza kwa kupata faida kubwa kati ya benki zote za biashara nchini baada ya...
Hakuna kukata tamaa, ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya wanasiasa waliowania ubunge kupitia CCM...