#HABARI: Mwenyekiti wa WLF, Mhe
#HABARI: Mwenyekiti wa WLF, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (MB), ametoa wito kwa Watanzania, hususan kizazi cha sasa, kuutazama Muungano kama amana takatifu ya Taifa na tunu ya kihistoria tuliyoachiwa na…
#HABARI: Mwenyekiti wa WLF, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (MB), ametoa wito kwa Watanzania, hususan kizazi cha sasa, kuutazama Muungano kama amana takatifu ya Taifa na tunu ya kihistoria tuliyoachiwa na…
FT: Mlandege 0-3 Simba Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
Wafanyabiashara wa mwambao wa Ziwa Tanganyika wameonywa kuacha kujihusisha na uuzaji wa mafuta kwa nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Onyo hilo limetolewa na Kaimu Mkuu wa…
HT: Mlandege 0-0 Simba Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
#HABARI: Kampuni ya GASCO, ambayo ni kampuni tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), imeendelea kuwa kinara katika kuwawezesha Watanzania wazawa kwa kuwapa nafasi za moja kwa moja…
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 umeendelea kuonekana katika maisha ya Watanzania kwa njia mbalimbali. Leo Tunakeletea simulizi ya mwanamke mwenye umri sawa na Muungano, ambaye anashuhudia matunda…
Polisi nchini Marekani wamesema bado wanachunguza chanzo cha tukio la mtu anayetuhumiwa kufyatua risasi wakati wa hafla ya chakula cha jioni ya waandishi wa habari wa Ikulu iliyokuwa ikifanyika katika…
Vyama 12 vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu vimeomba mamlaka kuhakikisha zinaweka nguvu kwenye uudwaji wa Tume ya Maridhiano itakayoaminika na pande zote pamoja na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya.…
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 26, 2026 ametangaza msamaha kwa wafungwa 1,369 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Muungano wa Tanzania. Kati ya wafungwa hao, 436…
Bohari ya Dawa (MSD), inatarajia kuanza kuleta dawa ya kuacha pombe nchini. MSD inatarajiwa kushirikia na Hospitali Maalum ya Afya ya Akili (Mirembe) iliyopo Jijini Dodoma. Kwa mujibu wa MSD,…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameongoza kikao cha mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Lengo la kikao hicho ni kujadili…
Rais wa Marekani, Dolnard Trump na Makamu wake wamenusurika kuuawa wakiwa katika halfla ya chakula cha usiku. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika halfla hiyo ililiyofanyika State House.…
Taasisi ya Afya Ifakara imesema iko mbioni kufanya majaribio kwenye mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ili kujiridhisha na ufanisi wa utafiti wanaoendelea kuufanya wa kuzalisha mbu wasioweza kueneza vimelea vya ugonjwa…
Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi ameahidi serikali kuboresha huduma za uhamiaji visiwani Zanzibar ili kuchochea na kukuza biashara na uwekezaji sambamba utalii na kubainisha kuwa ongezeko la wageni wanaotembelea…
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo imempa tuzo malum Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kwa kutambua mchango wake wa kiuongozi katika kuendeleza sekta ya biashara. Mpogolo amekabidhiwa tuzo hiyo…
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Musoma mkoani Mara wametakiwa kupeleka huduma za msingi kwenye makazii ya wananchi ili kuwapunguzia mwendo katika kufuata huduma za serikali. Maagizo hayo yametolewa na…
Serikali imewaagiza wawekezaji nchini kutoa kipaumbele cha ajira kwa wazawa, hususan vijana na wanawake, ili kuongeza ujuzi wa vitendo na kukuza uchumi wa viwanda. Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu…
"Kadri inavyowezekana tutumie sheria zetu vizuri, lakini pia wakati mwingine tutumie busara bila kuvunja sheria, nawaomba uhamiaji na vyombo vingine vya Serikali inapobidi katika mambo yanayoelezwa vizuri kisheria kila inapowezekana…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Tabora mkoani Tabora, Upendo Wella, amekitaka kikosi cha 212 cha Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kushirikiana na vyombo vingine vya dola kudhibiti…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja kusoma kwa bidii na kuzingatia masomo yao ili kuongeza kiwango cha ufaulu shuleni hapo.…
#HABARI: Vifo vya wanawake na watoto wachanga wakati wa kujifungua wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, vimepungua kutoka vifo vya watoto 17 hadi 5 na mama mmoja, hadi sifuri katika kipindi cha…
