Pilato Kariakoo Derby azua gumzo, Bodi ya Ligi, Kamati ya Waamuzi wafunguka
YANGA na Simba zimemalizana katika Kombe la Muungano pale Zanzibar, kituo kinachofuata ni jeshini pale Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo ikiwa ni mchezo ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa Jumapili hii…
YAS touts high-quality connectivity in new campaign
DAR ES SALAAM: Yas Tanzania has launched a campaign aimed at encouraging consumers to prioritize reliable, high-quality connectivity as demand for digital services continues to grow across the country. The…
Tanzania, Belarus kushirikiana kibiashara
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Belarus zimesaini mkataba wa kuanzisha mkakati maalum utakaoratibu ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya mataifa hayo mawili, ikiwa ni hatua ya kuimarisha…
Mahojiano ya redio ya Edwin Sifuna yafutiliwa mbali ghafla: “Hata ndio vizuri”
Mahojiano ya seneta wa Nairobi Edwin Sifuna Redioni yamefutiliwa mbali ghafla, hivyo kuzua maneno ya kejeli akifurahia kutazama mechi ya Arsenal ya Ligi ya Mabingwa
Mchengerwa aonya watumishi wa afya wanaowanyima huduma wajawazito
Waziri huyo amesema waganga wakuu wa mikoa na halmashauri watakaoshindwa kusimamia upatikanaji...
Uchumi wa vyombo vya habari bado pasua kichwa, wadau wapendekeza hatua
Arusha. Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-Tan), Edwin Soko...
Wasichana wanaobalehe waongoza maambukizi ya Ukimwi, sababu zatajwa
Takribani Watanzania 60,000 hupata maambukizi mapya ya Ukimwi kila mwaka, huku chanzo kikitajwa...
Ubunifu watakiwa ukusanyaji kodi
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika jitihada za kuongeza wigo wa makusanyo ya kodi, kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kimfumo na kiusimamizi pamoja na…
CRDB yaongoza kwa faida, bosi wake ataja siri ya mafanikio
Benki ya CRDB imeongoza kwa kupata faida kubwa kati ya benki zote za biashara nchini baada ya...
Waliokatwa kura za maoni ubunge waibukia Eala
Hakuna kukata tamaa, ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya wanasiasa waliowania ubunge kupitia CCM...
Mwanamume Mkenya amkuta nyoka chooni, amuondoa kwa utaratibu kwenye video iliyopepea TikTok
Video ya TikTok ilionyesha jamaa Mkenya akikumbana na nyoka kwenye choo chake, na hivyo kuzua hofu na hisia kwenye mitandao kuhusu usalama wa bafuni.
YAS Tanzania yajivunia mapinduzi ya kidigitali, mtandao wenye viwango vya juu
KAMPUNI kinara ya Mawasiliano nchini ya Yas Tanzania, inajivunia mapinduzi chanya ya kidijitali...
Yas yaja mpango wa mtandao wa viwango vya juu
Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya ijulikanayo kama...
Makonda aibua mjadala wa malezi, alia na viongozi wa dini
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema jamii imeweka mkazo mkubwa...
Familia ya Muuguzi Aliyefariki Baada ya Kujifungua Pacha Yasema Alipanga Kuendeleza Masomo Ughaibuni
Muuguzi Lin Akoth alifariki baada ya kujifungua na hivyo madai ya uzembe katika Hospitali ya Kisumu. Familia yake ilishiriki ndoto zake zilizovunjika wakitafuta haki
TBS yaita makandarasi kurasimisha biashara zao
Wawekezaji katika sekta ya viwanda pamoja na makandarasi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa Magharibi...
Fred Vunjabei awekwa kando ubunge Isimani, Mtatifikolo apitishwa
Mtatifikolo kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Babati kabla ya kuhamishwa kutoka Arumeru.
