Category: ASTV TANZANIA

Paris, Ufaransa

Paris, Ufaransa. Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amewakaribisha wafanyabiashara wa Ufaransa kuwekeza kwenye uongezaji thamani madini mkakati nchini Tanzania kwa kujenga viwanda vya kuchenjua,kusafisha na kuyeyusha madini. Waziri Nchemba ameyasema…