Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Wito wa @mwl.magodajr kwenda kwa mamlaka hasa kwa shule zenye mahitaji maalum. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Hao ni wazazi vile wanapenda kutoka kwa @mwl.magodajr. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Kocha wa Simba Steve Barker amedai kutoridhidhwa na kiwango walichoonyesha dhidi ya Fufuni licha ya kuwa waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Barker amesema hawakupata muda mwingi wa kufanya mazoezi…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega ameagiza waalimu wakuu wa shule zote za msingi na sekondari wilayani humo kuanza kutumia mfumo wa kidijitali wa taarifa za shule ulioboreshwa, maarufu…
Operesheni maalum ya kuwasaka na kuwabaini waajiri wasiosajiliwa na OSHA, sambamba na kufanya ukaguzi katika maeneo ya uwekezaji ili kubaini changamoto za kiusalama na kiafya kwa wafanyakazi wakiwa kazini. Hatua…
Madiwani mkoani Lindi wamehimizwa kuwa na shughuli halali za kuwaingizia kipato, ikiwemo kufanya biashara na kulima mazao ya biashara kama korosho na ufuta, badala ya kutegemea halmashauri kama chanzo pekee…
Wafugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo mkoani Geita wameiomba Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kufanya uchunguzi wa kina wa kisayansi ili kubaini chanzo cha magonjwa yanayoshambulia mifugo yao…
Swali la Mwalimu @mwl.magodajr, kwenda kwa wazazi. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Mzizima Derby ndani ya NMB Mapinduzi Cup: Alhamis hii itapigwa nusu fainali ya kwanza ya NMB Mapinduzi Cup, ni AzamFC dhidi ya Simba SC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:15…
"Nilipomaliza chuo Dodoma niliajiriwa Serikalini. Nilikuwa nafundisha shule ya msingi Kaloleni Jijini Arusha. Kuna kitengo cha watoto wenye ulemavu wa akili. Unajua kila binadamu kuna namna ambavyo ameitwa kwa hiyo…
Usipange kukosa uhondo wa tamthilia bora ya muda wote, OTTOMAN leo saa 4:00 usiku #AzamTWO. Je, Osman atamuokoa binti yake? 👀
Zein bado anapambana kuushika moyo wa Sarah huku adui akizidi kuisogelea himaya ya biashara yake. Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.
Aziza bado anapambana na familia yake ‘ubabani’ akishinikiza ndugu zake waachwe huru wasisumbuliwe. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Changamoto ya kukatika mara kwa mara kwa umeme wilayani Tunduru kwa miaka mingi imekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kijamii, uchumi na uwekezaji, hali iliyoathiri utoaji wa huduma muhimu kama…
Katibu Mtendaji wa TEITI, Mariam Mgaya, amesema uwekaji wazi wa taarifa za upatikanaji na matumizi ya rasilimali za asili ni hatua muhimu katika kuhakikisha uwajibikaji na manufaa ya rasilimali hizo…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kufikiri, kubuni na kufanya kazi kwa…
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imesema itachukua hatua kali dhidi ya watu wote wanaojihusisha na vitendo vya udanganyifu katika utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa njia zisizo halali.…
"Na baada ya masuala ya digital kushika kasi nikasema kizazi chetu. Ni kizazi ambacho kina namna yake ya kuambiwa na kufikishiwa elimu. Unapokuwa kijana kuna namna ya kuongea yaani mtu…
"Mimi ni mwalimu wa watoto wenye mahitaji maalum wenye ulemavu wa akili. Nimesoma chuo kikuu cha Dodoma. Shahada yangu ya elimu katika elimu maalum. "Nilipomaliza chuo Dodoma niliajiriwa Serikalini. Nilikuwa…
Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD Suala la hazina limeamka. Kumbe Maega alikuwa hatua nyingi mbele!!