Coastal yaipangia mikakati Singida BS
COASTAL Union ipo kambini ikiendelea kujipanga na mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars, huku kocha wa Wagosi hao, Fikiri Elias, akifunguka namna anavyotaka kuwakabili wapinzani…
Ibra Class: Mapambano ya nani mkali sasa ‘NO’
BONDIA wa kulipwa wa Tanzania, Ibrahim Mgender maarufu kama Ibra Class, ameweka malengo ya kushinda mataji makubwa ya kimataifa baada ya kutwaa mikanda miwili ya Kimataifa ya uzito wa super…
Tanzania, Belarus zasaini makubaliano kufungua fursa za uwekezaji
Fursa za uwekezaji zinazidi kuimarika nchini baada ya Tanzania na Belarus kuanzisha kamati ya...
Watoto watatu wafariki dunia kwa kuzama shimoni
Kamanda Kantimbo amewataja watoto hao waliofariki dunia kwa kuzama kuwa ni Jackson Henry (miaka...
Kauli ya Matonya baada ya kuachiwa kwa dhamana
Katika kipindi cha zaidi ya wiki tatu alichokuwa rumande, juhudi za kukamilisha masharti ya...
Aplikesheni ya XChat mshindani mpya wa Whatsapp, Telegram?
Kampuni ya X (zamani Twitter) imetimiza moja ya ahadi zake kuu za kimkakati kwa kuzindua...
Serikali yaimarisha hatua za kudhibiti bei za mafuta
DAR ES SALAAM; Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti mwenendo wa bei za mafuta nchini, ikiwa ni jitihada za kulinda uchumi wa wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea…
Dk Abbas: Hatuna mpango wa kusitisha uwindaji wa kitalii nchini
Serikali imesema haina mpango wa kusimamisha au kuzuia shughuli za uwindaji wa kitalii nchini...
Benki, Serikali meza moja ufadhili elimu ya juu
DODOMA: Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutekeleza mageuzi makubwa ya elimu nchini, timu ya Benki ya Exim ikiongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha,…
Samia mgeni rasmi Mei Mosi, Tucta yagusia mishahara
Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa mkoa uliopo katika eneo la Halmashauri ya...
Bavicha Mbeya kujifungia siku mbili kujadili mambo manne
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Mkoa wa Mbeya, linatarajia...
Bank, govt explore funding boost for higher education
DAR ES SALAAM: Efforts to expand funding for higher education in Tanzania gained momentum after Exim Bank officials held talks with the Ministry of Education, Science and Technology on supporting…
Mwanamke kortini akidaiwa kumuua muongoza filamu, kumfukia
Rehema anadaiwa kumuua muongozaji na msimamizi wa sauti za filamu nchini, Athuman Nyanza.
Wasanii, familia wamwaga chozi wakimzika msanii Spack Tanga
Manjozi na vilio vimetawala wakati wasanii, ndugu, jamaa na marafiki wakimpumzisha aliyekuwa...
Mambo matano muhimu katika hotuba ya Mfalme wa Uingereza kwa Bunge la Marekani
Hali ya sasa ya uhusiano wa Marekani na Uingereza imezorota – kutokana na Uingereza kutounga mkono vita vya Marekani na Israeli dhidi ya Iran. Kwa hivyo lengo la Mfalme ni…
Denmark Yasitisha Vibali vya Kazi kwa Wakenya, Waganda na Watanzania Kutokana na Vyeti Feki
Serikali ya Denmark imesitisha kwa muda ushughulikiaji wa baadhi ya maombi ya vibali vya kazi na makazi kutoka kwa Wakenya, Waganda na Watanzania.
Maulida Komu wa Chadema kuzikwa leo Zanzibar, wadau wamkumbuka kwa haya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepoteza mkongwe wake mwingine, Maulida Anna...
Aki afunguka kukutana na Ukwa kulivyobadili maisha yake
Akizungumza katika Podcast #WithChude ameeleza moja ya matukio muhimu katika maisha yake ni...
