Wakazi wa Dodoma mpoooooo?
Wakazi wa Dodoma mpoooooo? Timu ya wataalamu ya huduma kwa wateja na ufundi ya Azam TV imepiga kambi mkoani kwenu kwa ajili ya kliniki maalumu ya matengenezo ya visimbuzi pamoja…
Wakazi wa Dodoma mpoooooo? Timu ya wataalamu ya huduma kwa wateja na ufundi ya Azam TV imepiga kambi mkoani kwenu kwa ajili ya kliniki maalumu ya matengenezo ya visimbuzi pamoja…
Watoto wanne wa familia mbili tofauti za kata ya Kibeta manispaa ya Bukoba wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo katika manispaa hiyo huku baadhi ya wajasiriamali…
Wasichana wa shule ya Sekondari Songwe iliyopo Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wameanza kufanya vizuri katika masomo ya sayansi baada ya kupata maabara na kuimarika kwa mazingira ya kujifunzia hali…
Timu ya Mchezo wa kuvuta kamba ya Wanaume na wanawake ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeiburuza bila huruma timu pinzani za Utamaduni na Mashtaka 2-0 katika michezo ya Mei…
"TUNAWASUBIRI CHADEMA KWA HAMU WALIWEKA MPIRA KWAPANI." Katibu wa NEC Itikadi uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Kenani Kihongosi (Feed generated with FetchRSS)
Kaya 1,800 kati ya 2,200 katika vijiji 66 mkoani Kigoma tayari zimeanza kunufaika na uwepo wa nishati ya umeme wa gridi ya taifa chini ya mpango wa umeme kwa vijiji…
Maafisa usafirishaji ‘Bodaboda’ mkoani Rukwa wameilalamikia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kwa madai ya kuwakamata na kuwakagua kwa kutumia nguvu. Sammy Kisika amezungumza na pande zote mbili na…
Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vipya watu watatu, meli tisa na taasisi 17 kwa tuhuma za zinazohusianishwa na ushirikiano na Iran. Rajabu Msangi ana taarifa zaidi. Mhariri @moseskwindi (Feed generated with…
Usafiri wa abiria maarufu daladala umekosekana jijini Tanga baada ya watoa huduma kugoma wakiishinikiza Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA iongeze kiwango cha nauli kutokana na kupanda kwa bei ya…
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza kuanzisha mradi endelevu wa kulinda haki, malezi na makuzi ya watoto hususani wanaoishi katika mazingira ya biashara pamoja na wazazi wao…
Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema kuwa imekamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran iliyokuwa ikijaribu kukwepa marufuku iliyowekwa kwa meli zote zinazoingia au kutoka katika bandari…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ..APRILI 16, 2026- SIMBA YAENDELEZA UBABE WAKE NBC (Feed generated with FetchRSS)
🔴KUMEKUCHA: ..APRILI 16, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wizi wa miundombinu ya umma kuendelea kurudisha nyuma maendeleo. Je,wakamatwe wanaonunua miundombinu hiyo ili kukomesha biashara hiyo ? (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 mkoani Dar es Salaam zinatarajiwa kuingia wilayani Kinondoni Aprili 17, 2026, ambapo utakimbizwa kwa umbali wa kilometa 63.9. Katika mbio hizo, Mwenge…
Kwenye historia ya mashindano ya UEFA Champions League (UCL), timu zilizokutana mara nyingi zaidi ni Real Madrid na Bayern Munich, zikiwa zimecheza jumla ya mechi 29. Ukweli wa Kuvutia kuhusu…
Au sisi mpaka nyavu zitikisike? ##Football #Soccer #FootballShorts #Goal #Highlights #MatchDay #FootballFans #Viral #Reels #Shorts #FYP #Trending #Ballers #FootballLife #GameTime (Feed generated with FetchRSS)
Mbunge wa Busega, Simon Songe ameomba serikali kuingilia kati utaratibu unaolalamikiwa na wakulima wa pamba mkoani Simiyu, unaowalazimisha kuuza mazao yao kwa mnunuzi mmoja. Akichangia mjadala wa bajeti ya Ofisi…
Mshauri wa Maswala ya Familia, Salum Makuka amewashauri wazazi kutenga muda wa kukaa na watoto wa kiume ili kuwapatia mafunzo ya yale yanayohusiana na jinsia yao. Makuka amesema kuwa kwa…
Shirika la umeme nchini Tanesco limesema kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme kutamaliza tatizo la kukatika mara kwa mara kwa umeme mkoani humo. Ujenzi huo unaofanywa na wakandarasi…
Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Njelu, amesema wingi wa mamlaka za udhibiti na kodi mbalimbali nchini unachangia kudhoofisha uwekezaji na ukuaji wa biashara. Akichangia mjadala wa bajeti ya Ofisi…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amefanya ziara katika eneo la makumbusho ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyopo Mwitongo, Butiama mkoani…
Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya China, Xinhua, Rais wa China Xi Jinping ameonya kwamba dunia kwa mara nyingine inaelekea kurejea katika “sheria ya msituni (ubabe),” akimaanisha…
Ni adhabu sahihi kwa mchezaji mwenye utovu wa nidhamu kupelekwa timu za vijana (Feed generated with FetchRSS)
Papa Leo anatembelea Cameroon leo katika hatua ya pili ya ziara yake barani Afrika. Alianza safari yake ya nchi nne nchini Algeria, ambako alihimiza mazungumzo ya kidini na msamaha. Ziara…
