Bado Watatu – 55
WAKILI aliendelea: “Wakati mwingine makosa ya watendaji wa serikali yanaweza kusababisha makosa mengine kwa wananchi. Mshitakiwa bado ni kijana mdogo sana. Alipoona watu waliomuua ndugu yake wametoroshwa jela, alitokwa na…
Bado Watatu – 55
Nilikwenda kukaa kwenye kochi nikamtazama Hamisa. Televisheni yake ilikuwa imewashwa, msanii maarufu alikuwa akiimba wimbo wa mapenzi. Hamisa alikuja kuketi kando yangu na kuniimbia wimbo huo sikioni kwangu. Alikuwa kama…
Dk Nchimbi aahidi miradi itakayoibadili Kibaha
Ujenzi wa vituo vya kupoza umeme, soko la kisasa, stendi ya mabasi, barabara za lami na...
Utajiri wa Afrika: Kasuku wa kijivu wa Afrika
Kasuku wa Kiafrika mwenye rangi ya kijivu anajulikana zaidi hasa kwa kuwa kati ya ndege wenye akili zaidi duniani
Simulizi miaka 10 mhudumu ICU ya wagonjwa wa afya ya akili
Wengi wakisikia mgonjwa yupo hospitali kitengo cha uangalizi maalumu (ICU) kinachokuja akilini...
Lissu, Jamhuri sasa ni mwendo wa pingamizi
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Mahakama Tanzania kuamua hatma ya Mpina Oktoba 15
Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa hii leo Oktoba 10 ya iwapo Luhaga Mpina ataendelea na mchakato wa kampeni au la.
Mfalme Mohammed VI anatarajiwa kutoa hotuba huku vijana (Gen Z) wakitaka mabadiliko Morocco
Mfalme wa Morocco Mohammed VI anafungua bunge siku ya Ijumaa kwa hotuba, huku maandamano yakirindima dhidi ya serikali kote nchini.
HABARI: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, Damian Dallu, ametangaza kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, ambaye…
HABARI: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, Damian Dallu, ametangaza kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT), Mwanza.…
Wanafunzi wa sekondari waeleza umuhimu wa elimu ya kujitegemea
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, wanafunzi wa shule za sekondari...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Juma Hokororo amewataka watumishi wa umma kutoa huduma bora na kwa wakat…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Juma Hokororo amewataka watumishi wa umma kutoa huduma bora na kwa wakati kwa wananchi, akisisitiza umuhimu wa uvumilivu na lugha njema katika…
Vigogo, Azam, Namungo na Mtibwa Sugar wapigana vikumbo Uenyekiti Bodi ya Ligi
Homa ya Uchaguzi Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezidi kupamba moto baada ya Kamati...
Jukwaa la biashara kati ya Uturuki na Afrika kuimarisha ushirikiano
Wafanyabiashara zaidi ya 4,000 kutoka Uturuki na Afrika wanatarajiwa kukutana mjini Istanbul kujadili masuala ya biashara, nishati mbadala, na usafirishaji wa mizigo.
Senegal: Aliou Sall, kaka wa rais wa zamani, yuko kizuizini kwa tuhuma za utakatishaji fedha
Nchini Senegal, kukamatwa tena kulifanywa katika msafara wa Rais wa zamani Macky Sall (2012-2024): Aliou Sall, kaka wa mkuu wa zamani wa nchi, na mkewe wamewekwa kizuizini jioni ya Alhamisi,…
Mirembe yataja maeneo kuongeza nguvu kudhibiti matatizo ya afya ya akili
Ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia, ulevi uliokithiri na matumizi ya dawa za kulevya ni...
Serikali kuifanya Posta injini ya uchumi wa kidijitali
Serikali imebainisha kuwa mageuzi yanayoendelea katika sekta ya Posta ni sehemu muhimu ya...
Baada ya kusitishwa kwa mapigano, maelfu ya watu waliokimbia makazi yao warejea Gaza
Makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza yameanza kutekelezwa saa sita mchana kwa saa za mashariki ya kati, jeshi la Israel limetangaza leo Ijumaa, Oktoba 10, baada ya serikali…
Hukumu kesi ya Mpina yaahirishwa, sababu zatajwa
Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma imesogeza mbele hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume...
