#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Serikali imeweka mkakati maalum wa kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam l…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Serikali imeweka mkakati maalum wa kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linaendelea kuwa safi na lenye mazingira bora kupitia ushirikiano wa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI– MEI 24 2026 -KUTOKAMILIKA MIUNDOMBINU STENDI MAGUFULI PALALAMIKIWA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI-- MEI 24 2026 -KUTOKAMILIKA MIUNDOMBINU STENDI MAGUFULI PALALAMIKIWA (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 22, 2026 –
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 22, 2026 - (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma, imefanikiwa kuokoa milioni kumi na saba, kutoka kwa…
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma, imefanikiwa kuokoa milioni kumi na saba, kutoka kwa viongozi wa Kijiji cha Mgambazi wilayani uvinza, waliokuwa wanataka Bw.…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 21, 2026 -POLISI KUCHUNGUZA TUKIO LA DJUMBE
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 21, 2026 -POLISI KUCHUNGUZA TUKIO LA DJUMBE (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:David Djumbe, Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akionyesha mikono yake ilivyoathirika baada ya kufungwa pin…
#HABARI:David Djumbe, Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akionyesha mikono yake ilivyoathirika baada ya kufungwa pingu na watu wasiojulikana. Djumbe yupo kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa…
#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw
#MICHEZO: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Albert Chalamila, ameahidi kutoa zawadi ya shilingi milioni 50 kwa timu ya mpira wa kikapu ya Dar City Basketball endapo itafanikiwa…
#HABARI: Viongozi mkoani Singida wamehimizwa kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu na kupewa taarifa sahihi kuhusu ut…
#HABARI: Viongozi mkoani Singida wamehimizwa kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kikamilifu na kupewa taarifa sahihi kuhusu utekelezaji wa miradi ya Serikali ili kujenga uwajibikaji, kuongeza uwazi, na kuimarisha ulinzi wa rasilimali za…
Usikose kipindi hiki Maalum, Jumatano Mei 27, 2026
Usikose kipindi hiki Maalum, Jumatano Mei 27, 2026. kuanzia Saa 3:35 Usiku hapa ITV pekee. (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 20 2026 – MFUMO WA MABARAZA YA ARDHI KUPITIWA UPYA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 20 2026 - MFUMO WA MABARAZA YA ARDHI KUPITIWA UPYA (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watumishi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria kwa ku…
#HABARI: Watumishi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuendesha mafunzo ya elimu ya uraia, utawala bora, na usimamizi wa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI – MEI 20, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI - MEI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA – MEI 19, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA - MEI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu y…
#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu yetu”. Vijana wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali katika kujikwamua kiuchumi na…
“…Serikali ilitoa ahadi ndani ya Bunge kupitia kwa Waziri aliyepita Dkt
“…Serikali ilitoa ahadi ndani ya Bunge kupitia kwa Waziri aliyepita Dkt. Tax kwamba kuanzia mwezi Julai, Maveteran wa vita ya Kagera ambao hawapati posho, wataanza kulipwa rasmi posho na Serikali…,”…
#HABARI: Taharuki imeibuka katika Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro baada ya kijana mmoja Sadiki Mr…
#HABARI: Taharuki imeibuka katika Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro baada ya kijana mmoja Sadiki Mrisho maarufu kama Kipanya, kudaiwa kufariki dunia kwa kuchomwa moto, nduguze…
#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa …
#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa Mifumo ya akili Mnemba (AI) itakayoendana na mazingira ya Tanzania ili kuchagiza uchumi wa…
#HABARI: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabi…
#HABARI: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetenga siku 90 za kutekeleza mpango maalum wa kukabiliana na changamoto ya upotevu wa maji katika mikoa ya…
🔴MEZA HURU- LESENI YA UDEREVA -.MEI 16 2026
🔴MEZA HURU- LESENI YA UDEREVA -.MEI 16 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….MEI 18, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI:…“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi …
#HABARI:…“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali hovyo,…
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji…
#HABARI:Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara, limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kifo cha Chacha Ryoba (45), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kihumbu kilichopo Wilaya ya Bunda Mkoa wa…
#HABARI: Elimu ya msaada wa kisheria inayotolewa kwa wananchi kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzaa matunda mkoa…
#HABARI: Elimu ya msaada wa kisheria inayotolewa kwa wananchi kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzaa matunda mkoani Shinyanga huku wananchi wakikumbushwa kujenga tabia ya kuandika wosia. Hali…
#HABARI: Afisa Ardhi Mteule wa Mkoa wa Dodoma Bw
#HABARI: Afisa Ardhi Mteule wa Mkoa wa Dodoma Bw. Letare Shoo amesema kwa siku 15 za utekelezaji wa awamu ya pili ya kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia…
#HABARI: Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya iasa Nchini Tanzania imesema kuwa imekuwa ikifanya kazi kwa kufuata sheria na haitanii ka…
#HABARI: Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya iasa Nchini Tanzania imesema kuwa imekuwa ikifanya kazi kwa kufuata sheria na haitanii katika maamuzi yake na kwamba hakuna chama cha kisiasa ambacho…
#HABARI: Wadau wa masuala ya teknolojia nchini wameiomba Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kuyapa kipaumbele matamasha ya te…
#HABARI: Wadau wa masuala ya teknolojia nchini wameiomba Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kuyapa kipaumbele matamasha ya teknolojia kuliko matamasha mengine, wakieleza kuwa hatua hiyo itasaidia kuibua bunifu zitakazotoa…
#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikali…
#HABARI: Zaidi ya shilingi milioni 167.7 fedha za Serikali zilizotumika kinyume na matumizi mkoani Singida zimerejeshwa serikalini baada ya ufuatiliaji wa fedha hizo ambazo ni za utekelezaji miradi mbalimbali ya…
“….rika ya vijana lote lipo kwenye hii mitandao ya kijamii tunayozungumza moja wapo ya njia ya kupata habari kama njia mojawap…
"....rika ya vijana lote lipo kwenye hii mitandao ya kijamii tunayozungumza moja wapo ya njia ya kupata habari kama njia mojawapo ya mawasiliano kama njia mojawapo ya watu ukiacha mawasiliano…
“…..mitandao ya kijamii tunaweza kusema kwamba ni jukwaa ambalo kutokana na mabadiliko ya kitabia ufumbuzi umekuwa ni mkubwa san…
"…..mitandao ya kijamii tunaweza kusema kwamba ni jukwaa ambalo kutokana na mabadiliko ya kitabia ufumbuzi umekuwa ni mkubwa sana kupitia creativity za watu wameweza kuvumbua teknolojia ambapo ukuaji wa teknolojia…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya ndugu watatu wa familia moja na mjomba wao wa Kijiji cha Buk…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya ndugu watatu wa familia moja na mjomba wao wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu wilayani Shinyanga uliodumu…
#HABARI: Mtendaji wa Kijiji cha Idiwili Halmashauri ya Mbozi Mkoani Songwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi wa Ki…
#HABARI: Mtendaji wa Kijiji cha Idiwili Halmashauri ya Mbozi Mkoani Songwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi wa Kijiji hicho kutoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe…
🔴MEZA HURU=- UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE KULETA UMOJA-.MEI 15, 2026
🔴MEZA HURU=- UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE KULETA UMOJA-.MEI 15, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mnyama anamsogelea Yanga leo au vipi?
