Mlipuko wa Ebola nchini DR Congo unatia wasiwasi kiasi gani?
Mlupuko wa Ebola nchini DR Congo umetangazwa kuwa dharura ya kiafya, huku karibu visa 250 vikiripotiwa.
Mlupuko wa Ebola nchini DR Congo umetangazwa kuwa dharura ya kiafya, huku karibu visa 250 vikiripotiwa.
Raia wa Kenya, hivi leo wamepata wakati mgumu kufika kwenye maeneo yao ya kazi kufuatia mgomo uliotangazwa na wamiliki wa magari ya abiria na bodaboda ulioanza hivi leo kushinikiza serikali…
Droni hizo ndogo, zimetumiwa sana na wapiganaji wa Kundi hilo la Hezbollah, katika operesheni zao dhidi ya Israel.
Idadi ya mauaji duniani kote ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka wa 2025 huku mauaji yaliyorekodiwa yakifikia angalau 2,707, ongezeko la 78% ikilinganishwa na mwaka 2024. Ongezeko hili, kubwa zaidi…
Mamlaka ya Mexico imetangaza siku ya Jumapili kwamba angalau watu kumi waliuawa katika shambulio la watu wenye silaha katika jiji la Tehuitzingo, katika jimbo la mashariki mwa kati la Puebla.…
Angalau watu 19 wameuawa nchini Lebanon katika mashambulizi ya anga ya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita, siku ya mwisho ya usitishaji mapigano, ambayo iliongezwa kwa siku 45 wakati…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametoa wito wa kuimarisha vitengo vya kijeshi vya mstari wa mbele dhidi ya “adui wake mkuu, Korea Kusini,” shirika la habari la serikali, KCNA,…
Michuano hii itafanyika kati ya 11 Juni hadi 19 Julai, ikiwa na muda wa rekodi wa siku 39, yaani siku 10 zaidi ya Kombe la Dunia la Qatar, na zaidi…
Gérald Darmanin atasafiri kwenda Algiers Jumatatu kwa ziara fupi inayolenga “kurejesha uhusiano wa kimahakama” kati ya Ufaransa na Algeria. Imechapishwa: 18/05/2026 – 07:23 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Zambia ilivunja Bunge lake Ijumaa, Mei 15, chini ya miezi mitatu kabla ya uchaguzi wa urais mnamo Agosti 13. Kuvunjwa kwa bunge hili kumezua maswali na wasiwasi miongoni mwa mashirika…
Nchini Somalia, baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), shirika lisilo la kiserikali la Mercy Corps sasa linaibua wasiwasi kuhusu hali ya njaa ambayo…
Kama sehemu ya mfululizo wa ripoti adimu, RFI iliweza kusafiri hadi Cabo Delgado, kaskazini mwa Msumbiji, kwenye mpaka na Tanzania. Kwa karibu miaka kumi, eneo hili limkumbwa na mzozo wa…
Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wamepeleka tani 5 za vifaa huko Bunia siku ya Jumapili, Mei 17, 2026,…
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti kuwa Marekani imeshindwa kufikia makubaliano ya maana kuhusu mapendekezo ya hivi karibuni ya Tehran ya kumaliza mzozo huo.
Raia wa Kenya, hivi leo wamepata wakati mgumu kufika kwenye maeneo yao ya kazi kufuatia mgomo uliotangazwa na wamiliki wa mabasi ya abiria na bodaboda unaoanza hivi leo kushinikiza serikali…
Moja ya sababu kubwa zinazofanya J-10C kupewa hadhi ya ndege hatari ni uwezo wake wa kushambulia adui kabla hata ya kuonekana kwenye rada za kawaida.
Shirika la Afya Duniani limesema linaendeleza tathmini yake ya mlipuko wa virusi vya Hanta kama “hatari ndogo”, wakati huu meli ya kitalii ambayo mlipuko huo ulianzia ikikaribia kutia nanga kwenye…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo jipya kwa nchi ya Iran, akisema inatakiwa iharakishe ili kupata mkataba wa amani au vinginevyo hakutakuwa na kitu kitakachosalia kwenye nchi hiyo. Imechapishwa:…
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
Wataalam wa afya wanahofia watu wengi wanategemea vinywaji hivi bila kuelewa kikamilifu madhara yake kwa afya.
Kabla ya kujipatia umaarufu kwa kufadhili mauaji hayo dhidi ya jamii ya waTustsi nchini Rwanda, Kabuga alikuwa mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda aliyekuwa na ushawishi mkubwa vilevile katika ulingo wa siasa…
Kulingana na ushahidi wa kisayansi uliopo hadi sasa, nyoka walikuwa na miguu katika hatua zao za mwanzo.
Uchaguzi wa Bunge huko Cape Verde unafanyika leo Jumapili, Mei 17. Viti 72 vya bunge vinagombaniwa , ambapo wabunge waliochaguliwa watamchagua baadaye Waziri Mkuu. Waziri mkuu anayemaliza muda wake, Ulisses…
Nchini Comoro, serikali imerejelea hatua yake na kusitisha kupanda kwa bei ya mafuta baada ya mgomo wa siku sita uliosababisha vifo vya watu wawili na kusababisha mvutano katika visiwa hivyo.…
Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alionya kuwa kwa sasa kuna “kutokuwa na uhakika mkubwa kuhusu idadi halisi ya walioambukizwa na pia maeneo ambayo ugonjwa umeenea.”