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amefungua mafunzo ya siku tatu yenye lengo la kuwajengea uelewa wataalamu wa TARURA kutoka TAMISEMI, ofisi…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Jabiri Bakari kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA). Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu kupitia taarifa yake amesema…
Balozi Mobhare Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria. Tarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu imesema kuwa uteuzi wa Balozi Matinyi…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Peter Philip MWASALYANDA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Mhandisi Mwasalyanda ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote…
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na upatikanaji wa umeme nchini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mkurugenzi wa Idara ya Miliki wa Wakala wa Majengo Tanzania, TBA, FRV Said Mndeme amefanya ziara ya ukaguzi wilayani Chato mkoani Geita, kufuatilia utekelezaji wa majukumu ya wakala huo pamoja…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Emmaneul Cherehani ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati kuwekeza miundombinu na umeme wa uhakika katika vijiji, Kata na maeneo…
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA NA UCHESHI...APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....APRILI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema hakuna mamlaka yoyote ya Marekani iliyowaambia wanamichezo wa Iran kuwa hawaruhusiwi kushiriki mashindano ya kombe la dunia FIFA yatakayofanyika nchini…
1. Majeruhi wapatiwe matibabu na vifaa saidizi bure. 2. Itengwe siku ya maombolezo ya kitaifa ya kuwakumbuka waliofariki. 3. Kutolewe msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa waathirika. 4. Katiba Mpya…
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar zimesaini mkataba maalum wa kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya elimu itakayohusisha ujenzi na ukarabati wa…
LINAPOTOKEA JAMBO LA HASARA NA KUUMIZA MOYO, MATARAJIO NI KUFARIJIWA - DKT SAMIA (Feed generated with FetchRSS)
Filamu ya #TheGreenTanzanite unaitazama kwa shilingi 2,000 tu kwenye @azamtvmaxapp @azamtvtz @azamtvburudani #TheGreenTanzanite (Feed generated with FetchRSS)
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaanza kufanyia kazi mara moja mapendekezo ya tume, ikiwemo kuchukua hatua za haraka za kuunda tume ya maridhiano ya kitaifa pamoja na kuanzisha chombo…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaweka utaratibu maalum wa kugharamia matibabu kwa majeruhi wa vurugu za Oktoba 29, sambamba na kuchukua hatua za kuwafariji na kuwasaidia wafanyabiashara waliopata hasara…
Nitaubeba Mzigo huu kwa ujasiri, kujiamini na tahadhari kubwa - Rais Samia (Feed generated with FetchRSS)
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapaswa kujifunza kwa kina kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza masikitiko makubwa…
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba 29, imesema ushahidi iliyokusanywa ulibaini vijana wasiopungua 500 walihifadhiwa msituni, makambi na maeneo mbalimbali nchini kwa siku 28 ili kufanya ghasia…
Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi, imesema jumla ya watu 518 walipoteza maisha kutokana na ghasia za siku ya uchaguzi wa Oktoba…
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo,…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Baadhi ya wafanyabiashara wa viazi vitamu katika Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam, wameuomba uongozi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kutengeneza mfumo utakaowazuia wakulima kujaza viazi kinyume…
‎#HABARI: Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Msangano, iliyopo kitongoji cha Sayuni, Kata ya Msangano, Wilaya ya Momba mkoani Songwe, wapo katika hatari ya kukumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo mimba…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO...APRILI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Serikali imesema kufikia Machi 2026 nchi imeongeza uwezo wa kuzalisha umeme na kufikia megawati 4,522.54 kutoka megawati 4,031.71 ikiwa ni ongezeko la asilimia 12.17 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka…