Wananchi katika kijiji cha Kiwalala, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, wameeleza matumaini yao kuhusu ujio wa kiwanda cha kuban…
Wananchi katika kijiji cha Kiwalala, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, wameeleza matumaini yao kuhusu ujio wa kiwanda cha kubangua korosho kinachojengwa katika eneo hilo, wakiamini kuwa kitaongeza thamani ya zao…