Mnyama anamsogelea Yanga leo au vipi? Tupe maoni yako mechi ni saa 10:15 jioni. (Feed generated with FetchRSS)
#MICHEZO: Dodoma Jiji FC wamepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kurejea kutoka Singida kufuatia ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi …
#MICHEZO: Dodoma Jiji FC wamepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kurejea kutoka Singida kufuatia ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi ya Young Africans SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
🔴MEZAHURU– UMUHIMU WA VIPAJI MASHULENI- MAY 14- 2026
🔴MEZAHURU-- UMUHIMU WA VIPAJI MASHULENI- MAY 14- 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wa sasa ni Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wa sasa ni Mhe. Zainab Athuman Katimba (Mb.), ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kutekeleza mipango waliyojiwekea kwa kuzingatia matumizi yenye tija, nidhamu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….MEI 14, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 14, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MAGAZETI: .. MEI 13, 2026
🔴MAGAZETI: .. MEI 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wanaotoa elimu ya afyamitandaoni bila kuwa na vibali vya utaalam wa fani hizo
Wanaotoa elimu ya afyamitandaoni bila kuwa na vibali vya utaalam wa fani hizo. Je, wadhibitiwe kukomesha uholela katika masuala ya afya za watu ? (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …MEI 13, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...MEI 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametoa agizo kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha suala la usafi wa mazingira linakuwa ajenda ya kudumu katika…
#HABARI: Bei elekezi ya zao la Pamba Nchini imepanda kutoka shilingi 1,150 kwa kilo moja ya daraja “A” la zao hilo iliyotumika m…
#HABARI: Bei elekezi ya zao la Pamba Nchini imepanda kutoka shilingi 1,150 kwa kilo moja ya daraja "A" la zao hilo iliyotumika msimu uliopita hadi kufikia shilingi 1,240 kwa msimu…
“Kama kuna Mtanzania ambaye anahofu hataki kurudi nyumbani kwa sababu moja au nyingine, sisi kama serikali ama kama Wizara ya ma…
"Kama kuna Mtanzania ambaye anahofu hataki kurudi nyumbani kwa sababu moja au nyingine, sisi kama serikali ama kama Wizara ya mambo ya nje, haiwezi ikamlazimsha Mtanzania kurudi nyumbani…" -Balozi Mindi…
#HABARI: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imebaini kuwa idadi kubwa ya Wananchi Mkoani Dodoma, bado wanakabiliw…
#HABARI: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imebaini kuwa idadi kubwa ya Wananchi Mkoani Dodoma, bado wanakabiliwa na uelewa mdogo wa haki zao za msingi, jambo linalochangia…
“… doa limetokea, sio nafasi ya Tanzania ambayo tumekuwa tukijivunia nayo miaka ya nyuma, kidiplomasia inamaanisha kwamba watu…
"... doa limetokea, sio nafasi ya Tanzania ambayo tumekuwa tukijivunia nayo miaka ya nyuma, kidiplomasia inamaanisha kwamba watu watakukumbuka pale ulipoanguka na kuweza kunyanyuka, na kusahau pale ambapo ukianguka utalala…
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Ole Millya, ametoa wito kwa jamii ya kifugaji k…
#HABARI: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Ole Millya, ametoa wito kwa jamii ya kifugaji kulinda rasilimali ardhi na kuepuka uuzaji holela ambao unaweza…
FT: Simba 4-0 Prisons
FT: Simba 4-0 Prisons Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu…
#HABARI: Serikali ya Awamu ya Sita imetangaza maboresho makubwa ya kisera yatakayowezesha sekta binafsi kushiriki katika uwekez…
#HABARI: Serikali ya Awamu ya Sita imetangaza maboresho makubwa ya kisera yatakayowezesha sekta binafsi kushiriki katika uwekezaji na usambazaji wa huduma za maji kupitia mfumo wa ubia (PPP). Hatua hiyo…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameilekeza TARURA na Manispaa ya Kinondoni kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Togo unakamilika ifikapo Juni 2026. Prof. Shemdoe…