Uruguay yamtema Suárez kuelekea Kombe la Dunia
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay...
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay...
Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini...
Tofauti na wanamuziki wengi, Aslay alianza kuvuma akiwa bado mdogo kabisa, lakini nyimbo zake...
David Osiany alisafiri hadi Narok kumpa faraja baba aliyezunika baada ya mkasa wa kutisha moto wa Utumishi Girls kukatisha maisha ya bintiye mwenye umri wa miaka 15.
Nchini Sudan Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) halina uwezo. Kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa, zaidi ya 56% ya…
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari…
Mamilioni ya Waethiopia watapiga kura kote nchini lro Jumatatu Juni 1, 2026, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, ambao utatoa nafasi ya kuchaguliwa Waziri Mkuu. Isipokuwa huko Tigray, eneo la…
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…
Lindi/Mtwara. Licha ya Serikali kujinasibu kuendeleza vituo vya ukuzaji viumbe maji...
Watu hawa wanne ambao walitibiwa kwa mchanganyiko wa viuavijasumu na dawa zingine kana kwamba walikuwa wakiugua malaria, wamefanikiwa kupona ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo na wanawakilisha matumaini katika mapambano…
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Leo ni Jumatatu 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Juni 2026.
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
Mohammad Baqir Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Iran, kupitia umoja wa kitaifa, inamrudisha nyuma adui katika vita vinavyoacha historia.
Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi…
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku…
Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
Wizara ya Sheria ya Ufaransa imetangaza kwamba idadi ya wafungwa nchini humo imefikia zaidi ya watu 88,600, ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya nchi hiyo.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesisitiza kuwa kimedhamiria kufanya Mageuzi makubwa katika sekta zote nchini ili kupeleka maendeleo Kwa wananchi kwakuwa Chama hicho kina nia ya dhati ya kuwainua kiuchumi Watanzania.…
Jamii imetakiwa kuendelea kushirikiana katika makuzi na malezi ya watoto na vijana ili kujenga jamii bora yenye maadili, amani na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Katibu wa Taasisi…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt.BATILDA BURIAN ameunda kamati maalum ya kufuatilia mchakato wa ubomoaji nyumba za wananchi katika kijiji cha Msakangoto kilichopo wilayani Muheza Mkoani humo. Akitoa taarifa…
Kombe la Dunia linakuja na mambo yake 😇, miongoni mwa jambo lililowavutia mashabiki wengi wa soka siku za hivi karibuni, linamuhusu nyota wa kikosi cha New Zealand @timpayne__ kutoka kutojulikana…
#BAL: Hatimae RSSB Tigers kutoka Rwanda ndio mabingwa wa Basketball Africa League mwaka 2026. Matokeo ni Petro De Luanda 88-90 RSSB Tigers, kwenye mechi ambayo ilikuwa ni ya vuta nikuvute.…
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Zay B, jina lake halisi Zainab Lupangile, amefariki. Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwa kutoka kwa wasanii wenzake na mashabiki.
Chama cha mapinduzi CCM mkoani Tabora, kimehitisha kampeni za uchaguzi mdogo katika Kata ya Itilo wilayani Nzega na Kata ya ziba Wilayani Igunga, huku kikiwaomba wananchi kuwachagua wagombea wa chama…
Mvutano ulikuwa mkubwa huku wazazi wa wanafunzi waliohusishwa na mkasa wa moto Utumishi Girls wakitaka kujua hatima ya binti zao licha ya uchunguzi unaoendelea.
Familia ya Benard Nyakwana Omae inadai haki kufuatia kifo chake akiwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kibra. Wanawashutumu polisi kwa kifo chake.
Waumini wa Kanisa Katoliki mkoani Tabora wamehimizwa kutokata Tamaa katika maisha, bali waendelee kumtumikia Mungu na kulitumikia Taifa kwa ujumla huku wakisisitizwa umuhimu wa kuwa na moyo thabiti katika mapambano…
#BAL Mpaka kufikia mapumziko, matokeo yalikuwa Petro De Luanda 37-42 RSSR Tigers. RSSR inayofundisha na kocha Mtanzania Herny Mwinuka, bado inaongoza. Uhondo upo LIVE AzamSports4HD. #BAL #Azamtvsports #BasketballAfrikaLeague (Feed generated…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, , amesema baadhi ya watu wanaobeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali wanapaswa kuombewa ili watambue mchango wa miradi…
CAPE TO CAIRO MARATHON | Timu ya #AzamTVFitnessClub ipo njiani ikirejea Dar es Salaam, kutokea Arusha ambako ilishsiriki #CapeToCairoMarathon alfajiri ya leo Mei 31, 2026. #CapeToCairoMarathon (Feed generated with FetchRSS)
Baba wa mtoto huyo, Khatibu Ramadhani amesema mara ya mwisho kumuona mwanaye ilikuwa jana jioni...
ARUSHA: Tanzania National Parks (TANAPA) has introduced redesigned entry permits across its network of national parks as part of efforts to improve visitor services, strengthen security controls and modernize park…
TARIME: DISCUSSIONS on the future of rural connectivity and its transformative role in advancing inclusive digital economy have brightened the 5th edition of the Tanzania School of Community Networks (TSCN…
Serikali kupitia CCM imeahidi kufuatilia changamoto zao na kutafuta suluhisho la kudumu.
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Migoli, huku viongozi wa chama wakionesha imani kubwa ya…
Shindano hilo lililopewa jina la Ignite linaangazia maeneo mawili muhimu: suluhisho za matumizi...
Simba imejihakikishia ubingwa huo baada ya kuichapa Mashujaa mabao 5-2.