Simulizi ya mchezo wa ng’ombe, watu Pemba
UNAPOFIKA Pemba kuna mambo mengi. Yapo mandhari na hadithi zake. Lakini, katika michezo kuna mchezo maarufu mchezo wa ng'ombe ambao zamani ulichezwa zaidi katika kipindi cha mavuno na umekuwa sehemu…
UN yaonya kuwa Akili Mnemba (AI) katika matangazo yaongeza hatari ya kuenea kwa taarifa potofu
Wakati matangazo duniani yakigharimu zaidi ya dola trilioni 1 kwa mwaka, Umoja wa Mataifa hii leo umeangazia nguvu kubwa ambayo bado haijatumika ya kampuni kubwa katika kupanga mustakabali wa Akili…
Lebanon: Robo ya wananchi wakabiliwa na ukosefu wa chakula yasema UN
Ripoti mpya ya mashirika ya Umoja wa Mataifa ya tathmini mpya ya uhakika wa chakula nchini Lebanon imeonesha kuwa ongezeko la hivi karibuni la migogoro nchini humo limefuta mafanikio yaliyokuwa…
Mapambano ya kimataifa dhidi ya homa ya ini yaonesha mafanikio, lakini bado kuna pengo kufikia malengo ya 2030
Maambukizi mapya yamepungua lakini si kwa kasi ya kufikia malengo ya 2030 Watu milioni 287 wanaishi na homa ya ini B na C wengine bila hata kufahamu Rwanda miongoni mwa…
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka Waathirika wa Matetemeko ya Ardhi
Umoja wa Mataifa leo Aprili 29 umeadhimisha kwa mara ya kwanza Siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka Waathirika wa Matetemeko ya Ardhi, ukizitaka serikali na jamii duniani kote kuimarisha maandalizi ya…
Türk alaani ukandamizaji mkubwa wa haki za raia nchini Iran
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, amelaani vikali ukandamizaji unaofanywa na mamlaka za Iran dhidi ya wapinzani, hususan kupitia matumizi ya mashtaka yanayohusiana na…
Mkutano wa WHO kuhusu mifumo ya afya Afrika umekunja jamvi Nairobi Kenya
Mkutano wa Kikanda wa Afya Barani Afrika wa mwaka 2026 “World Health Summit 2026” umehitimishwa leo mjini Nairobi nchini Kenya, ukiwaleta pamoja zaidi ya wajumbe elfu moja kutoka takribani nchi…
Nimesahau yaliyopita na naganga yajayo baada ya kuuawa kwa baba yangu: Rwibutso
Siku 100 za maombelezo ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika yapata miaka 32 iliyopita zikiendelea . Leo tunakupeleka mjini Kigali nchini Rwanda kwenye Ofisi…
Ghasia zinazochochea ukatili wa kijinsia zikiongezeka, DRC, manusura wanaendelea kujenga upya maisha yao
Licha ya ongezeko la ukatili wa kijinsia unaohusiana na migogoro, manusura wa ukatili huo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wanaanza kujijenga upya na kurejesha matumaini ya maisha…
‘Serikali haijazuia uwindaji wa kitalii’
ARUSHA: Serikali imesema haina mpango wa kusimamisha au kuzuia shughuli za uwindaji wa kitalii na badala yake inaendelea kuandaa na kuboresha sera, sharia na miongozo ili kuzingatia uhifadhi wa wanyamapori,…
Filamu ya Michael Jackson yavunja rekodi
Filamu mpya inayosimulia maisha ya marehemu mfalme wa Pop kutoka Marekani, Michael Jackson...
TBS yatoa vyeti vya ubora viwanda 139
GEITA; SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeidhinisha, kuthibitisha na kutoa vyeti vya ubora kwa viwanda 139 vilivyopo mikoa ya kanda ya ziwa magharibi ambayo ni Geita, Shinyanga na Kagera. Meneja…