#AIBUYAKO: Usikose kufuatilia kipindi hiki Jumatatu ijayo kupitia luninga yako pendwa ya ITV, Super brand Afrika Mashariki saa 4…
#AIBUYAKO: Usikose kufuatilia kipindi hiki Jumatatu ijayo kupitia luninga yako pendwa ya ITV, Super brand Afrika Mashariki saa 4:00 usiku. Kipindi hiki kinapatikana pia Katika Youtube channel yetu #ITVTANZANIA.
Burkina Faso yakataa pendekezo la kupokea waliotimuliwa kutoka Marekani
Burkina Faso imesema imekataa pendekezo kutoka kwa serikali ya Rais Trump la kuwapokea watu waliotimuliwa kutoka Marekani.
Wakazi wa jiji la Toyoake, lililoko katikati ya Japan, wameanza kutoa maoni yao kuhusu mwongozo mpya unaopendekeza kupunguza mat…
Wakazi wa jiji la Toyoake, lililoko katikati ya Japan, wameanza kutoa maoni yao kuhusu mwongozo mpya unaopendekeza kupunguza matumizi ya simu za mkononi kwa saa mbili kwa siku, ili kulinda…
Pacome ampiga benchi Andigra akianza Ivory Coast
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua amepangua kikosi cha kwanza cha timu yake ya taifa ya Ivory Coast, akianza huku akiwaacha nje mastaa wakubwa.
Dereva wa kampuni ya ujenzi afariki dunia gari ikipinduka, konda wake ajeruhiwa
Dereva wa gari la kubebe na kuchanganya zege la kampuni ya IRIS inayotengeneza barabara Pemba...
Samia: Tumetimiza ndoto za Mwalimu Nyerere
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali...
Uzinduzi wa msimu mpya wa kilimo umefanyika wilayani Hanang mkoani Manyara, ambapo elimu imetolewa kwa wakulima wa mazao mbalimb…
Uzinduzi wa msimu mpya wa kilimo umefanyika wilayani Hanang mkoani Manyara, ambapo elimu imetolewa kwa wakulima wa mazao mbalimbali ili walime kwa tija kwa kufuata kanuni bora za kilimo na…
Haj Ali Akbari: Israel imepata pigo kubwa miaka miwili baada ya operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Khatibu wa Swala ya Ijumaaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka miwili baada ya Operesheni kubwa ya Kimbunga cha Al-Aqswa haiba ya utawala wa Kizayuni imejaa msukosuko na…
Wanawake katika mtego matumizi ya ‘vipako’
Video na picha watu maarufu na wenye ushawishi zimegeuka mwalimu mpya wa urembo, hali...
🔴MEZA HURU: MARAFIKI NA NDOA..OKTOBA 10, 2025
🔴MEZA HURU: MARAFIKI NA NDOA..OKTOBA 10, 2025
ZEC yakaribisha maombi watakaohusika upigaji kura ya mapema
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imekaribisha maombi ya wapigakura watakaohusika na upigaji kura...
Imeelezwa kuwa changamoto za afya ya akili zimeendelea kukua, ambapo zaidi ya watu bilioni moja duniani wanakabiliwa kuwa na tat…
Imeelezwa kuwa changamoto za afya ya akili zimeendelea kukua, ambapo zaidi ya watu bilioni moja duniani wanakabiliwa kuwa na tatizo hilo, huku chanzo kikubwa cha hali hiyo kikitajwa kuwa mrundikano…
Watatu wajitosa kumrithi Mnguto Bodi ya Ligi
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati yake ya Uchaguzi limetangaza orodha ya awali ya wagombea waliorejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania…
Kiongozi wa Ansarullah: Utawala wa Kizayuni umetenda jinai za karne Gaza kwa msaada wa Marekani
Sayyid Abdul Malik Badreddin al-Houthi, kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai za karne huuko Gaza kwa kutumia silaha za Marekani.
Timu za UN zasisitiza wito wa kuingiza misaada Gaza bila vizuizi
Wakati Wagaza waliokimbia makazi yao wakiwa wamefurika barabara kuu kuelekea eneo kaskazini leo Ijumaa baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas kuripotiwa kuanza kutekelezwa, timu za…
UNHCR yaomba msaada wa dharura kwa ajili ya mamilioni waliofurushwa makwao Sahel
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa onyo kali kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayoongezeka katika eneo la Sahel, likisema kuwa karibu watu milioni nne wamekimbia makazi…
Puja Durga nchini India; Ambako ibada hukutana na mabadiliko ya kijamii
Mnamo mwaka wa 2021, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) liliongeza kwenye orodha ya turathi za dunia za tamaduni zisizoshikika au kugusika, Puja Durga ambayo…
WHO yatoa wito wa hatua madhubuti na za gharama nafuu kukabili NCDs na afya ya akili
Shirika la Afya Duniani WHO, leo limeonya juu ya kupungua kwa kasi ya hatua za kimataifa za kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza NCDs na matatizo ya afya ya akili,…
María Corina Machado ndiye mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2025, anatoka Venezuela; UN yampongeza
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu (OHCHR) imekaribisha uamuzi wa Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel kumtangaza María Corina Machado kiongozi wa upinzani nchini Venezuela kuwa…
UNDP na UNODC yafanikisha usawa wa kijinsia kwa wanawake wa Kenya
Katika kila kona ya Kenya, sasa sauti za wanawake zimeanza kusikika kwa uthabiti, zikililia haki, heshima, na usawa. Kupitia msaada wa mashirika ya kimataifa kama shirika la Umoja wa Mataifa…
Mashambulizi katika msikiti na hospitali ya El Fasher Sudan yakatili maisha ya watu 20: UN
Watu wasiopungua 20 wameripotiwa kuuawa wiki hii katika mashambulizi yaliyolenga msikiti na hospitali mjini El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, nchini Sudan, ambao umekuwa ukizingirwa kwa muda…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 10, 2025
Watu zaid ya 9,000 wamepata ajira kupitia ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga,…
Watu zaid ya 9,000 wamepata ajira kupitia ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga, huku asilimia 75 kati yao wakiwa Watanzania. Hayo yamebainishwa…
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dkt
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha mchakato wa Katiba mpya ili kulinda tunu za taifa zikiwemo amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza…
Vikosi vya Israel vyaanza kuondoka katika baadhi ya maeneo ya Gaza
Vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel vimeanza kuondoka katika baadhi ya maeneo Gaza baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kupasishhwa.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Rukwa limeanza kuwasaka watu wanaohujumu miundombinu, ikiwemo kuiba umeme kwa mbinu m…
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Rukwa limeanza kuwasaka watu wanaohujumu miundombinu, ikiwemo kuiba umeme kwa mbinu mbalimbali kinyume cha sheria. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Maria Machado ashinda tuzo ya amani ya Nobel; Trump aambulia patupu
Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu…
Bunge la Peru lamuondoa madarakani Rais Dina Boluarte
Rais wa Peru mama Dina Boluarte ameondolewa madarakani kwa kura nyingi za wabunge, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa na makundi mbalimbali ya vyama vya siasa bungeni.
Lake Victoria Marathon kusaidia watoto njiti
Mashindano ya mbio za nusu marathoni za Lake Victoria (Lake Victoria Half Marathon 2025) yamefanyika juzi Jumapili huku Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za mkononi, YAS kwa kushirikiana na huduma…
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo ambapo shahidi…
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo ambapo shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, Inspekta John Kaaya ataulizwa maswali ya…
Kama una ndugu au jamaa ambaye unahisi ana changamoto ya akili na hujui jinsi ya kumwambia, sikiliza ushauri wa Mtaalamu wa Saik…
Kama una ndugu au jamaa ambaye unahisi ana changamoto ya akili na hujui jinsi ya kumwambia, sikiliza ushauri wa Mtaalamu wa Saikolojia, Elibariki Mkumbo, akielezea viashiria vya changamoto za afya…