🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI – MEI 20, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI - MEI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI - MEI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Hatifungani hiyo iliyolenga kukusanya Sh15 bilioni, imefanikiwa kuvutia zaidi ya Sh33 bilioni...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imefanikiwa kuokoa zaidi ya...
Kutangazwa kwa majina ya wanaowania tuzo za BET kumezua mjadala mitandaoni baada ya mashabiki...
WAKATI Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), ikielekea ukingoni, maji na mafuta vianza kujitenga kutokana na ushindani wa kila eneo kutoka wasaka ubingwa hadi wale wanapigana kubaki katika ligi hiyo msimu huu.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imefanikiwa kurejesha...
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kisimamishiwe usajili wake, kitozwe faini...
DODOMA: Serikali imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya…
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Kibindu wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
DODOMA: Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa…
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA) imesema kuongezeka kwa imani ya wawekezaji katika masoko ya mitaji nchini, sambamba na mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali,…
DAR ES SAAM: ZAIDI ya wadau 1,000 wanatarajia kushiriki Kongamano la 12 la wahandisi lenye lengo la kubadilishana uzoefu katika taaluma zao ambalo litafanyika tarehe 13 hadi 17 mwezi Septemba…
Dar es Salaam. Wanachama wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania (TAB) wameiomba Serikali kuweka mpango...
Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa wa Mahakama Kuu kuwa majaji wa mahakama ya...
Super Metro imetangaza punguzo la nauli kufuatia kupungua kwa bei ya dizeli kwa KSh 10, na kuahidi afueni kwa wasafiri na matumaini ya kushuka kwa bei wiki ijayo.
Huzuni imeendelea kutanda katika familia ya Scola Chuwa (45), mkazi wa mtaa wa Ndarivoi jijini...
Bei ya mafuta nchini Kenya imesalia kuwa juu kutokana na mchanganyiko wa ushuru unaotozwa kwa bidhaa za petroli na serikali. Hizi ni pamoja na VAT na RML.
Akizungumza na Mwananchi, Ramadhani amesema Abdalla ameanza kula na kuongea tofauti na...
Matumizi ya viuwatilifu pamoja na uchomaji moto katika misitu vimetajwa kuwa na athari kubwa...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Said Yakubu amesema nchi inaendelea kutumia vyakula vya...
Nape, amesema barabara hiyo ni kiungo cha mikoa kadhaa ya kusini na iliahidiwa na Rais Samia...
Wanu Hafidh Ameir, binti wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amejenga njia yake mwenyewe katika siasa, akihudumu kama mbunge na mwanachama wa chama cha CCM tangu 2005.
Hezbollah ya Lebanon imeongeza matumizi yake ya ndege zisizo na rubani za "first-person" (FPV) kushambulia Israel, ikiwa ni pamoja na mifumo inayoongozwa na nyaya za fiber-optic ambazo zinaweza kupita mifumo…
Arsenal hatimaye wameubeba ubingwa wa Ligi Kuu baada ya miaka 22 ya kusubiri na walisherehekea ushindi wao katika Kituo cha Mafunzo cha Sobha Realty na kwingineko.
Matangazo ya bidhaa hasa zinazouzwa kupitia mtandaoni hivi sasa yamekuwa yakitangazwa kimkakati...
Zaidi ya wakazi elfu tatu manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu na mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA mkoa wa Shinyanga ambapo imeelezwa kuwa uelewa mdogo wawananchi juu ya masuala ya…
Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) umepanga kujenga barabara...
DODOMA; Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega leo Mei 20 2026, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa na vipaumbele sita. Ametaja…
Boniface Mwangi anadai Naibu Rais Kithure Kindiki hana mamlaka halisi katika utawala wa Ruto, akimfananisha na “kiranja” huku kukiwa na mjadala wa tatizo la mafuta.
Mpiga picha wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Boaz Martine amefariki dunia huku waandishi wa habari Frank Mshana wa ITV/Radio One na Johnson James wakiwa miongoni mwa watu…
Azimio la kihistoria la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lililopitishwa leo Jumatano limeelezwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuwa “uthibitisho thabiti wa sheria za kimataifa,…
Viongozi wa Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada ya kibinadamu wameeleza wasiwasi mkubwa mbele ya Baraza la Usalama kuhusu kuendelea kuzorota kwa ulinzi wa raia katika migogoro ya silaha,…
Jamii lazima iwe na imani nasi na ushiriki wao ni muhimu kudhibiti Ebola Hatushinikizi sayansi bali tunashirikiana nao kuelimishana kuhusu kubadili tabia Ebola inaanza kwa jamii na inamalizwa na jamii…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchini Japan ambapo amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili dunia, huku akizitaka nchi tajiri kuongeza…
Wagonjwa wanaoshukiwa sasa ni 600 na vifo 139. Ebola ya aina ya Bundibugyo haina chanjo wala tiba Migogoro, wakimbizi na shughuli za migodini vyaongeza hatari ya maambukizi zaidi. Uganda yasifiwa…
Wachezaji wote 11 wana historia ya ukimbizi Watatu wamezaliwa kambi za wakimbizi Tanzania na Kenya Ni Bernard Kamung, Nestory Irankunda na Awer Mabil Ni kuelekea siku ya mpira wa miguu…
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO, limehimiza hatua za haraka na za pamoja duniani kulinda nyuki na wachavushaji wengine, likisema viumbe hao wadogo wana mchango mkubwa…
Wizara ya Ujenzi imeitaja miradi ya upanuzi wa barabara za majiji na manispaa kwa ajili ya...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kupanda hadhi ya Iran ya kuwa taifa kubwa na lenye taathira kunahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi…
Mkuu wa vyombo vya Mahakama vya Iran anasema kuwa Rais Shahidi Ebrahim Raisi alijitolea kwa dhati kuwatumikia wananchi na kusabilia maisha yake kwa ajili ya Iran.
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: "Marekani inalitumia vibaya Baraza la Usalama kwa kueneza uwongo na tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Jamhuri…
Dorothy Nantale ameishangaza jamii yake kwa kujenga kaburi lake la kisasa nyumbani, akitimiza matakwa yake ya "nyumba yake ya milele" anapopanga sherehe.
Viongozi wa China na Russia wamesisitiza mwanzoni mwa mazungumzo yao kuhusu azimio la pamoja la nchi hizo mbili la kuasisi utaratibu wa haki zaidi wa kimataifa na ulimwengu wa kambi…
Mamlaka ya Rwanda imeongeza hatua za uchunguzi wa afya na kuimarisha udhibiti katika mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku mlipuko hatari wa homa ya Ebola ukiendelea kuitatiza Kongo.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa kuwa majaji wa Mahakama ya rufani.
Iwapo, kama inavyotarajiwa, Pep Guardiola ataondoka Manchester City mwishoni mwa msimu huu, atafanya hivyo akiwa mmoja wa makocha wenye mafanikio na ushawishi mkubwa katika historia ya Premier League.
Kundi la dansi kutoka Uganda, Ghetto Kids, linatarajia kuandika historia mpya baada ya...