Uchaguzi wa urais kufanyika Jumanne ya wiki hii nchini Malawi
Kampeni za uchaguzi mkuu wa rais nchini Malawi, zilitamatika mwishoni juma tayari kwa zoezi la siku ya Jumanne ambapo raia wa nchi hiyo watachagua kati ya marais wawili wanaowania kuchaguliwa…