Mapitio ya #MAGAZETI Leo Januari 6, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Msanii wa Bongo Fleva @iamkevincash amesimulia namna mama yake alivyojitolea kusaidia kukuza kipaji chake kwa kumkutanisha na wasanii wakubwa kama @gnakowarawara na @darassacmg255 ili aweze kushirikiana nao. Amesema mama yake…
Huyu hapa @iamkevincash akiwasha moto kwenye jukwaa la #TheSpark ndani ya Clouds TV kwa ngoma yake Teketeza aliyomshirikisha @jaivah. Baada ya performance hii ya moto, tunajiuliza,Je, @jaivah akipanda jukwaani ataweza…
Kupitia TheSpark ya Clouds tv @iamkevincash ametaja director wa video kutoka Tanzania @hanscana_ kuwa ni miongoni mwa watu waliomshika mkono mwaka 2024/25 na kumtambulisha rasmi kwenye ulimwengu wa muziki. Ameeleza…
Duso na Maige wapo kwenye mipango, waanze utekelezaji
Mwili wa aliyekuwa mfanyakazi wa Azam Media Nizar Muhsin umezikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam. Nizar aliyekuwa mrushaji wa matangazo katika idara ya vipindi vya Televisheni…
"Pamoja na kutolewa lakini tumefanikiwa"- @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz. #SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026/2027 kwa shule za msingi na sekondari kuanza hapa nchini, wazazi, walezi na viongozi wa serikali za…
Kwa mujibu wa @mkazuzutza, Mchambuzi wa michezo kutoka Sports Extra ya @cloudsfmtz #SentroYaCloudsTv #LainiYawana #clouds26nyoosha
"Na maandalizi yameshaanza kwa upande wa Serikali. Na wao ndio wanatoa ridhaa kama nchi na tumeona miundombinu inaboreshwa. Viwanja vinajengwa kwahiyo kama serikali tayari na kwa bahati mzuri tuliyopata ni…
Viongozi wa kimila wa kijiji cha Kivukomteta wilayani Sumbawanga wamewapongeza wanakijiji hicho kwa utii wa ulinzi wa vyanzo vya maji hali inayoendelea kuulinda Mto Nyinaruzi. Sami Kisika amefuatilia ulinzi huo…
Wananchi wa kitongoji cha Mahove wilayani Njombe wameomba kujengewa kingo za bwawa katika kijiji cha Luponde ambazo kwa sasa zipo hatarini kuporomoka hali inayohofiwa huenda ikasababisha mafuriko yatakayoharibu miundombinu na…
Kachio huwa anajifanya hajui kitu, ila Radhia naye mjanja mjanja sidhani kama amemuelewa 😅
Tuambie...! #SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Dalili gani ukiziona kwa mpenzi wako unajua kabisa ameshakuchoka Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
Madereva wa Malori Nyakati za Usiku wengi hupitiwa na Usingizi wakiwa wanasongesha chombo, je yapi wanapitia na yapi yanawafika … Ni leo kuanzia Moja na nusu Usiku, kwenye Sentro ya…
Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao mchanganyiko (COPRA), imetoa bure mbegu za mbaazi tani 2.6 kwa wakulima mkoani Simiyu, ambapo katika msimu wa kilimo wa Mwaka 2025/2026…
#TANZIA: Danny Bandezu akiwa kwenye kaburi la marehemu Nizar Muhsin baada ya kukamilika kwa shughuli ya maziko leo Januari 5, 2026 kwenye makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, Dar es Salaam. Bandezu…
Klabu ya Manchester United ya England imemfuta kazi kocha mkuu wa Ruben Amorim, ambaye amekuwa katika nafasi hiyo kwa kipindi cha takribani miezi 14 akiwa Old Trafford. Uamuzi huo umechukuliwa…
Wizara ya Madini imetangaza kuzuia wamiliki wa kigeni wa migodi nchini kujihusisha na utoaji wa huduma na bidhaa zipatazo ishirini, hatua inayolenga kutoa fursa kwa kampuni za Kitanzania zinazomilikiwa kwa…
Grey’s Anatomy rasmi kupitia AzamONE mzigo unaanza leo Jumatatu Januari 05, 2026. Madaktari wa upasuaji na wasimamizi wao wapo kwenye safari ya kimatibabu, iliyojaa mambo mbalimbali ikiwemo hadithi za kuhuzunisha…
Master Chef ndani ya Azam ONE. Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano…
Mwaka mpya vitu vipya ndani ya AzamONE, MARVEL's THE PUNISHER Baada ya kulipiza kisasi kwa watu waliohusika na vifo vya mkewe na watoto wake, Frank Castle anaendeleza moto dhidi ya…
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM umeanza Matembezi Maalum ya kuadhimisha kutimia Miaka Siti na Mbili ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya 1964.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameliomba Jeshi la Polisi nchini kuyapa kipaumbele makosa ya uhalifu mitandaoni,makosa ya barabarani yanayosababishwa na madereva bodaboda huku akisisitiza amri ya…
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia katika eneo la Nyarusura, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, kufuatia ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali…
Zaidi ya wakazi 2000 kutoka Mkoa wa Shinyanga na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na huduma za kibingwa za magonjwa ya pua, koo na masikio, zilizoanza kutolewa leo katika Hospitali…
Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoani Mbeya, kupitia Kituo cha Uendelezaji wa Teknolojia, limezindua mtambo wa kisasa wa kusafisha dhahabu unaolenga kupunguza na hatimaye kuondoa matumizi ya zebaki, kemikali…
Waziri wa Katiba na Sheria, Juma Homera, ameupongeza Mkoa wa Morogoro kwa kile alichokiita “rekodi safi” ya kudumisha amani, akibainisha kuwa hakuna mkazi hata mmoja wa mkoa huo aliyekamatwa au…