Nchini Chad, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anatoa wito kwa mamlaka ya Chad na Nigeria kufanya “uchunguzi wa haraka, wa kina, huru, na…
Mlipuko wa kumi na saba wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari umevuka mipaka ya nchi. Kufuatia kifo kilichorekodiwa nchini Uganda, Sudan Kusini iko macho,…
Juventus wanapanga kuongeza juhudi kumsajili kiungo mshambuliaji wa Ureno Bernardo Silva, ambaye ataondoka Manchester City msimu huu wa joto.
Felicien Kabuga, 93, mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda, ameaga dunia wakati akiwa kizuizini kulingana na taarifa ya mahakama ya Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 16/05/2026…
Picha katika Ikulu ya Tanzania zimemuonesha Bilionea wa Afrika Aliko Dangote akikutana na rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hii leo Jumamosi.
Kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la Islamic State ameuawa katika oparesheni ya pamoja na jeshi la Marekani na Nigeria Magharibi ya taifa hilo la Afrika Magharibi.…
Kipindi chetu cha "maisha yenye afya" - yaani, idadi ya miaka ambayo watu hutumia kufurahia afya njema - inapungua katika sehemu nyingi za dunia.
Liverpool wana imani na mshambuliaji Alexander Isak, 26, na wanamtafuta winga wa Ivory Coast, 19, Yan Diomande na mshambuliaji wa Norway Antonio Nusa, 21,
Kwa kawaida, majengo huinama kutokana na msingi wake kuzama au kusogea upande mmoja, mara nyingi kwa sababu ya udongo laini, maji chini ya ardhi, au makosa ya ujenzi.
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani imesema kuwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Lebanon na Israel itafanyika tarehe 2 na 3 mwezi wa Juni
Kaaba, iliyoko katikati ya Msikiti Mkuu katika mji wa Makka, ni sehemu takatifu zaidi kwa Waislamu na ndiyo eneo ambalo Waislamu huelekea wanaposwali.
Israel na Lebanon zimekuwa katika hali ya vita tangu mwaka 1948 wakati Lebanon ilipojiunga na mataifa ya Kiarabu yaliyopinga kuundwa kwa taifa la Israel.
Maambukizi mapya ya virusi hatari vya Ebola, yamethibitishwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa mujibu wa kituo cha kudhibiti magonjwa barani Afrika (CDC Africa). Imechapishwa: 15/05/2026 – 11:41Imehaririwa:…
Mzozo umezuka tena nchini Iraq kuhusiana na operesheni za kijeshi ambazo serikali inadai imefanywa na ''vikosi ambavyo havijaidhinishwa.''
Hii ilikuwa siku muhimu, kwa sababu Donald Trump alikuwa amejinadi kisiasa kwa kuahidi kuchukua hatua kali dhidi ya China.
Mamia ya vijana walijitokeza jijini Nairobi kuhudhuria hafla ya Misa ya tatu {'Third Service',} hafla inayochanganya muziki wa injili, dansi, ibada na burudani katika mtindo mpya wa kuwafikia vijana kupitia…
Zaidi ya watu milioni 26.5 nchini DRC wanakabiliwa na uhaba wa chakula, kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa—sawa na Mkongo mmoja kati ya Wakongo wanne.Mpango wa msaada kwa sasa…
Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Xi Jinping amempendekezea msaada wa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz na kumpa mtumaini ya kupata suluhisho. Imechapishwa: 15/05/2026 – 07:55Imehaririwa: 15/05/2026 – 08:47…
Jeshi la Israel limetangaza leo Ijumaa kuwa mwanajeshi wa Israel ameuawa kusini mwa Lebanon, na kufanya idadi ya vifo kufikia 20 katika mapigano na Hezbollah inayounga mkono Iran tangu mapema…
China imetaka mapigano yasitishwe kabisa Mashariki ya Kati na kufunguliwa tena kwa Lango la Hormuz “haraka iwezekanavyo,” pembezoni mwa mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa…
Waziri wa mambo ya nje wa Iran ameishutumu Falme za Kiarabu siku ya Alhamisi kwa kuchukua jukumu “hai” pamoja na Marekani na Israeli katika vita dhidi ya Iran. Imechapishwa: 15/05/2026…
Takwimu mpya kutoka IPC—mojawapo ya zana zinazoongoza duniani za kupima njaa iliyotengenezwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa—zinaonya kwamba karibu watu milioni 19.5 nchini Sudan wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa…
Duru ya tatu ya mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Israel na Lebanon yameanza mjini Washingtonsiku ya Alhamisi, siku chache kabla ya kumalizika kwa makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo…
Hatua mpya imepigwa kuelekea amani huko Ituri. Kundi la wanamgambo wenye CRP, linaloongozwa na Thomas Lubanga, limetangaza siku ya Alhamisi, Mei 14, kujiunga na mchakato unaoendelea wa amani na serikali…
Shambulio jipya limeiingiza tena mkoa wa Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika maombolezo. Imechapishwa: 15/05/2026 – 06:08Imehaririwa: 15/05/2026 – 06:29 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…