Fredrick Odiwour: Mfanyikazi wa Mbunge Catherine Omanyo apigwa risasi na kuuawa huko Busia
Catherine Omanyo aliomboleza mfanyakazi wake, Frederick Odiwuor, anayedaiwa kupigwa risasi na polisi huko Busia. Aliapa kufuata haki kwa mfanyakazi aliyeuawa.
Catherine Omanyo aliomboleza mfanyakazi wake, Frederick Odiwuor, anayedaiwa kupigwa risasi na polisi huko Busia. Aliapa kufuata haki kwa mfanyakazi aliyeuawa.
Save the Children ilisema mlipuko wa Ebola ni "mgogoro mpya mkubwa juu ya hali ambayo tayari ni ngumu".
Wizara ya Ujenzi imeitaja miradi ya upanuzi wa barabara za majiji na manispaa kwa ajili ya...
Kongamano la Wanawake na Vijana Wajasiriamali Wilayani Nyangh’wale limewakutanisha wadau mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu kuhusu fursa za kiuchumi, uwezeshaji wa biashara pamoja na namna ya kujenga mtandao wa…
Mganga wa kienyeji, Said Mkomwa (31), Saidini, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
Kuanzia mitaani kama vile Pipeline Nairobi hadi Kisumu, Eldoret, Nakuru na Mombasa, mashabiki walimiminika barabarani wakicheza, kuimba na kupiga vuvuzela kwa furaha
Kuanzia mitaani kama vile Pipeline Nairobi hadi Kisumu, Eldoret, Nakuru na Mombasa, mashabiki walimiminika barabarani wakicheza, kuimba na kupiga vuvuzela kwa furaha
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza athari za msimamo mkali ikiwa ni pamoja na...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendelea kuimarisha sekta ya miundombinu nchini kwa kufanikisha ujenzi wa barabara na madaraja katika kipindi cha Julai…
leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1447 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2027.
Sakata la kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa wasichana wawili, Kareen Didas (23) na...
Wakenya walishiriki video ya Mawaziri John Mbadi na Opiyo Wandayi wakiteta kuhusu bei ya mafuta bungeni kitambo huku Wakenya wakiandamana kuhusu gharama ya mafuta.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa benki wa kuuza dhamana za wakopaji...
Mratibu mkuu wa uzinduzi wa albamu mpya ya 16 ya Iwanga Pepeta, Steve Nyerere amesema mashabiki...
Wakati zikiwa zimesalia takribani wiki tatu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 kung’oa nanga kwenye mataifa ya Marekani, Canada na Mexico, RFI Kiswahili tunazimulika timu zinazopewa nafasi ya…
Shule ya Upili ya Wavulana ya Ambira imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kufanya ghasia, na kuharibu mali kutokana na madai ya uvujaji wa KCSE.
Arsenal ilishinda taji la Ligi Kuu baada ya miaka 22, kutokana na sare ya Manchester City dhidi ya Bournemouth. Hata hivyo, watasubiri kabla ya kupokea kombe.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anaikosoa shirika la Afya Duniani, WHO, kwa “kuchelewa” kutambua mlipuko wa virusi vya Ebola unaoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imechapishwa:…
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Manchester United, Rio Ferdinand amesafiri ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) kueleekea bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko rasmi wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na…
Hukumu dhidi ya afisa wa zamani wa idara ya ujasusi anayeshtakiwa kwa kuuza taarifa kwa Urusi inatarajiwa leo Jumatano katika kesi ambayo imechafua sifa ya Austria. Imechapishwa: 20/05/2026 – 08:54…
Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladimir Putin wamethibitisha leo Jumatano nguvu ya uhusiano kati ya mataifa hayo mawili licha ya msukosuko wa kimataifa, chini ya wiki…
Mama wa Wema Sepetu amesema hakuwahi kuafiki mahusiano ya binti yake na msanii Diamond Platnumz, akidai msanii huyo alikuwa akijitafutia umaarufu.
Familia ya Rachel Wandeto imezungumza baada ya kifo chake cha kusikitisha. Ndugu yake aliomba haki, akisisitiza anamuunga mkono Rais Ruto katikati ya huzuni yao.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imefungua vikao vya mashtaka kwa Khaled Mohamed Ali el-Hishri, mmoja wa makamanda wa gereza la Mitiga nchini Libya. El-Hishri anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi…
Mgogoro wa mafuta wawaanika viongozi wa ODM katika serikali ya msingi mpana ya Ruto. Mbadi na Wandayi wanajitahidi kutoa suluhu, wakifichua changamoto mbele yao.
Wabunge wa Bunge la Ulaya na nchi wanachama wa EU wamefikia makubaliano ya muda ya kutekeleza makubaliano ya biashara yaliyohitimishwa msimu uliopita wa joto na Marekani, ofisi ya rais wa…
Maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali nchini Bolivia ni “mapinduzi ya umma,” Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza siku ya Jumanne, akielezea uungaji mkono wake kwa…
Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanikiwa kuweka rekodi nyingi katika muziki...
Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameanza miongozi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Ebola. Mkoa huu wa kaskazini mashariki ndio kitovu…
Hakuna visa zaidi zinazohitajika kuingia Togo. Raia wa nchi zote za Afrika sasa wameondolewa masharti ya visa kwa kukaa nchini humo hadi siku 30. Tangazo hili melitolewa katika taarifa rasmi.…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 20, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Kulingana na Rais wa Marekani, Donald Trump, ni kwa ombi la falme za Kiarabu za Ghuba kwamba vita kati ya Iran na Marekani bado havijaanza tena. Rais wa Marekani alitangaza…
Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.
Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.
Upinzani nchini DRC unajaribu kuungana dhidi ya marekebisho ya katiba. Mnamo Mei 6, 2026, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais Félix Tshisekedi alifungua mlango wa muhula wa tatu…
Hatimaye baada ya miaka 22 ya ukame, Arsenal au ukipenda waite The Gunners wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2025-26 baada ya Man City kulazimishwa sare…
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe, amesema nchi ya Msumbiji imefanikiwa kupata fedha kwa ajili ya vikosi vya Kigali vilivyoko nchini humo kuendelea na operesheni za kijeshi…
Nigeria na Marekani zimedai kutekeleza mashambulio ya pamoja yaliyoua zaidi ya wanajihadi wa kiislamu 175 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, akiwemo kiongozi wa pili wa juu wa kundi la Islamic…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku chache tu baada ya ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump.
Wadau mbalimbali wa siasa na masuala ya haki jinai nchini wamepongeza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa…
Tokana na ufyatu, leo naja kifalsafa kama mwanafalsafa nguli ambaye hajawahi kutokea...
Jeshi la Iran limeonya kuwa iwapo adui ataanguka tena katika mtego wa Israel na kuanzisha uchokozi mwingine dhidi ya Iran, jeshi la taifa litafungua medani mpya ya mapambano kwa kutumia…