Vinywaji vya kuongeza nguvu vina madhara gani kwa vijana
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
Kikao cha kumi na tatu cha Jukwaa la Miji Duniani (WUF13) kilifunguliwa mjini Baku, Azerbaijan, leo Jumapili, kikiwaleta pamoja mawaziri, mameya, mashirika ya kimataifa, wapangaji miji na wataalamu kujadili moja…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo ametangaza kuwa mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokradia…
Mamia ya vijana wamejitokeza kushiriki mbio za jogging zilizolenga kuhamasisha amani ya nchi pamoja na kuwaunganisha vijana na fursa mbalimbali za maendeleo. Akizungumza katika tukio hilo, mwanasiasa na Kada wa…
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema jaribio...
Jihudumie kwa kutumia PSSSF Kidijitali, muwa wowote na mahali popote ulipo. #TunakukubaliMwanachama #PSSSF (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf amesema kuwa muqawama wa kishujaa wa taifa la Iran kwa muda wa siku 70 umekuwa msukumo katika…
#HABARI: Elimu ya msaada wa kisheria inayotolewa kwa wananchi kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzaa matunda mkoani Shinyanga huku wananchi wakikumbushwa kujenga tabia ya kuandika wosia. Hali…
Kilichokuwa kero ya muda mrefu kwa mamia ya wanafunzi waliolazimika kukaa chini madarasani...
Dawati la jinsia na watoto wilaya ya Shinyanga limefanikiwa kutatua migogoro itokanayo na masuala ya ukatili wa kijinsia katika manispaa ya Shinyanga hususani kesi za matunzo ya watoto ambapo wanaume…
#HABARI: Afisa Ardhi Mteule wa Mkoa wa Dodoma Bw. Letare Shoo amesema kwa siku 15 za utekelezaji wa awamu ya pili ya kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia…
Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Kabla ya kujipatia umaarufu kwa kufadhili mauaji hayo dhidi ya jamii ya waTustsi nchini Rwanda, Kabuga alikuwa mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda aliyekuwa na ushawishi mkubwa vilevile katika ulingo wa siasa…
Wakati matumaini yakirejea kwa wakulima wilayani Kyela kufuatia bei ya cocoa kupanda, wadau na...
Tetesi za Chelsea kumuajiri Xabi Alonso kama Meneja Mkuu mpya wa kikosi chao zimekuwa rasmi...
DAR ES SALAAM: THERE was a time in Tanzania when becoming socially important required neither Instagram nor VIP lounge access. All a man needed was a clean shirt, a mortuary…
Katika tukio la kustaajabisha samaki aina ya papa mwenye urefu wa mita nne amemvamia na...
LEO Jumapili Mei 17, 2026, inapigwa Dabi ya Mjini itakayokamilisha mzunguko wa 25 wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kati ya Malindi dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Mlandege, kwenye…
Mahakama ya Rufani imebatilisha uamuzi wa Mahakama Kuu na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA)...
Wakati katika mtandao wa kijamii wa Tiktok ikiibuka biashara ya uuzaji wa dola za Marekani...
KUMEIBUKA mjadala kwa baadhi ya wadau wa soka wakiona kama wamedanganywa hatua za kuanza kwa ujenzi wa Uwanja wa Yanga, sasa kigogo mmoja wa timu hiyo ameibuka na kutuliza presha.
Kulingana na ushahidi wa kisayansi uliopo hadi sasa, nyoka walikuwa na miguu katika hatua zao za mwanzo.
Wanafunzi wawili wa mwaka wa kwanza wa shahada ya awali ya Mawasiliano ya Umma katika Chuo...
Felicien Kabuga, aliyekuwa ameshtakiwa kwa kufadhili mauaji ya kimbari ya 1994 dhidi ya Watutsi nchini Rwanda, jana Jumamosi alifariki dunia katika hospitali huko The Hague, nchini Uholanzi akiwa na umri…
Serengeti Boys mzigoni tena AFCON U-17 TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo itakuwa na kibarua cha pili kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa…
Watumishi 10 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea...
HAI: RESIDENTS of Mungushi Village in Hai District, Kilimanjaro Region, have finally overcome long-standing mobile communication challenges following the official launch of a new Airtel 4G telecommunications tower, a development…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha mlipuko wa virusi vya Ebola vya Bundibugyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda kama dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa.
Miaka 40 imepita kama upepo wa jioni, bado wewe uko pale pale ukizunguka kwenye soko la...
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imelaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya wafungwa wa Kipalestina, ikitaka kufanyike uchunguzi huru,…
Katika kipindi ambacho mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanaendelea kuibadilisha sura ya...
Makamu wa Rais, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanapaswa kubishana kwa hoja na kuacha tabia za kinafki. Akizungumza katika mazishi ya aliyekuwa mwandishi wa Makamu wa Rais mstaafu, Mohamed…
Katibu wa NEC tikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi wa Tarime mkoani Mara kulinda amani na kuachana na wanasiasa waliofilisika kisera wenye…
Mke na mume wote wanapaswa kuwa vichwa vya ndoa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ndoa huundwa...
Utulivu ni mkubwa kwa Marioo kukaa kando ya Paula. Na Paula amebadilika sana baada ya ujio wa...
Katika dunia ya leo, simu janja, televisheni za kisasa, YouTube, TikTok na michezo ya mtandaoni...
Katika jamii ya sasa ya mitandao ya kijamii, ambapo wanawake hupokea maelfu ya ujumbe kila...
Uchaguzi wa Bunge huko Cape Verde unafanyika leo Jumapili, Mei 17. Viti 72 vya bunge vinagombaniwa , ambapo wabunge waliochaguliwa watamchagua baadaye Waziri Mkuu. Waziri mkuu anayemaliza muda wake, Ulisses…
Nchini Comoro, serikali imerejelea hatua yake na kusitisha kupanda kwa bei ya mafuta baada ya mgomo wa siku sita uliosababisha vifo vya watu wawili na kusababisha mvutano katika visiwa hivyo.…
Katikati ya miaka ya 1980, wafanyakazi wa kiwanda cha kuchonga almasi cha Iringa, Iringa...
Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alionya kuwa kwa sasa kuna “kutokuwa na uhakika mkubwa kuhusu idadi halisi ya walioambukizwa na pia maeneo ambayo ugonjwa umeenea.”
Nchini Chad, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anatoa wito kwa mamlaka ya Chad na Nigeria kufanya “uchunguzi wa haraka, wa kina, huru, na…
Mlipuko wa kumi na saba wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari umevuka mipaka ya nchi. Kufuatia kifo kilichorekodiwa nchini Uganda, Sudan Kusini iko macho,…
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amemwomba spika Moses Wetangula kukatiza likizo ya wabunge ili waje kujadili maoni yaliyopendekezwa kuhusu bei za mafuta.
Rais Ruto alitetea ukarabati tata wa Ikulu, akisema muundo wa kisasa na kanisa jipya vinashughulikia mapungufu ya awali katika ikulu ya serikali.
Juventus wanapanga kuongeza juhudi kumsajili kiungo mshambuliaji wa Ureno Bernardo Silva, ambaye ataondoka Manchester City msimu huu wa joto.
Katika jamii nyingi za Kiafrika, mwanaume amejengwa kuonekana kama nguzo imara isiyotetereka kirahisi. Tangu utotoni, wengi hufundishwa kuwa kulia, kueleza maumivu au kuomba msaada ni udhaifu. Matokeo yake, wanaume wengi…