"Ni muda wa kufikiria kujenga barabara za Lami, na kuachana na Barabara za Vumbi, na mmerahisisha lugha kuita barabara za vumbi, barabara za vumbi wakati wa kiangazi ikifika masika ni…
"Ukimpelekea mkulima mbolea shambani, tusipompa barabara ya kufikisha mazao kuyaleta mjini, sawasawa na kazi bure tu...lazima tufanye maamuzi kuhusu suala la barabara..."-Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu Baba Levo…
"...juzi nilienda kwa Shemdoe nyumbani kwake, sikumkuta...nilikuta Watoto wake niliona sura zimefanana nikajua ni Watoto wake, lengo nilikuwa nataka nikakae na Shemdoe tuongee kifamilia kuhusiana na barabara za Kigoma Mjini,…
Rais wa Marekani Donald Trump amefuta picha aliyokuwa ameichapisha katika mtandao wake wa kijamii inayomfananisha na Yesu baada ya viongozi wa kidini kumkosoa vikali na kuitaja dhihaka na kukufuru. Rais…
Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, amezungumza kwa kifupi baada ya kipigo cha 1–2 dhidi ya Leeds United katika mechi yenye utata mkubwa wa maamuzi ya refa. Katika mchezo huo…
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance,ameishutumu serikali ya Iran kwa kujihusisha na “kitendo cha ugaidi wa kiuchumi” kwa kuzuia usafiri kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz. Vance amemwambia Brett Baier wa…
Kuanza siku na mazoezi ya asubuhi ni njia rahisi lakini yenye nguvu ya kuboresha afya yako. Dakika 15–30 za mazoezi kila asubuhi zinaweza kuongeza nguvu mwilini, kuboresha mzunguko wa damu,…
#HABARI: Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar wamesema kifo raia wa Marekani, Ashly Robinson (31) kimetokana na kujinyonga katika chumba cha hoteli. Polisi wamesema Ashly ambaye alikuwa matembezini Zanzibar, alikutwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA, UVUNJIFU WA SHERIA WATAKIWA KUDHIBITIWA - APRIL 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dennis Lazaro, amesema kuwa vita vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali duniani vinaendelea kuathiri uzalishaji wa bidhaa, usafirishaji hali inayochangiwa na kupanda kwa bei…
Mbunge wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, ameishauri serikali kuweka utaratibu wa kuwa na akiba ya dizeli, sawa na ilivyo kwa dhahabu, ili kulinda uchumi dhidi ya misukosuko ya upatikanaji wa…
Wananchi 1,730 wanaopisha njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 220 kutoka Masasi hadi Mahumbika wanatarajiwa kupewa fidia ya Shilingi Bilioni 5.1 ambazo Serikali imezitenga katika mwaka wa fedha…
NBCPL, Mei 03 ni Kariakoo Derby Simba SC dhidi ya Yanga SC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara AzamSports1HD. #SisiNiSoka #AzamTVSports #nbcpl2021_21 (Feed generated with FetchRSS)
Mbunge wa Mtwara Vijijini, Arif Suleman Premji amehoji kusuasua kwa serikali kumuwezesha mwekezaji wa kampuni ya Soil Solution Limited kuanza kazi kutokana na kukwama kwa upatikanaji wa nishati mbadala. Mbunge…
Kila watu wana mila na tamaduni zao katika nyanja mbalimbali za maisha. Je, umewahi kuisikia mila ya kuzika wazee wakiwa wamekaa kutoka kwa Wazanaki? Augustine Mgendi amezungumza na kiongozi wa…
Jeshi la Marekani linasema litaanza kuzingira bandari za Iran siku ya Jumatatu, lakini "haitazuia" meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz zinazosafiri kwenda au kutoka nchi nyingine. #chanzobbcswahili #StarTvUpdate…
Donald Trump amemkosoa vikali Papa Leo XIV kwenye mitandao ya kijamii baada ya kiongozi wa kwanza wa Marekani wa Kanisa Katoliki Duniani kulaani tishio la rais wa Marekani dhidi ya…
Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Tanga ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Rajabu Abdallah, imeanza ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa nyumba za watumishi katika…
FT: Simba 3-1 Dodoma Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA, SERIKALI YAOMBWA KUDHIBITI TAKATAKA KWENYE MITARO- APRIL 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
HT: Simba 0-1 Dodoma Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
Unajua kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na zaidi ya nchi jirani saba zimeunganishwana Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wa Tanzania Hapa Rais Samia alipokuwa akizitaja nchi…
Mtaalamu wa saikolojia, John Ambrose, ameitaka serikali kupitia wabunge kutunga sheria maalum za kuwasaidia watoto wenye changamoto ya akili. Ambrose amesema watoto hao wanakabiliwa na mazingira magumu, huku walezi wao…
Elimu ndogo ya utambuzi wa mapema wa changamoto za ukuaji na ufahamu kwa watoto, imeelezwa kuwa chanzo cha wazazi wengi kuchelewa kubaini matatizo ya watoto wao. Mtaalamu wa saikolojia, John…
Meneja wa Mradi wa Railway Children Afrika, Kidaha Mohamed, amesema watoto wa mitaani hujikuta katika mazingira hayo kutokana na changamoto za kifamilia na kijamii, si kwa hiari yao. Akizungumza jijini…